Uko sahihi kabisa! Enzi hizo walikuwa wanasifia kila ujinga uliofanywa na yule Dikteta wao Uchwara! Leo hii wamechwa kwenye mfumo, wanajifanya eti na wenyewe wanaguswa na matatizo ya wananchi walio wengi!
Hapa dawa ni kutafuta tu njia ya kuundoa huu mfumo wa sasa wa kifisadi, na unao litafuna Taifa kupitia hiki kikundi cha watu wachache. Hakuna namna nyingine.