Maisha ya Udalali: Kumzunguka dalali ni sawa?

Humu jf kuna watu washamba kinoma
Mnadharau kazi za watu sisi hizo ndo kazi zetu na ndo zinatupa heshima hapa mjini
 
Mkuu, madalali wapo wengi kuliko hao uliowaainisha kwa uchache, ingependeza ukawaweka inclusively tukajadili ama kuchangia kwa wigo mpana.

Hawa madalali wa binadamu nao wawekwe, itapendeza zaidi ili kuupanua mjadala.
 
Shida walio wengi wamekaa kumponda dalali wanasahau mada kuu ya mjadala.

Swali ni je ni sawa kumzunguuka dalali???
na vipi kuna utaratibu wowote kisheria endapo ukinaunguuka dalali???

Achaneni na maswala ya kuita mara tapeli mara nini
Sasa wewe mchango wako ni upi kwenye mada hii?

Kuna tofauti gani na washereheshaji wengine wanaoongeza mapambo yao ili kuisukuma mbele mada hii pendwa?
 
Wabongo sisi kwenye biashara yoyote Ile tuko longolongo sana, unaweza kumfanyia connection mtu siku mambo yakiwa fire jamaa anapewa mzigo, Wakat wa kukupa wewe chko hapo ndiyo Mtiti

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Shida walio wengi wamekaa kumponda dalali wanasahau mada kuu ya mjadala.

Swali ni je ni sawa kumzunguuka dalali???
na vipi kuna utaratibu wowote kisheria endapo ukinaunguuka dalali???

Achaneni na maswala ya kuita mara tapeli mara nini
Kuenda na wimbo wa swali Ni kazi Sana. Hapa tayari watu wanajadili nje ya wimbo wa swali.
 
Ingekuwa ni wewe unaoneshwa nyumba tu na dalali kwa kodi ya laki 4 kwa mwezi ungetoa kodi na kumlipa hio hela au unatoa povu tu?

Hamnaga hela ya mchezo wewe, pelekesha njaa za kimaku! Unaongea shit kichoko wakati unategea hela za wanaume wanaofight kulipa kodi!
 
Basi tafuta mwenyewe usisumbue watu
Udalali upo tangu enzi za mitume watu ndo kazi zao punguza dharau kama unataka nyumba ya kupanga ingia mtaani itafute
 
Madalali hiyo 10000 kumi unachukua ya nini?unamtembeza mtu kwenye nyumba mbovu wakati amekupa condition za nyumba ipi anataka..acha mpigwe tu mnakua na vitambi hata kodi za serikali hamlipi
 
Madalali watu muhimu sana kwenye jamii ni kiunganish kizuri baina muuzaji na mnunuzi tusiwabeze kwenye dosari tuparekebishe mimi kwa upande wangu ni dalali tena konki kitaani kote wananijua najenga kwa kazi hiyo nimejuana na wengi
 
Nyumba nikitaka ni dalali atatafuta ila huo ujinga hakuna!

[emoji23][emoji23][emoji23] ila we mbishi! Kwamba nyumba atatafuta lakini ujinga wapeleke huko!

Unajua mi sielewi maana hapa, yaani kodi ya mwezi mmoja anayopewa dalali wameithaminisha na kitu gani? Wamewezaje kupata hiyo value ya malipo? Mtu mwingine ajenge yeye aione aanze kuonesha wateja aclaim kodi ya mwenzi lets say ni 500k kwa mwezi! Mi kwa hili watanilaumu sana, nitampa nayoona ninauwezi nayo kama hataki akashtaki! Ata akinishitaki nitawaambia polisi nina uwezo wa kumpa buku kila mwisho wa mwezi!
 
Anakupeleka polisi na utailipa polis, kuna rafik yang mmoja alimzunguka dalali alivojua akaenda polis jamaa yang akakamatwa akaambiwa alipe hela ya udalal na ya polis
Huyo alikua bwege tu kuna mahali waliandikishiana kua ntakupa kiasi flani
 
Huyo umemkuta dalal mpole, ungekutana na mtata mbona ungeenda kuitoa polisi, yeye atasema yeye ndio kakuleta hapo means bila yeye usingepajua hapo, napolis wakuda utaitoa tu hela
Hizo ni story tu dalali wenyewe matapeli,ukienda police mabatini kesi kibao za madalali wa mlimani city kuuzia watu magari kwa utapeli
 
Mfano kwenye chumba...dalali anataka kodi ya mwezi mmoja. Hivi hizo sheria wamebuni wao au vip?
Ndio utaratibu ila huo utaratibu ni wakati umeletwa na dalali...kama umeweza kukutana na mwenye nyumba bila dalali ni vizuri, ila wenye nyumba nao wanapiga ya dalali [emoji23]
 
Mnaona udalali kazi rahisi mimi kwangu hela utatoa na makofi utachukua kabla kazi tunakubaliana kabisa na ma landlords wanaelewa kabisa kodi ya mwezi ya kwangu
 
Mnaona udalali kazi rahisi mimi kwangu hela utatoa na makofi utachukua kabla kazi tunakubaliana kabisa na ma landlords wanaelewa kabisa kodi ya mwezi ya kwangu
Weeeeeeee unasemaje wewe??? Unipige jiandae kushonwa nyuzi kadhaa.

Nanihakikishe sehemu inayoonekana ili uwe unasimulia kwa kila mtu.
 
Weeeeeeee unasemaje wewe??? Unipige jiandae kushonwa nyuzi kadhaa.

Nanihakikishe sehemu inayoonekana ili uwe unasimulia kwa kila mtu.
Mijitu mnakaa mnadiss kazi za watu kwangu unakula mitama ya nguvu halafu ukahadithie
 
Ukitaka tusikorofishane usiingie kwenye kazi zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…