mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Ndio inayoitwa kuongea lugha moja hiyo !!!Kipindi cha dikteta ulikuwa mpiga mapambio wa CCM sahivi naona umebadili gia angani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio inayoitwa kuongea lugha moja hiyo !!!Kipindi cha dikteta ulikuwa mpiga mapambio wa CCM sahivi naona umebadili gia angani
Mkuu sio hivyoHuu ndiyo ukweli mchungu jamaa yangu Idugunde. Makada wa ccm mkiwa nje ya mfumo mnakuwa na mawazo mazuri na chanya.
Mkiwa ndani ya mfumo wa ulaji, huwa mnageuka na kuwa watu wa hovyo sana. Hamjawahi kuwa na uchungu na maisha ya wananchi walio wengi! Isipokuwa tu nyinyi wenyewe, familia zenu na marafiki zenu.
Asante kwa kuvuka hatua ya kuijua dawa.Uko sahihi kabisa! Enzi hizo walikuwa wanasifia kila ujinga uliofanywa na yule Dikteta wao Uchwara! Leo hii wamechwa kwenye mfumo, wanajifanya eti na wenyewe wanaguswa na matatizo ya wananchi walio wengi!
Hapa dawa ni kutafuta tu njia ya kuundoa huu mfumo wa sasa wa kifisadi, na unao litafuna Taifa kupitia hiki kikundi cha watu wachache. Hakuna namna nyingine.
Njaa haina baunsaKipindi cha dikteta ulikuwa mpiga mapambio wa CCM sahivi naona umebadili gia angani