Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha wivu mkuu[emoji23][emoji23]JF bhana utafikiri watu wameanza kwenda Ulaya awamu ya tano!
Niliweka Uzi wa hatua kwa hatua hadi kufika nikaaambulia matusi na dhihaka.Mkuu tupeane ramani jinsi ya kuingia huko binafsi nna ndoto za kuzamia moja Kati ya Scandinavian nations toka kitambo Mkuu nikiingia huko tu the rest is upon myself coz binafsi ni hastler super so naamini sitakwama Per Diem
Sasa unatambishia watu upo Ulaya ili iweje🤔 Kutaka sifa au ndio unarusha nyavu 🙂Huu msaada ndio nilikataa, sorry!
Nimeacha mkuuAcha wivu mkuu[emoji23][emoji23]
Anafanya kazi/vibarua bandarini.... alisema juzi na picha akatuma.Mkuu Unafanya kazi gani huko Norway ?
Ngoja tusubiri picha hapa..... 😎 😎 😎Kama upo Norway kweli piga picha mkononi ukiwa umeshika gazeti mojawapo la kila siku la Norway Verden Gang, au Aftenposten😎
Umeshawahi kuishi huko kweli au umesimuliwa??.Moja ya vitu ambavyo sikuwahi kukubaliana navyo ni ile dhana ya kusema eti maisha ya Europe ni ya upweke. Upweke unautengeneza mwenyewe tu, ila ukweli ni kuwa maisha ya Ulaya ni mazuri Sana hasa Norway.
Bongo bado Sana, tusiongopeane na kujipa moyo. Anayeweza kuja aje ashuhudie. Na inapaswa kuwa challenge kwa serikali yetu kujitahidi walau nusu tu ya maisha ya huku. Inawezekana.
Huku public facilities zipo kwa kiwango Cha juu sana, Ni wewe tu kuamua kuenjoy au laa. Wengi huwa hawajui wafanye nini wakifika huku na hivyo kuishia kuona maisha ni magumu, Ila kwa ambao ni hustlers Kama Mimi aisee huku Ni penyewe kabisa.
Kingine ambacho nimekiona Cha tofauti ni huku tulipo hakuna mwizi Wala kibaka. Sasa nikimmbuka kule home nabaki nachoka tu. Usiku inafuga mbwa wakali Ila bado wanajema wanazama ndani na kuiba. Ieleweke, bado naipenda Sana nchi yangu na Sina maana na kuipondea Ila nazungumzia uhalisia naoona kwa macho yangu na si kusimuliwa.
Mimi napenda Sana soccer hivyo Mara mojamoja napopata nafasi huwa nasogea viwanja vya jirani ili kuweza kufanya mazoezi na huwa napata sana positive feedback kutoka kwa naofanya nao, bahati mbaya umri tu umeenda Ila bila hivyo ningetest zali langu huku [emoji1787][emoji1787].
Tuache dhana potofu, Mara zote nimesisitiza watu kuwa positive kwenye maisha, hii itasaidia kukufanya uwe na focus, Ila kila kitu ukichukulia kwa negative basi na matokeo huwa negative.
Chini ni picha za ground napofanya mazoezi.
Tutembee vifua mbele huku vikiwa vimejaa Kama vikalio vya mtoto.Hivi Magufuli alipokua anasema tutembee vifua mbele alikua anamaanisha nini?
Ni kweli mkuu lakini kama ni ubaguzi tunafanyiwa hapa hapa nchini na weusi wenzetu.Wazungu wana ubaguzi sana dhidi ya ngozi nyeusi, sema labda kama una hulka ya kujikombakomba.....vinginevyo utaboreka zaidi ukilinganisha kuishi na jamii ya weusi wenzako..