Maisha ya Zanzibar yapoje? Nataka kwenda kutafuta ridhiki

Status
Not open for further replies.
Kumbe uliuliza ili usipewe mawazo usiyoyataka? Punguza ujuaji. Kwa shobo hizo lazima watu huko Zanzibar wakupasue tu
 
Daah hoya. Zanzibar pagumu asee asikwambie mtu. Ila kwa deals za tours umelenga mdau. nenda katest zali. Uwe njema tu kichwani kutema ungenge mwingii. afu ka unamtaji mkubwa ukiwa na alfard ndio utafurahi. Vinginevyo nisikukatishe tamaa. wenye pesa ni wachache sana kule, wenzangu na mie kajamba nani.
 
. Karibu Zanzibar N.B Ogopa wake zawatu.
 
Wewe bora ukabaki tu Tanganyika. Maana miaka siyo mingi huu muungano tutauvunjilia mbali, na kila watu watarejea kwenye nchi zao.
 
Si Kweli, nimewah kwenda Zanzibar na KUPOKELEWA Kwa ukarim wa hali ya juu ambao sijapata kuuona popote Tanzania bara.
Uongo wazanzibari wabaguzi tena kwenye sikukuu za kiislamu wakijua wewe mkristo hawakukalibishi ata ukiwa unaishi nao nyumba moja, wabaguzi sana kwa wakristo tofauti na jamii ya kiislamu ya bara, waislamu wa Bara tunaishi nao kindugu tunashirikiana kwenye misiba na sherehe, Wazanzibari wabaguzi sana yaani wanawasamini wazungu kuliko watanganyika, Kijana wa kizanzibari akipata mchumba wa kizungu familia inafurahia lakini kijana huyo huyo akipata mpenzi kutoka Tanganyika jina Janeth wanamuita kafili wana kataa wasioane.
 
Hapo kwenye kuwa na Alphard naomba ufafanuzi.
 
We hujui tabia za wazanzibari, Wazanzibari wanapenda starehe kama za Bara sema wanaogopa kuzifanya adharani na wanafanya kwa kificho sana, we unaweza kuamini kama mademu waki zanzibar wana vuta bangi na kunywa pombe tena KVANT? Tena vijana wakule Zanzibar wanauza unga na walevi sana, sema wanafanya kwa kujificha sana.
 
Kwani nyinyi c mnakwenu mnafata nini ZANZIBAR?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…