Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unachoongelea ni jela za marekani na hii umeona kwenye muvi.
Jela za bongo jaribu kuiga kufi*a kama wamarekani ndio utajua hujui.
kitendo hiki wanakiita kunyatia, ole wakooooo!!!
Maafande watakupa kipigo kizito sana na kesho wanaamka na wewe utapigwa kama paka alieiba samaki za idi / pasaka.
Wewe kama ulipigwa ama kufir*a basi ni moja ya wachache sana ambao hata mavazi yenu yanatia shaka ama mnaleta tabia za ajabu ajabu.nendeni polisi chang'ombe pale au stakishari
Labda upelekwe mahabusu za wastaarabuWewe kama ulipigwa ama kufir*a basi ni moja ya wachache sana ambao hata mavazi yenu yanatia shaka ama mnaleta tabia za ajabu ajabu.
Huko polisi mbona kupo fresh tu, unaingia selo unawapa tano wana, unulizwa umefanya kosa lipi, watu wanakukaribisha, story zinaendelea...
Mkuu inavoonekana wewe hata huko boarding ulikuwa wale wanaoonewa kirahisi rahisi tu mtu akivua kiatu anakwambia upige simu (kunusa kiatu chake), hata muonekano wako unavyoonekana ni muoga muoga,Labda upelekwe mahabusu za wastaarabu
Mahabusu nyingi kuingia na ingia tu unakutana na panya rodi wanakupiga mambata ya kutosha alafu wanaingia mfukoni kukusachi
😄😄😄😄Nasikia hata Sabaya wamemnanihii sana hadi akapata nundu kichwani
Mahabusu hizo tena za Polisi nenda mahabusu ya Jela ndio utajua hujui mkuuPale maaskari wanakuvua tu mkanda na wanakuandikisha vitu ulivyonavyo
kuna watu wanaficha ela kwenye boksa kwa iyo ukiingia lazima uvuliwe boksa hizo haswa wakikukamata usiku.
Jamaa kaleta FIX sana story za vijiweni unakuja kuleta uzi humu ndani!!Hayo ni maneno ya mtaani tu mkuu we jela ujakaa uliza mi nimekata miaka3 gereza la mkuza kibaha nikaamishiwa gereza la kilimo bagamoyo hakuna sehemu watu wanaishi kwa upendo kama gerezani tena hayo mambo ya ulawit yanakemewa sana ukibainika we ni mfiraji au mfirwaji naapa utajuta kuzaliwa utapigika aisee kule pasikie tu. Kikubwa jela usivunje sheria zilizowekwa utatoka salama bila kuguswa hata kofi
Mkuu me nilihukumiwa kifungo cha miaka nane jela,nikakaa miaka miwili nikatoka...Mbona kuna mwanaJF mzoefu wa jela alileta stori kuwa jela kubanduliwa labda utake mwenyewe!
Umenena neno kubwa sana mkuu,Kuna jela za kiroho, hizo hutesa zaidi kuliko jela za serikali
Lijamaa liongo sanaUnaweza nipa prove ya huko wanakula tonge moja la chakula?
Hujui loloteNdo maana narudia ulitishiwa, polisi hana uwezo wa kukufunga kwa kutengeneza kesi.
Wanaweza endapo serikali itaamua
We polisi acha kutisha watuHujui lolote
Lengo lako ni nini? Uonekane unajuwa wakati hujui kitu?nendeni polisi chang'ombe pale au stakishari
Isisi, rujewa Mbarali!?Mkuu me nilihukumiwa kifungo cha miaka nane jela,nikakaa miaka miwili nikatoka...
Kwenye hiyo miwili nimefanyiwa escoter gereza 4...ninauzoefu na jela na nimeshatoa ushuhuda humu mara kadhaa...
Jela ukiwa mnyonge unafirwa,unapigwa,unanyang'anywa,unalizwa,unatumwa,unaolewa na hauna kwa kushtaki.
Labda kama mnafungwa gereza zenu za town ila huko mabush, wewe jela isikiage tu...
Nimekaa MAWENI(Muuweni),MPECHI,SONGWE,ISISI...Kama hapo mpechi kazi kubwa ni kuhamisa kinyesi(mavi) mnaenda kuyamwaga kwenye mashamba ya kabechi...asikwambie mtu kitu..
wakati nipo ISISI nimewahi kumwangushi mti wa miiba(mpogoro) jamaa yangu wa maskani alikua SHOGA....Mara leo atombwe na cleaner,kesho atombwe na kiongozi wa selo nikaona njia ya kumsaidia ni KUMUUA Tu,ila nilipigwa sana na mabwana zake...
jela ni "ROHO YAKO ILA MWILI WETU" Na wanautumia kweli....