Ilitara kimura
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,888
- 1,867
Kila sector ni muhimu katika kujenga uchumi wa nchi kwa hiyo siyo vizuri kuwadharau hao manesi. Jambo la pili serikali ilishatoa tamko kuhusu sector binafsi kwa ujumla. Kama unamkataba utalipwa tu shida ni pale ambapo wengine ni vibarua