Maisha ya Watanzania yanachezewa na CCM, wananachi wanahangaika huku wanasiasa wa CCM wakiwaona wananchi ni wajinga

Maisha ya Watanzania yanachezewa na CCM, wananachi wanahangaika huku wanasiasa wa CCM wakiwaona wananchi ni wajinga

We chakubanga tutawanyoosha washamba nyie
Mlikula maisha sasa ni zamu yetu tulia tulambe asali sisi
 
Huu ndiyo ukweli mchungu jamaa yangu Idugunde. Makada wa ccm mkiwa nje ya mfumo mnakuwa na mawazo mazuri na chanya.

Mkiwa ndani ya mfumo wa ulaji, huwa mnageuka na kuwa watu wa hovyo sana. Hamjawahi kuwa na uchungu na maisha ya wananchi walio wengi! Isipokuwa tu nyinyi wenyewe, familia zenu na marafiki zenu.
Mkuu sio hivyo
 
Uko sahihi kabisa! Enzi hizo walikuwa wanasifia kila ujinga uliofanywa na yule Dikteta wao Uchwara! Leo hii wamechwa kwenye mfumo, wanajifanya eti na wenyewe wanaguswa na matatizo ya wananchi walio wengi!

Hapa dawa ni kutafuta tu njia ya kuundoa huu mfumo wa sasa wa kifisadi, na unao litafuna Taifa kupitia hiki kikundi cha watu wachache. Hakuna namna nyingine.
Asante kwa kuvuka hatua ya kuijua dawa.
Dawa kadhaa zimejaribiwa na kushindwa kutibu.
Hizi ni
Katiba mpya kwa majadiliano.
Upigaji kura na uchaguzi.
Maandamano.
Mashinikizo ya mataifa ya nje.
....。sasa tujadiri dawa zilizobaki.
Binafs naamin hili genge litadhibitiwa kulingana na tabia yake......NGUVU!
Mwenye dawa tofaut na bla bla aiseme!
 
Back
Top Bottom