Si Kweli, nimewah kwenda Zanzibar na KUPOKELEWA Kwa ukarim wa hali ya juu ambao sijapata kuuona popote Tanzania bara.Unaijua Zanzibar gani mwenzetu!! eti chakula sio bei chakula gani hicho urojo ama. Zanzibar hapafai wabaguzi sana kuanzia kuingia mpaka kutoka.
Yaani aishi maisha ya kuwafurahisha watu ili asiitwe mshamba?,...sasa huo ndo ushambaJiandae kuambiwa una chogo, mshamba hujui kula urojo, mchuzi wa chuku chuku na boflo ukipewa kula ukikataa utaambiwa mijitu ya bara itajuaje vitu hivi.
Udini, ubaguzi wa rangi na kunyanyapaliwa kimwonekano jipange kisaikolojia
=
Unajua lugha ngapi?Habari za mihangaiko wanajamii,
Hivi karibuni nafikiria kwenda zanzibar kwaajili ya kuanza Maisha, pamoja na kutafuta kazi huko hasa zinazohusu tourism and hospitality,
Kwa wenyeji na wzoefu wa Maisha ya Zanzibar,
Je Maisha ya utafutaji yapo vipi huko (ugumu na wepesi wa kupata kazi) ?
Gharama za maisha (chalupa na kodi ya chumba) zinakutaka walau uwe na kiasi gani cha fedha kwa mwezi.?
Unaishi zenji sehemu gni?Nayasema haya naishi Zanzibar achana na hawa watu halafu wanakutapeli huku wanakuchekea.
Lugha tatuUnajua lugha ngapi?
Una leseni ya udereva?
Ukiwa na hivo vitu maisha ya utalii ni chap na kwa haraka
Ukihitaji uwenyeji tutafute tukusaidie hatuna baya ss mna kila mtu ana rizki yke ambayo amekadiriwa na muumba mpk kufa kwake
Ni iimani yangu hayo usemayo hayatokei kwa wote, maana tone yako ni kana kwamba raia wote wa huko sma waendao huko wana hayo mamboNayasema haya naishi Zanzibar achana na hawa watu halafu wanakutapeli huku wanakuchekea.
Usiwadanganýe wenzioHapa Tanzania. Hakuna Sehemu nzuri Kama Zanzibar katika utafutaji na kutoboa Maisha watu wakarimu hamna rate kubwa ya umasikini ni Akili zako na kumuomba Mungu akuvushe kila hatua dua
Kiswahili haujuiLugha tatu
English (kuonea na kuandika)
Arabic (basic)
Spanish (basic)
We chalii ni complicator kinoma yni sasa nani asojua kiswahili tz hii? Inaonekana we ni mlugaluga wa hungumalwa au Puni ukoKiswahili haujui
Mpwayungu unafeli wapi mbona unamtisha mwenzio na unataja sifa mbaya kwa jamaa zetu anyway.Jiandae kuambiwa una chogo, mshamba hujui kula urojo, mchuzi wa chuku chuku na boflo ukipewa kula ukikataa utaambiwa mijitu ya bara itajuaje vitu hivi.
Udini, ubaguzi wa rangi na kunyanyapaliwa kimwonekano jipange kisaikolojia
N. B. hawanaga bikra ya nyuma
Kama siyo masikini mbona kila mwaka tunawafutia deni la umeme?Hapa Tanzania. Hakuna Sehemu nzuri Kama Zanzibar katika utafutaji na kutoboa Maisha watu wakarimu hamna rate kubwa ya umasikini ni Akili zako na kumuomba Mungu akuvushe kila hatua dua
Sio mikate wenyewe wanaita boflo/banzi. Ukisemacho ni kweli imagine sasa hivi kilo ya mchele safi ni 3500@kg, na unga wa sembe 2200@kg.Nilisikia maisha yapo juu sana na wanakula mikate usiku.
vitu rahisi ni vya electronics tu kama Tv, blender ila vyakula vipo juu sana.
Labda ni dini ya mtume.Si Kweli, nimewah kwenda Zanzibar na KUPOKELEWA Kwa ukarim wa hali ya juu ambao sijapata kuuona popote Tanzania bara.