Maisha ya ufungwani/ mahabusu ni machungu ndugu zanguni

Mbona kuna mwanaJF mzoefu wa jela alileta stori kuwa jela kubanduliwa labda utake mwenyewe!
 
nendeni polisi chang'ombe pale au stakishari
Wewe unachoongelea ni jela za marekani na hii umeona kwenye muvi.

Jela za bongo jaribu kuiga kufi*a kama wamarekani ndio utajua hujui.

kitendo hiki wanakiita kunyatia, ole wakooooo!!!

Maafande watakupa kipigo kizito sana na kesho wanaamka na wewe utapigwa kama paka alieiba samaki za idi / pasaka.
 
nendeni polisi chang'ombe pale au stakishari
Wewe kama ulipigwa ama kufir*a basi ni moja ya wachache sana ambao hata mavazi yenu yanatia shaka ama mnaleta tabia za ajabu ajabu.

Huko polisi mbona kupo fresh tu, unaingia selo unawapa tano wana, unulizwa umefanya kosa lipi, watu wanakukaribisha, story zinaendelea...
 
Labda upelekwe mahabusu za wastaarabu
Mahabusu nyingi kuingia na ingia tu unakutana na panya rodi wanakupiga mambata ya kutosha alafu wanaingia mfukoni kukusachi
 
Jela ni nusu jehanamu, si pazuri, kuhusu kuliwa ukiwa mnyonge mnyonge manyampara yana tabia ya kuomba wageni wanaoingizwa mle fasta. Ukipenda kula kula vya wenzako ili tu ushibe utaombwa ki mzahamzaha. Unachotakiwa ni kuonesha uko ngangari huogopi kitu mle ndani, ikibidi usiogope hata kufa kutokana na kulinda utu na heshima yako mle ndani kutokana na kipigo utakachokipata toka manyampara au hata askari anayechunga wafungwa na mahabusu. Unatakiwa uwe mkali kwa yeyote atakayejaribu kutaka kukufanyia mzaha wa kukuomba hayo mambo. Ila hakuna hicho kitu kwa kuwa mazingira ya kukifanyia ni wazi sana mpaka chooni foleni haishi mchana na usiku kucha. Atakayebainika kufanya kitendo hicho atakabiliwa na adhabu kali ikiwemo kuongezeka muda wa kifungo chake. Maradhi ni mengi suala la kujilinda ni muhimu ili usifie jela au kutoka ukiwa umeambukizwa magonjwa humo ndani
 
Labda upelekwe mahabusu za wastaarabu
Mahabusu nyingi kuingia na ingia tu unakutana na panya rodi wanakupiga mambata ya kutosha alafu wanaingia mfukoni kukusachi
Mkuu inavoonekana wewe hata huko boarding ulikuwa wale wanaoonewa kirahisi rahisi tu mtu akivua kiatu anakwambia upige simu (kunusa kiatu chake), hata muonekano wako unavyoonekana ni muoga muoga,

Hao panya road ni wadogo zetu tu mbona, wanatupa heshima kabisa kutuamkia kaka zao na story zinaenda poa kabisa.
 
Nasikia hata Sabaya wamemnanihii sana hadi akapata nundu kichwani
 
Hayo ni maneno ya mtaani tu mkuu we jela ujakaa uliza mi nimekata miaka3 gereza la mkuza kibaha nikaamishiwa gereza la kilimo bagamoyo hakuna sehemu watu wanaishi kwa upendo kama gerezani tena hayo mambo ya ulawit yanakemewa sana ukibainika we ni mfiraji au mfirwaji naapa utajuta kuzaliwa utapigika aisee kule pasikie tu. Kikubwa jela usivunje sheria zilizowekwa utatoka salama bila kuguswa hata kofi
 
Pale maaskari wanakuvua tu mkanda na wanakuandikisha vitu ulivyonavyo
kuna watu wanaficha ela kwenye boksa kwa iyo ukiingia lazima uvuliwe boksa hizo haswa wakikukamata usiku.
Mahabusu hizo tena za Polisi nenda mahabusu ya Jela ndio utajua hujui mkuu

Unafahamu kufunua kitabu!??
 
Hayo ni maneno ya mtaani tu mkuu we jela ujakaa uliza mi nimekata miaka3 gereza la mkuza kibaha nikaamishiwa gereza la kilimo bagamoyo hakuna sehemu watu wanaishi kwa upendo kama gerezani tena hayo mambo ya ulawit yanakemewa sana ukibainika we ni mfiraji au mfirwaji naapa utajuta kuzaliwa utapigika aisee kule pasikie tu. Kikubwa jela usivunje sheria zilizowekwa utatoka salama bila kuguswa hata kofi
Jamaa kaleta FIX sana story za vijiweni unakuja kuleta uzi humu ndani!!

Jela za TZ kwasasa karibia zote uhuni ushapotea au upo kwa kiasi kidogo sana
 
Mbona kuna mwanaJF mzoefu wa jela alileta stori kuwa jela kubanduliwa labda utake mwenyewe!
Mkuu me nilihukumiwa kifungo cha miaka nane jela,nikakaa miaka miwili nikatoka...
Kwenye hiyo miwili nimefanyiwa escoter gereza 4...ninauzoefu na jela na nimeshatoa ushuhuda humu mara kadhaa...

Jela ukiwa mnyonge unafirwa,unapigwa,unanyang'anywa,unalizwa,unatumwa,unaolewa na hauna kwa kushtaki.

Labda kama mnafungwa gereza zenu za town ila huko mabush, wewe jela isikiage tu...

Nimekaa MAWENI(Muuweni),MPECHI,SONGWE,ISISI...Kama hapo mpechi kazi kubwa ni kuhamisa kinyesi(mavi) mnaenda kuyamwaga kwenye mashamba ya kabechi...asikwambie mtu kitu..

wakati nipo ISISI nimewahi kumwangushi mti wa miiba(mpogoro) jamaa yangu wa maskani alikua SHOGA....Mara leo atombwe na cleaner,kesho atombwe na kiongozi wa selo nikaona njia ya kumsaidia ni KUMUUA Tu,ila nilipigwa sana na mabwana zake...

jela ni "ROHO YAKO ILA MWILI WETU" Na wanautumia kweli....
 
Isisi, rujewa Mbarali!?
 
Back
Top Bottom