Maisha ya Ulaya hasa Norway ni mazuri sana, Bongo bado sana

Mkuu anadanganya hivyo halafu anawapata vijana wako desperate wanafuata pm kumuomba awasaidie. Atawajibu yeye hawezi lakini ana jamaa yake yuko Dar ambaye ndio yeye. Atakuitisha Million 7 akusaidie michongo ya norway. Kashawapiga wawili na mmoja ni mdogo wangu. Nilimuonya dogo hakunisikia

Wajinga wajinga wanapigwa kweli kwa hizi nyuzi za ughaibuni feki.

Na hizi nyuzi zenye mlengo wa 'koneksheni' to ughaibuni ni organised movement, siyo mtu mmoja. That means mleta mada hayupo pekeake hapa, kuna wenzake wanamback-up kiaina na wanachangia uzi huu.

-Kaveli-
 
Per Diem, mwaka jana ulifanikiwa kupata Tsh Million mbili mtaji wa kujiunga Q-net?

IMG_20210506_230152.jpg

-Kaveli-
 
Mkuu anadanganya hivyo halafu anawapata vijana wako desperate wanafuata pm kumuomba awasaidie. Atawajibu yeye hawezi lakini ana jamaa yake yuko Dar ambaye ndio yeye. Atakuitisha Million 7 akusaidie michongo ya norway. Kashawapiga wawili na mmoja ni mdogo wangu. Nilimuonya dogo hakunisikia

Madam Jimena , yule Mzee wa Norweeyi tayari keshaliza watu humu.

-Kaveli-
 
All I want is right here in africa,I love you Africa I love you yeah......by Steve Kekana
 
Mkuu anadanganya hivyo halafu anawapata vijana wako desperate wanafuata pm kumuomba awasaidie. Atawajibu yeye hawezi lakini ana jamaa yake yuko Dar ambaye ndio yeye. Atakuitisha Million 7 akusaidie michongo ya norway. Kashawapiga wawili na mmoja ni mdogo wangu. Nilimuonya dogo hakunisikia

Mkuu binti kiziwi , tayari mtaalamu Per Diem ameshalamba perdiem ya Tsh 7 million kwa mjinga mmoja humu. 😂

Hawa wazee wa 'koneksheni' ughaibuni ipo siku tu watajaa kwenye '18' za wadananda na watatoa 'boko'. Tunawalia timing tu.

-Kaveli-
 
Bwana mdogo ni teacher. Ana alikuwa na saving zake million 10. Huyu jamaa mwaka juzi alivyooanza kuleta uzi humu kaanzi Ukraine, katoka Ukraine kaingia Poland halafu baada ya wiki akaleta threads zingine yuko Norway.

Mimi nimeishi na nipo Norway miaka 12 sasa hivi. Na kabla ya Norway nilisoma Ukraine baadaye nikajiachia Hungary. Tulitaka kujiachia Ujerumani lakini tukadakwa mpakani tukajikuta tunaomba hifadhi Hungary.

Bwana mdogo nimemsaidia sana visa ya Hungary imeshindikana.

Yupo humu jamvin. Aliposoma uzi wa jamaa akamfua pm.. Jamaa akamuambia yani huku kazi nyingi na mademu kibao ukifika tu wanakugombania wanapenda waafrika sana na unaoa na unapara passport.

Dogo nikamuonya ampotezee jamaa anamdanganya siyo kirahisi kihivyo. Nilisikitika sana bwana mdogo kunitangaza eti sitaki kumsaidia kuja ulaya.

Jamaa akawapanga akawadanganya ana jamaa yake yuko Dar kumbe ndo yeye atafute na wengine waende kwake na milioni 7 kila mmoja atawasaidia visa ya Poland halafu wakifika Poland anawavusha Norway.

Nikamuonya tena bwana mdogo. Ila Inasikitisha sana jamaa kala 14 m

Duh! Noma.

Huyu tapeli wa 'Norweyi ya google' ni wa kumsaka na achezee kichapo cha mbwa mwizi... ukute lipo tu hapo Kijiwe Samli kiwalani linafuga ndevu ka brush.

Wabongo fix sana plus miyeyusho.

-Kaveli-
 
Madam Jimena , yule Mzee wa Norweeyi tayari keshaliza watu humu.

-Kaveli-
Tatizo watu wanapenda sana mteremko! Mtu badala afate njia halali ya kuomba visa ama permit ye anataka mtu mwingine tena asiemjua ndio amfanyie kazi hiyo,
Balozi zipo wazi ila mtu hata kwenda kuuliza tu vitu vinavyotakiwa ili aweze kusafiri kwenda nchi husika hamna,
Pia sio lazima mtu aende Embassy hata akipiga simu tu wanamsaidia kumjibu maswali yote, na njia hizi zote ni SALAMA na ni BURE!

Lakini badala yake mtu anataka akae nyumbani huku anafanyiwa mchongo tu☹
 
Moja ya vitu ambavyo sikuwahi kukubaliana navyo ni ile dhana ya kusema eti maisha ya Europe ni ya upweke. Upweke unautengeneza mwenyewe tu, ila ukweli ni kuwa maisha ya Ulaya ni mazuri Sana hasa Norway.

Bongo bado Sana, tusiongopeane na kujipa moyo. Anayeweza kuja aje ashuhudie. Na inapaswa kuwa challenge kwa serikali yetu kujitahidi walau nusu tu ya maisha ya huku. Inawezekana.

Huku public facilities zipo kwa kiwango Cha juu sana, Ni wewe tu kuamua kuenjoy au laa. Wengi huwa hawajui wafanye nini wakifika huku na hivyo kuishia kuona maisha ni magumu, Ila kwa ambao ni hustlers Kama Mimi aisee huku Ni penyewe kabisa.

Kingine ambacho nimekiona Cha tofauti ni huku tulipo hakuna mwizi Wala kibaka. Sasa nikimmbuka kule home nabaki nachoka tu. Usiku inafuga mbwa wakali Ila bado wanajema wanazama ndani na kuiba. Ieleweke, bado naipenda Sana nchi yangu na Sina maana na kuipondea Ila nazungumzia uhalisia naoona kwa macho yangu na si kusimuliwa.

Mimi napenda Sana soccer hivyo Mara mojamoja napopata nafasi huwa nasogea viwanja vya jirani ili kuweza kufanya mazoezi na huwa napata sana positive feedback kutoka kwa naofanya nao, bahati mbaya umri tu umeenda Ila bila hivyo ningetest zali langu huku [emoji1787][emoji1787].

Tuache dhana potofu, Mara zote nimesisitiza watu kuwa positive kwenye maisha, hii itasaidia kukufanya uwe na focus, Ila kila kitu ukichukulia kwa negative basi na matokeo huwa negative.

Chini ni picha za ground napofanya mazoezi.

Je ulijua wanalipa kodi kiasi gani ili hayo maisha yawe ya raha?
TZ wakiambiwa kulipa kodi kila mmoja anafungua macho kama wameona ziraili!!!
 
Tz ukilipa kodi inatumiwa kununua wapinzani !!! Silipagi aisee nawakwepa hawa Tra
 
Moja ya vitu ambavyo sikuwahi kukubaliana navyo ni ile dhana ya kusema eti maisha ya Europe ni ya upweke. Upweke unautengeneza mwenyewe tu, ila ukweli ni kuwa maisha ya Ulaya ni mazuri Sana hasa Norway.

Bongo bado Sana, tusiongopeane na kujipa moyo. Anayeweza kuja aje ashuhudie. Na inapaswa kuwa challenge kwa serikali yetu kujitahidi walau nusu tu ya maisha ya huku. Inawezekana.

Huku public facilities zipo kwa kiwango Cha juu sana, Ni wewe tu kuamua kuenjoy au laa. Wengi huwa hawajui wafanye nini wakifika huku na hivyo kuishia kuona maisha ni magumu, Ila kwa ambao ni hustlers Kama Mimi aisee huku Ni penyewe kabisa.

Kingine ambacho nimekiona Cha tofauti ni huku tulipo hakuna mwizi Wala kibaka. Sasa nikimmbuka kule home nabaki nachoka tu. Usiku inafuga mbwa wakali Ila bado wanajema wanazama ndani na kuiba. Ieleweke, bado naipenda Sana nchi yangu na Sina maana na kuipondea Ila nazungumzia uhalisia naoona kwa macho yangu na si kusimuliwa.

Mimi napenda Sana soccer hivyo Mara mojamoja napopata nafasi huwa nasogea viwanja vya jirani ili kuweza kufanya mazoezi na huwa napata sana positive feedback kutoka kwa naofanya nao, bahati mbaya umri tu umeenda Ila bila hivyo ningetest zali langu huku [emoji1787][emoji1787].

Tuache dhana potofu, Mara zote nimesisitiza watu kuwa positive kwenye maisha, hii itasaidia kukufanya uwe na focus, Ila kila kitu ukichukulia kwa negative basi na matokeo huwa negative.

Chini ni picha za ground napofanya mazoezi.

We umewasaidia wangapi kufika hapo mpaka sasa?
 
Mm natafuta mshikaji mwenye akili za kijasusi kama zangu tuzamie chimbo lolote lile tunalo ona tunaweza kutoboa maisha. PM me
 
Kwamba akili zako za kijasusi hazina uwezo pasipo kusaidiwa na akili zingine?

Wonders shall never cease!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] zinauwezo mkubwa ila hiyo ni mbinu ya kukamilisha mishen yangu mkuu.
 
Kama una issue zako zinakuingizia hela kidogo na umri wako umesogea achana na hayo mawazo. You gonna end up frustrated. Been there done that.
Umri kusogea ni kuanzia miaka mingapi?
 
Unasema watu wawe positive wakati huo huo wewe uko negative....! Kwenye hii mada yako ulipaswa uzungumzie na uonyeshe uzuri wa ulaya. Lakini naona ww umechagua kuwa negative kwa kuzungumzia ubaya wa tz tu....!
 
Mkuu tupeane ramani jinsi ya kuingia huko binafsi nna ndoto za kuzamia moja Kati ya Scandinavian nations toka kitambo Mkuu nikiingia huko tu the rest is upon myself coz binafsi ni hastler super so naamini sitakwama Per Diem
Ukipata mwanga ni pm
 
Back
Top Bottom