Maisha yako hivi Ulaya na Marekani

Maisha yako hivi Ulaya na Marekani

Bado mtu anakuambia bora azaliwe mbwa uropa kuliko binadamu Gondwanaland
 
Mleta mada, bora maskini wa Ulaya kuliko wa Africa hasa bongo, aisee ni mateso bila chuki.

mke+na+mume.jpg



1676448929940.jpeg
 
Kule wasio na KAZI kabisa Serikali inawapa Pesa ya kujikimu wasife njaa.

Huku familia maskini kupata 40,000 ya TASAF wanaenda kubebeshwa matofali ktk miradi ya Serikali, Hadi wazee.

Yanayofanyika Kwa wanufaika wa TASAF Awamu hii, haikuwahi Kutokea.

Kweli Anaupiga mwigi!!!!
Kumamako
 
Back
Top Bottom