KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 3,250
- 5,509
Khari* hali
Kama unaona "nurse" mwenye cheti anafaidi sana kwa nini usingesoma walau diploma ya u-nurse ili ufaidi zaidi yake?
Kwenye mishahara hapo nimekuelewa lakini hujaonesha shule hizo zifanye Nini au serikali ifañye Nini ili kuleta win-win situation kati ya mwajiri na mwajiriwa katika kipindi hiki.