dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
dalali dalali dalali, mido mani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wewe muoga mno.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mziki wake utaujua VP unajua??!!! akigundua ushachukua mzigo. Mbona utaomba pooo.
Mimi back in the days dalali nilimzunguka. Weeeee mziki mnene. Unajua wale wanakua wengi. So mmoja akifanikisha wanagawana woote. So wenzake wakiona mbona Mali imeuzwa wanaanza kuulizana na kuchunguza dalali nani kauza mzigo halaf kala pesa bila ration kufanyika.
Kama.ni nyumba mboana utahama.
Dalali alivogundua nimemzunguka aliniwekea vitisho mpk vya kunidhuru. Yaani nili give up mwenyewe nikamuita tuyamalize kwa kumpa haki yake.
Nimekutana na dalali mjinga sijapata kuona.
Jinga jinga hasa.
Na hela anaikosa.
Anabaki kupiga piga simu kila saa.
Sikutaka kumzunguka.
Juzi nimeenda na cash mzigo wa maana nilipie.
Namuambia mpigie mwenye mali tumsikie.
Ooooo hiii nilimpeleka mtu jana aliluwa na pesa kama yako kaikataa.
Sawa alikataa jana lakini mpigie mda huu nisikie.
Hataki.
Nikaondoka.
Nikasema we fala sikupigii utapiga mwenyewe.
Akapiga utaongeza ngapi nikakomaaa kuwa nina ile ile tena imepungua nitaandika deni.
Akasema mwenye mali kasafiri nikasema fresh.
Uzuri mzee wangu mmoja anamfahamu mwenye mali na alimtajia bei ile ile niliyonayo.
Ndo ishaisha hiyo.
Jana tena dalali anapiga kutaka kujua hela imepungua au iko pale pale hapo ndo nilipomcheka na kumshusha.
Mali nalipia kesho bila yeye ndo imeisha hiyo.
Na ni hela pungufu ya ile aliyoikataa.
Means cha juu angepata sema alitaka cha juu zaidi.
Kakosa vyote.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mziki wake utaujua VP unajua??!!! akigundua ushachukua mzigo. Mbona utaomba pooo.
Mimi back in the days dalali nilimzunguka. Weeeee mziki mnene. Unajua wale wanakua wengi. So mmoja akifanikisha wanagawana woote. So wenzake wakiona mbona Mali imeuzwa wanaanza kuulizana na kuchunguza dalali nani kauza mzigo halaf kala pesa bila ration kufanyika.
Kama.ni nyumba mboana utahama.
Dalali alivogundua nimemzunguka aliniwekea vitisho mpk vya kunidhuru. Yaani nili give up mwenyewe nikamuita tuyamalize kwa kumpa haki yake.
Kwa hela wanazopata bado wanaishi maisha ya kijinga.Wale wabaya mno....[emoji23]
mido mani wana tamaa sana, wanaweka cha juu kikubwa mno@dronedrake umejifunza kitu hapa?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Muoga sana.Ukampa 10% yake yote ama kiasi?
Madalali watu wa ajabu sana, anaweza kuwa anasifia nyumba kumbe yeye mwenyewe hajawahi kuitembelea unafika unakuta analokwambia na jinsi mambo yalivyo tofauti. Anaweza kukwambia ina maji ya dawasa sijui luku yako unafika unakuta tofauti na yeye ukimuuliza anatoa macho kama panya kabanwa mlangoNao kuna muda wana kaupumbavu fulani umempa kabisa specifications za chumba /nyumba unayotaka na anakuhakikishia kabisa anayo unaenda kuangalia hata haifananii kibaya zaidi anavyoisifia sasa utadhani ataishi yeye ili mradi tu akupige hela ya udalali ndio maana wanazungukwa.
Hakuna sheria inayowalinda madalali..shida walio wengi wamekaa kumponda dalali wanasahau mada kuu ya mjadala.
swali ni je ni sawa kumzunguuka dalali???
na vipi kuna utaratibu wowote kisheria endapo ukinaunguuka dalali???
hachaneni na maswala ya kuita mara tapeli mara nini
Enzi hizo nilikua ndio nimeanza maisha mtaani natoka chuo. Kiringi cha madalali cha ule mtaa pia kilinitoa amani.Mkuu wewe muoga mno.
Yaani mjini hapa mtu anitishe kiasi hiko?
Halafu napendaga ligi za hivyo.
Unkinidindishia ndo nafanya kusudi.
Bora uje kistaarabu tukae mezani naweza walau kukupa hela ya serengeti 4.
Ila vitisho mhh
Weeeee nilizitema mbona.Ukampa 10% yake yote ama kiasi?
Niko hapa kwenye basi nmetulia baada ya kusevu 5000 nauli tofauti na abiria wengi,, sipendi ujinga Mimi naongea na mwenye Mali na sio hao wapambehakuna kitu sipendi duniani kama udalali mi huwa naona ni wizi,hata wale wanaokatisha ticket stend mawaona kama madalal tu nao wananikera balaa,basi moja,trip Moja nauli tofaut,KUMZUNGUKA DALALI NAONA IKO POA SANA
ulikuwa mwoga mno mzee afu nkuambie ktu mtu "mwenye uwezo wa kukudhuru huwa hana muda wa kutisha tisha kwa maneno yan"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mziki wake utaujua VP unajua??!!! akigundua ushachukua mzigo. Mbona utaomba pooo.
Mimi back in the days dalali nilimzunguka. Weeeee mziki mnene. Unajua wale wanakua wengi. So mmoja akifanikisha wanagawana woote. So wenzake wakiona mbona Mali imeuzwa wanaanza kuulizana na kuchunguza dalali nani kauza mzigo halaf kala pesa bila ration kufanyika.
Kama.ni nyumba mboana utahama.
Dalali alivogundua nimemzunguka aliniwekea vitisho mpk vya kunidhuru. Yaani nili give up mwenyewe nikamuita tuyamalize kwa kumpa haki yake.
Madalali watu wa ajabu sana, anaweza kuwa anasifia nyumba kumbe yeye mwenyewe hajawahi kuitembelea unafikaunakuta analokwambia na jinsi mambo yalivyo tofauti. Anaweza kukwambia ina maji ya dawasa sijui luku yakounafikaunakuta tofauti na yeye ukimuuliza anatoa macho kamapanya kabanwa mlango
Kwny magari madalali ni wajinga tena mataahira kabisa.Dunia ya ubepari haina msamiati usawa.
Madalali wengi wana tamaa mno,yani anataka apate cha juu kinacholingana n mmiliki.
Niliwahi kununua gari kwa kumzunguka,yani unakuta gari ya M8 anataka apate hapo M1
Madalali yani kweli inaweza fika muda ukahisi labd anakuona taahira kabisa. Yani ni wangese sanaNilikuwa namsaidia rafiki yangu aliyehamia Dodoma kutafuta nyumba, Anakupeleka kwenye nyumba tofauti na unayoitarajia halafu anaanza kazi imesimama hii si unaona [emoji3] Ilifika muda niliwauliza kwa ukali “hivi ni sisi hatuna akili au ni ninyi hamna akili”?