Maisha ya ubachela ni mazuri sana na yenye furaha.

Maisha ya ubachela ni mazuri sana na yenye furaha.

Kibunda...kikiwepo cha kutosha nothing is impossible
mtoto kama huyo lazima uwe na mashine ya kufua kuosha vyombo na kupiga deki
20260512_185709.jpg
 
Ubachela ni mzuri sana, shida yake ni pale ukianza kuzeeka na nguvu kuisha!
Siku umezeeka, huwezi kufua, kupika, toilet unaenda kwa mkongojo, ukikojoa humalizi mikojo, mingine inabaki kwenye boxer. 😁

Hapo bado hujaugua magonjwa ya uzee! Nani atakubali kushika mikojo na haja kubwa ya mtu mzima mbali na mkeo?
Pigeni hesabu zenu vizuri, wanawake ndio wanazingua, ila bora ukapata chizi mmoja, mkavumiliana na mkajenga maisha. Kuna kuugua na uzee. 😄
Kwamba nyie hamzingui?
 
Back
Top Bottom