Maisha ya Ulaya hasa Norway ni mazuri sana, Bongo bado sana

Halafu hao ndo unakuta wamevimbiwa na kodi za Wavuja jasho....wanashauri wenzao wajiajiri.

Unajitutumua kulimia mahindi Laela...au Likonde..anayekupangia bei yupo Dar es salaam....bongo utapeli mwingi sana.
Mimi biashara za kulimaga eka 5 sizitaki! Unahangaika wee unajikuta unaambulia kafaida kadoogo ..kilimo hiki acha tu
 
Acha vijana watumikie nchi yao bhana, yaani vijana wanapishana na mzungu na mchina wanaokuja kusomba dhahabu......kijana anakimbilia box alipwe dola 20.....hii mbaya sana.
Kwa nchi gani bwana wee...! Turuhusuni tuuze dhahabu hata Kenya basi ..mmebana mashart kibao🥵!
 
Bongo kwenyewe wasomi mnakimbizana na vyeo vya U-DC na U-DED....besides siyo wote wanaofia baharini. Nimeshawaambia.. bongo unaweza usifie baharini lakini ukafa kwa ajali ya kugongwa na Toyo au bajaji isiyo na bima.....hahahah
Mkuu wewe endelea kubeba mabox, waache vijana watumikie fursa kwenye nchi yao......yaani ukaendeleze kwa wengine huku kwako kunachakaa.
 
Mdogo wako kamtumia 7m?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Bwana mdogo ni teacher. Ana alikuwa na saving zake million 10. Huyu jamaa mwaka juzi alivyooanza kuleta uzi humu kaanzi Ukraine, katoka Ukraine kaingia Poland halafu baada ya wiki akaleta threads zingine yuko Norway.

Mimi nimeishi na nipo Norway miaka 12 sasa hivi. Na kabla ya Norway nilisoma Ukraine baadaye nikajiachia Hungary. Tulitaka kujiachia Ujerumani lakini tukadakwa mpakani tukajikuta tunaomba hifadhi Hungary.

Bwana mdogo nimemsaidia sana visa ya Hungary imeshindikana.

Yupo humu jamvin. Aliposoma uzi wa jamaa akamfua pm.. Jamaa akamuambia yani huku kazi nyingi na mademu kibao ukifika tu wanakugombania wanapenda waafrika sana na unaoa na unapara passport.

Dogo nikamuonya ampotezee jamaa anamdanganya siyo kirahisi kihivyo. Nilisikitika sana bwana mdogo kunitangaza eti sitaki kumsaidia kuja ulaya.

Jamaa akawapanga akawadanganya ana jamaa yake yuko Dar kumbe ndo yeye atafute na wengine waende kwake na milioni 7 kila mmoja atawasaidia visa ya Poland halafu wakifika Poland anawavusha Norway.

Nikamuonya tena bwana mdogo. Ila Inasikitisha sana jamaa kala 14 m
 
Mkuu wewe endelea kubeba mabox, waache vijana watumikie fursa kwenye nchi yao......yaani ukaendeleze kwa wengine huku kwako kunachakaa.

Hizi stories wape vijana wa CCM aisee....mimi box nilishabeba sana..na hapa mjini nabanana na hao maboss wako.....so Iam ok kiubishiubishi....Hahahah
 
Wewe beba mabox mkuu, ila nchi hii fursa bado nyingi kwa vijana kuzichangamkia tofauti na jirani zetu kenya. Mkenya na mchina wanaitolea udenda nchi hii halafu vijana waachie nchi yao, ardhi, madini na kila kitu kwa gharama ya kubeba mabox kwa wazungu na kufurahia maisha artificial utumwani, hata Isreali walipokombolewa utumwani misri waliendelea kubaki na kumbukumbu za masufuria ya nyama waliyoyaacha...
 
Hapo ukute unabeua mijuice ya passion unaandika haya😜!umeshiba balaa
 
Moja ya vitu ambavyo sikuwahi kukubaliana navyo ni ile dhana ya kusema eti maisha ya Europe ni ya upweke. Upweke unautengeneza mwenyewe tu, ila ukweli ni kuwa maisha ya Ulaya ni mazuri Sana hasa Norway.

Bongo bado Sana, tusiongopeane na kujipa moyo. Anayeweza kuja aje ashuhudie. Na inapaswa kuwa challenge kwa serikali yetu kujitahidi walau nusu tu ya maisha ya huku. Inawezekana.

Huku public facilities zipo kwa kiwango Cha juu sana, Ni wewe tu kuamua kuenjoy au laa. Wengi huwa hawajui wafanye nini wakifika huku na hivyo kuishia kuona maisha ni magumu, Ila kwa ambao ni hustlers Kama Mimi aisee huku Ni penyewe kabisa.

Kingine ambacho nimekiona Cha tofauti ni huku tulipo hakuna mwizi Wala kibaka. Sasa nikimmbuka kule home nabaki nachoka tu. Usiku inafuga mbwa wakali Ila bado wanajema wanazama ndani na kuiba. Ieleweke, bado naipenda Sana nchi yangu na Sina maana na kuipondea Ila nazungumzia uhalisia naoona kwa macho yangu na si kusimuliwa.

Mimi napenda Sana soccer hivyo Mara mojamoja napopata nafasi huwa nasogea viwanja vya jirani ili kuweza kufanya mazoezi na huwa napata sana positive feedback kutoka kwa naofanya nao, bahati mbaya umri tu umeenda Ila bila hivyo ningetest zali langu huku [emoji1787][emoji1787].

Tuache dhana potofu, Mara zote nimesisitiza watu kuwa positive kwenye maisha, hii itasaidia kukufanya uwe na focus, Ila kila kitu ukichukulia kwa negative basi na matokeo huwa negative.

Chini ni picha za ground napofanya mazoezi.

sawa mkuu, tayari tumeshajua upo ulaya
NB; Kufananisha Norway na Bongo is not fair...
 
Bwana mdogo ni teacher. Ana alikuwa na saving zake million 10. Huyu jamaa mwaka juzi alivyooanza kuleta uzi humu kaanzi Ukraine, katoka Ukraine kaingia Poland halafu baada ya wiki akaleta threads zingine yuko Norway.

Mimi nimeishi na nipo Norway miaka 12 sasa hivi. Na kabla ya Norway nilisoma Ukraine baadaye nikajiachia Hungary. Tulitaka kujiachia Ujerumani lakini tukadakwa mpakani tukajikuta tunaomba hifadhi Hungary.

Bwana mdogo nimemsaidia sana visa ya Hungary imeshindikana.

Yupo humu jamvin. Aliposoma uzi wa jamaa akamfua pm.. Jamaa akamuambia yani huku kazi nyingi na mademu kibao ukifika tu wanakugombania wanapenda waafrika sana na unaoa na unapara passport.

Dogo nikamuonya ampotezee jamaa anamdanganya siyo kirahisi kihivyo. Nilisikitika sana bwana mdogo kunitangaza eti sitaki kumsaidia kuja ulaya.

Jamaa akawapanga akawadanganya ana jamaa yake yuko Dar kumbe ndo yeye atafute na wengine waende kwake na milioni 7 kila mmoja atawasaidia visa ya Poland halafu wakifika Poland anawavusha Norway.

Nikamuonya tena bwana mdogo. Ila Inasikitisha sana jamaa kala 14 m
Weee usinambie...sasa kwanini usimripoti kwa mods wakampiga life ban?[emoji848]

Humu si anazidi kupoteza wengine

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Sipendi kabisa vijana wa kitanzania na kiafrika wakafie bahari ya mediteranean kwa kukanyagana kuzamia ulaya, mbona wao hawakanyagani kuja huku kwetu. Hii ni kuwajaza vijana fikra za kitumwa kana kwamba hawawezi kupambana kuboresha hali ya mambo kwenye nchi zao, hadi akawe mbeba mabox ya wazungu.....
Kima Cha chini Cha mshahara wa serikali ni 270,000 Takribani dola 130 kwa mwezi , huo sio utumwa ?

Hizo dola kwa ulaya unaingiza kwa masaa kadhaa tu.
 
Unakuwaje mtumwa wakati unajenga nchi yako? wee jamaa veepe...
 
Mkuu wewe endelea kubeba mabox, waache vijana watumikie fursa kwenye nchi yao......yaani ukaendeleze kwa wengine huku kwako kunachakaa.
Si mpaendeleze Nyie kwani ni lazima tupaendeleze sisi.

Why are you forcing us to remain while this country is full of richness you'll collect em all?
 
Wewe beba mabox mkuu, ila nchi hii fursa bado nyingi kwa vijana kuzichangamkia tofauti na jirani zetu kenya. Mkenya na mchina wanaitolea udenda nchi hii halafu vijana waachie nchi yao, ardhi, madini na kila kitu kwa gharama ya kubeba mabox kwa wazungu na kufurahia maisha artificial utumwani, hata Isreali walipokombolewa utumwani misri waliendelea kubaki na kumbukumbu za masufuria ya nyama waliyoyaacha...
Ukute unaishi kwa shemeji yako unasubiri amalize kula sebuleni utandike kigodoro chako Cha Dodoma ulaze hizo mbavu zako sebuleni.

Pumbav
 
Moja ya vitu ambavyo sikuwahi kukubaliana navyo ni ile dhana ya kusema eti maisha ya Europe ni ya upweke. Upweke unautengeneza mwenyewe tu, ila ukweli ni kuwa maisha ya Ulaya ni mazuri Sana hasa Norway.

Bongo bado Sana, tusiongopeane na kujipa moyo. Anayeweza kuja aje ashuhudie. Na inapaswa kuwa challenge kwa serikali yetu kujitahidi walau nusu tu ya maisha ya huku. Inawezekana.

Huku public facilities zipo kwa kiwango Cha juu sana, Ni wewe tu kuamua kuenjoy au laa. Wengi huwa hawajui wafanye nini wakifika huku na hivyo kuishia kuona maisha ni magumu, Ila kwa ambao ni hustlers Kama Mimi aisee huku Ni penyewe kabisa.

Kingine ambacho nimekiona Cha tofauti ni huku tulipo hakuna mwizi Wala kibaka. Sasa nikimmbuka kule home nabaki nachoka tu. Usiku inafuga mbwa wakali Ila bado wanajema wanazama ndani na kuiba. Ieleweke, bado naipenda Sana nchi yangu na Sina maana na kuipondea Ila nazungumzia uhalisia naoona kwa macho yangu na si kusimuliwa.

Mimi napenda Sana soccer hivyo Mara mojamoja napopata nafasi huwa nasogea viwanja vya jirani ili kuweza kufanya mazoezi na huwa napata sana positive feedback kutoka kwa naofanya nao, bahati mbaya umri tu umeenda Ila bila hivyo ningetest zali langu huku [emoji1787][emoji1787].

Tuache dhana potofu, Mara zote nimesisitiza watu kuwa positive kwenye maisha, hii itasaidia kukufanya uwe na focus, Ila kila kitu ukichukulia kwa negative basi na matokeo huwa negative.

Chini ni picha za ground napofanya mazoezi.

Mbona hapo unapofanya mazoezi matope matupu.Afadhali Tandale kwa Mtogole.
 
Back
Top Bottom