Maisha ya Ulaya hasa Norway ni mazuri sana, Bongo bado sana

Ukweli mtupu !
- connection zikikosekana itabidi tu tujilipuwe itajulikana mbele ya safari... !
 
Mkuu naomba connection..pm
 
Nipe connection mkuu!
 
Mkuu naona unatuhubiria habari za vifo kanakwamba kwenda ulaya /America aubara jingine mbali na nchi yako ni sawa na kwenda vitani?
 
Mkuu nchi hizo uki overstay kuhusu visa yakoinakuwaje?
 
Halafu hao ndo unakuta wamevimbiwa na kodi za Wavuja jasho....wanashauri wenzao wajiajiri.

Unajitutumua kulimia mahindi Laela...au Likonde..anayekupangia bei yupo Dar es salaam....bongo utapeli mwingi sana.
Inasikitisha sana mkuu, vijana , watu wamakamo wanapambana sana ... ila maisha ya bongo yanakatisha tamaa kwakweli!
 
Acha vijana watumikie nchi yao bhana, yaani vijana wanapishana na mzungu na mchina wanaokuja kusomba dhahabu......kijana anakimbilia box alipwe dola 20.....hii mbaya sana.
We mzee umelewa?
 
Mkuu tupe njia ya kweli tusitapeliwe...
 
Sina haja ya kuongeza.

Watanzania wana ujinga mwingi sana..

Wanahalalisha umasikini wao na kujiona bora zaidi.
 
ILa sio kwa upweke ule wa kuishi ulaya hapana aisee. mi bongo sihami wacha tukomae hapa hapa
 
Mbongo anaweza kusifia ulipa kodi ulaya lakini akibanwa bongo alipe kodi anaitwa unyanyasaji
 
Hata mimi naona harufu ya wizi
 
Sisi tuna mali nyingi Sana kuliko Norway tatizo hatujapata kiongozi tangu UHURU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…