Maisha yako hivi Ulaya na Marekani

Maisha yako hivi Ulaya na Marekani

Kule wasio na KAZI kabisa Serikali inawapa Pesa ya kujikimu wasife njaa.

Huku familia maskini kupata 40,000 ya TASAF wanaenda kubebeshwa matofali ktk miradi ya Serikali, Hadi wazee.

Yanayofanyika Kwa wanufaika wa TASAF Awamu hii, haikuwahi Kutokea.

Kweli Anaupiga mwigi!!!!
WA HAPA SI WAMEONGEZEWA KUTOKA 5,000 KWA SIKU HADI 10,000 AU WEWE HUKUSIKIA? maana yake ni kusema kuwa hata hapa wanapewa
 
WA HAPA SI WAMEONGEZEWA KUTOKA 5,000 KWA SIKLU HADI 10,000 AU WEWE HUKUSIKIA? Hata hapa wanapewa
Hao ni wanafunzi, wanakopeshwa na watalipa.

Ongelea Wanufaika wa TASAF ambao ni wazee na wasiojiweza wanaofanyishwa KAZI ngumu Ili wapewe 40,000 Kwa mwezi.

Hapa kwetu wapo maelfu wanaolala njaa Kwa kukosa chakula, Serikali haijali.

Tunapoandika KATIBA mpya, HAKI ya kuishi ni namba moja KIKATIBA.

Serikali ihakikishe wananchi wanapata ajira, wasio na AJIRA Serikali iwalipe kuhakikisha hawafi Kwa njaa.

Ikiona kuwalipa ni mzigo, iwatafutie KAZI kama USA.
 
Hao ni wanafunzi, wanakopeshwa na watalipa.

Ongelea Wanufaika wa TASAF wanaofanyishwa KAZI ngumu Ili wapewe 40,000 Kwa mwezi.

Hapa kwetu wapo maelfu wanaolala njaa Kwa kukosa chakula, Serikali haijali.
Hiyo heshima wana kula kwa jasho lao kama Mungu alivyoagiza
 
Hata wazee wa miaka 75
TASAF wanabebeshwa matofali na wakuu wa wilaya ujenzi shule za kata😳😳😳

Mnajitafutia LAANA.
Sijui kama ulifanya hivi
273960647_3328588974094431_7526434727036898509_n.jpg
 
Watu kama hao hawakosekani mkuu.

Uchumi wa marekani na Tanzania hakuna kipimo chake.

Mtanzania wa kawaida anahitaji kumudu gharama za matibabu, maisha,elimu ila mwanasiasa anahitaji mazingira mazuri ya kufanya siasa na ndio hao kina lisu wanaotusumbua na katiba mpya.
 
...kwenye Nchi kama Marekani ambayo kwenye Katiba "three-fifths clause imelipeleka kuwa moja za Nchi zilizo ruhusu Ukimbari....sito taka hata kwa fimbo, niongeze hata kamstari kamoja toka huko kwenye Katiba ya Nchi yetu Tanzania.

Na bado kuna majimbo? (States) ambazo lugha za Ukimbari zimo pamoja na zile zinazodai Utumwa ni ruksa. Wanajaribu miaka 400 na ushee kubadilisha hayo, lakini tabia nchi ndio hivyo....Kandamizi kwenye watu wasio "Wazungu" au weupe.



 
Back
Top Bottom