Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye "hasa bongo" naona kama umekosea hivi.... bongo hatuna maisha mabovu kiivo. Yan bongo tukilinganisha na Kenya, wao ni matajiri zaidi kwa wastani... lakini pia maskini wa kule wana hali mbaya zaidi..Mleta mada, bora maskini wa Ulaya kuliko wa Africa hasa bongo, aisee ni mateso bila chuki.
![]()
View attachment 2518131
KumamakoKule wasio na KAZI kabisa Serikali inawapa Pesa ya kujikimu wasife njaa.
Huku familia maskini kupata 40,000 ya TASAF wanaenda kubebeshwa matofali ktk miradi ya Serikali, Hadi wazee.
Yanayofanyika Kwa wanufaika wa TASAF Awamu hii, haikuwahi Kutokea.
Kweli Anaupiga mwigi!!!!