Maisha yamejaa huzuni kuu, nini kinaleta furaha maishani?

Hapo kwenye bia nimekuelewa bby yani nikiingiza elfu 20 elfu 5 lazima ninywe serengeti lager kubwa mbili za baridi.
 
Roho Mtakatfu
 
Hii Hali ni ngumu sana. Moyo unauma na hujui shida ni nini. Naweza kujitahidi kuongea na wazazi na ndugu lakini maongezi yakiisha tu Hali inarudi pale pale hasa wikiendi hizi.
Kila kitu uja na sababu uwenda kipo kitu ndani ya moyo wako unafahamu ndiyo mana inakutesa, siri ya kukosa amani unaifahamu.
 
 
Mhuuuuuuuu..... furaha inatoka Kwa YESU
 
Hapo kwenye bia nimekuelewa bby yani nikiingiza elfu 20 elfu 5 lazima ninywe serengeti lager kubwa mbili za baridi.
Hahahhaaa uwiiiiiihh..,.. kula bia baby, afu bia zinaongeza nguvu za kiume tukiingia kwenye show daaah nadata
 
Huwa inatokea hasa ukiwa na upweke jitahidi ku control hiyo hali
Fanya vile ambavyo vinakupa Furaha na sikiliza mziki unaoupenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…