Maisha yamejaa huzuni kuu, nini kinaleta furaha maishani?

Mali , pesa ndo inaleta Kila kitu pesa n sabun ya roho pesa ni furaha
 
Niliwahi kufikiri nahitaj elimu kua bora nikapata,nikafikiri kuhusu pesa sijakosa kiivo ,nikasafiri mahali kwingi kubadili mandhar lakini bado ni mpweke sana
 
Najitahidi kukuelewa , ila kama wewe ni MWANAUME tambua kuwa FURAHA sio suala la msingi sana wala usiliweke kipaumbele kwenye maisha yako, jitahidi kufanya maisha yako yakae sawa au vizuri zaidi ya ulipo ,.
 
Hii Hali ni ngumu sana. Moyo unauma na hujui shida ni nini. Naweza kujitahidi kuongea na wazazi na ndugu lakini maongezi yakiisha tu Hali inarudi pale pale hasa wikiendi hizi.
Wewe ni mpweke.
Unahitaji watu
Unahitaji hobbie
Unahitaji challenges za kukupa energy ya kutokukaa tuu idle
Unahitaji new project
Unahitaji ndoto mpya za mafanikio
Unahitaji ushindani kwenye jambo unalofanya, badili kazi, badili team unayofanya nayo kazi.

Jifanyie tathmini utaona gap ilipo.
Kuoa na watoto sio suluhisho sana iwapo wewe mwenyewe hujui nini kinakukosesha amani unayoitafuta, utawatesa tu!
 
Asante sana Snowhite
 
Yaani sio ww tu mkuu hata mm Kuna siku najikuta Sina Raha na sijui shida ni nini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…