Maisha ya Ulaya hasa Norway ni mazuri sana, Bongo bado sana

Mkuu tupeane ramani jinsi ya kuingia huko binafsi nna ndoto za kuzamia moja Kati ya Scandinavian nations toka kitambo Mkuu nikiingia huko tu the rest is upon myself coz binafsi ni hastler super so naamini sitakwama Per Diem
Niliweka Uzi wa hatua kwa hatua hadi kufika nikaaambulia matusi na dhihaka.
Hata hivyo kwa hilo sipo tayari, pole
 
Umeshawahi kuishi huko kweli au umesimuliwa??.
 
Wazungu wana ubaguzi sana dhidi ya ngozi nyeusi, sema labda kama una hulka ya kujikombakomba.....vinginevyo utaboreka zaidi ukilinganisha kuishi na jamii ya weusi wenzako..
Ni kweli mkuu lakini kama ni ubaguzi tunafanyiwa hapa hapa nchini na weusi wenzetu.

Wachagga wanawabagua wasukuma, wahaya wanawabagua wagogo. Ubaguzi hautakaa uishe duniani, vijana tokeni mkatafute maisha aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…