Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,788
- 113,025
Pombe pombe tu mkuu, chamuhimu ulewe...🍻Niache pombe kisa jf 😅😅
Pombe pombe tu mkuu, chamuhimu ulewe...🍻Niache pombe kisa jf 😅😅
Sawa bosi nimekuelewa, kumbe una pahala pa kupunguzia, nilifikiri unataka kusema huto****ni kabisa.niko fit sana
tatizo lako unakimbilia kumec conclusion angali hujanielewa
nimesema nafanya sex for a reason
Likikukuta la kushindwa kushika hata simu utakumbukwa late
Kabisa ,mambo sio kama zamani tena, no mtu ujipange tu kwa umakini mkubwa
Mwili unakataa brazakwa nini linikute hilo la kushindwa kushika simu.
kwanini haifanyi kazi?
Mbona kama kuna mashine ya kusaga unga wa ugaliKweli kabisaView attachment 3587647
Hiyo ni mashine ya kusaga au?😱Kweli kabisaView attachment 3587647
Bachelor ni kuanzia miaka ngapi
Oh sawa sawahakuna upweke ni wewe tu na akili yako
😅😅 labda wanazimyaHuwezi kuzoea, hizo libido mnapeleka wapi?