Maisha yako ya Ndoa yamekuwaje baada ya kutofanikiwa kuoa/kuolewa na 'your dream man/woman?

Pole na Hongera kiukweli,
Unastahili vyote hivyo..!!
 
Umeongea kitu cha msingi sana mkuu UBARIKIWE
 
Nimeskia tu kwamba aliekuaga na qualities anazozihitaji akijisogeza hata kama yuko ndani ya ndoa inakuwa hatari. Sina evidence lakini nimeskia tu kwa mtu
Nachojua ni kuwa huwa hisia zina fade, hata ukikutana naye hupati butterflies in the belly kama zamani...!!
 
That's the point mkuu
 
Ameen..
Leo mzab kaongea kama Mchungaji..!
tunataka wanawake wenye akili na wanaotaka kweli kuwa wake waolewe na mie kama mzabzab nafurahi sana kuona pale mwanamke anapo kuwa mke na kulinda ndoa yake. haya mambo ya wanaume kugegeda nje yapo tuu na wala hayawezi vunja ndoa. so to all ladies out there that really wana be wives, i salute u
 
I salute you too Mzab,
Kumbe you're this smart halafu huwa unajitoa tu ufahamu..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…