Maisha yamekuwa magumu kwa waalimu shule binafsi

Maisha yamekuwa magumu kwa waalimu shule binafsi

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,104
Reaction score
1,924
Baada ya tangazo la mwendelezo wa lockdown kwa taasisi za elimu, waajiliwa taasisi binafsi Sasa Ni vilio, mwezi March wengi walilipwa maana walikuwa wamefanya kazi, ila shida inaanzia nwezi huu, April na May, hakuna mshahara, hapo ndipo ualimu unakosa maana, nurse ngazi ya cheti yeye yupo kazini Ila mwalimu degree holder anabaki nyumbani kwa natural disasters, hali ni tete. Serikali itoe mwongozo mapema kuhusu Watumishi taasisi binafsi 🙏🙏🙏
 
Baada ya tangazo la mwendelezo was lockdown kwa taasisi za elimu, waajiliwa taasisi binafsi Sasa Ni vilio, mwezi March wengi walilipwa maana walikuwa wamefanya kazi, ila shida inaanzia nwezi huu, April na May, hakuna mshahara, hapo ndipo ualimu unakosa maana, nurse ngazi ya cheti yeye yupo kazini Ila mwalimu degree holder anabaki nyumbani kwa natural disasters, khari Ni tete, serikali itoe mwongozo mapema kuhusu Watumishi taasisi binafsi 🙏🙏🙏
kulipwa mshahara na kufa kipi bora?
 
HAPO FUNGUA DARASA ONLINE HATA USIPOPATA HELA NYINGI LAKIN UWEZI KUKOSA KULIPA BILL

wenzio tumejiongeza tunafundisha kupitia online tangu tutoke chuo na pesa tunapata, uwezi kushindana na nurse , maana yeye ni yeye.
 
Mimi nilikuwa nilipe ada ya dogo mwezi huu kutokana na corona silipi hadi serikali itapozifungua shule tena
 
Walimu wa private huwa munapokea mishahara minono tena yenye malupulupu juu, na mnafanyaga dharau sana kwa walimu wa shule za sirikali!

Tumieni akiba mliyokuwa mnajiwekea wakati mnapiga hela, mbona mapema sana mmeanza kulialia [emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji45]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umekosea ulipolinganisha na kuwadharau wenye certificate na kukapongeza hako ka digrii kako eti kako juu kuliko nesi,kweli nesi anayeokoa maisha ya watu unamdharau na kujiona wewe uno juu?

Ninekuona Kama limbukeni Wa elimu ,sasa kwanini usiutumie muda huu kwenda kusoma digrii ya udaktari ili nawe uwe kwenye mwendelezo Wa julipwa mshahara

Aliyekuambia elimu ya na digrii ndio chanzo cha we we kulipwa mshahara mkubwa ni nani,

Hoja yako ilikuwa nzuri,umeharibu ulipoanza kutukana na kubeza ilimu za wenzako,pole Sana pambana na khali yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya tangazo la mwendelezo was lockdown kwa taasisi za elimu, waajiliwa taasisi binafsi Sasa Ni vilio, mwezi March wengi walilipwa maana walikuwa wamefanya kazi, ila shida inaanzia nwezi huu, April na May, hakuna mshahara, hapo ndipo ualimu unakosa maana, nurse ngazi ya cheti yeye yupo kazini Ila mwalimu degree holder anabaki nyumbani kwa natural disasters, khari Ni tete, serikali itoe mwongozo mapema kuhusu Watumishi taasisi binafsi [emoji120][emoji120][emoji120]
Weka ushahidi hapa ili hatua stahiki zichukuliwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...
Baada ya tangazo la mwendelezo was lockdown kwa taasisi za elimu, waajiliwa taasisi binafsi Sasa Ni vilio, mwezi March wengi walilipwa maana walikuwa wamefanya kazi, ila shida inaanzia nwezi huu, April na May, hakuna mshahara, hapo ndipo ualimu unakosa maana, nurse ngazi ya cheti yeye yupo kazini Ila mwalimu degree holder anabaki nyumbani kwa natural disasters, khari Ni tete, serikali itoe mwongozo mapema kuhusu Watumishi taasisi binafsi [emoji120][emoji120][emoji120]
Nchi ya Maoni kila kitu Lawama Unachojua ni Mshahara, Pesa Mbele kama tai kuliko Maisha ya Watu Mwambie Boss wako hizo habari za kazi yako, na how ata walipa mshahara mkiwa Home.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbinu za kuwawezesha 'jobless' wa korona ndio zinngetumika kuomba pesa huko IMF na WB. It's too late
 
Baada ya tangazo la mwendelezo was lockdown kwa taasisi za elimu, waajiliwa taasisi binafsi Sasa Ni vilio, mwezi March wengi walilipwa maana walikuwa wamefanya kazi, ila shida inaanzia nwezi huu, April na May, hakuna mshahara, hapo ndipo ualimu unakosa maana, nurse ngazi ya cheti yeye yupo kazini Ila mwalimu degree holder anabaki nyumbani kwa natural disasters, khari Ni tete, serikali itoe mwongozo mapema kuhusu Watumishi taasisi binafsi [emoji120][emoji120][emoji120]
Umeandika vizuri kabisa Ila ulipoanza nurse ngazi ya cheti yupo kazini mwalimu degree holder yupo nyumbani, usifananishe mshambuliaji na mchezeshaji. Kwa degree yake anaweza kufanya kazi yoyote kwa sasa iliyo marketable hata ulinzi wa maduka , masters, PhD holder na Prof wapo home.

Kupanga ni kuchagua Ila tupunguze chuki nurse ngazi ya cheti ni mtanzania mwenzetu pia.
Mungu tusaidie CORONA iishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom