Bwahahahaaa!Serikali ndio mwajili?
Alfa unadharau unalinganisha watu kwa level ya elimu?
Basi kula hiyo bachala yako
sie wenye cheti tukomae
kulipwa mshahara na kufa kipi bora?Baada ya tangazo la mwendelezo was lockdown kwa taasisi za elimu, waajiliwa taasisi binafsi Sasa Ni vilio, mwezi March wengi walilipwa maana walikuwa wamefanya kazi, ila shida inaanzia nwezi huu, April na May, hakuna mshahara, hapo ndipo ualimu unakosa maana, nurse ngazi ya cheti yeye yupo kazini Ila mwalimu degree holder anabaki nyumbani kwa natural disasters, khari Ni tete, serikali itoe mwongozo mapema kuhusu Watumishi taasisi binafsi 🙏🙏🙏
Weka ushahidi hapa ili hatua stahiki zichukuliwe.Baada ya tangazo la mwendelezo was lockdown kwa taasisi za elimu, waajiliwa taasisi binafsi Sasa Ni vilio, mwezi March wengi walilipwa maana walikuwa wamefanya kazi, ila shida inaanzia nwezi huu, April na May, hakuna mshahara, hapo ndipo ualimu unakosa maana, nurse ngazi ya cheti yeye yupo kazini Ila mwalimu degree holder anabaki nyumbani kwa natural disasters, khari Ni tete, serikali itoe mwongozo mapema kuhusu Watumishi taasisi binafsi [emoji120][emoji120][emoji120]
Nchi ya Maoni kila kitu Lawama Unachojua ni Mshahara, Pesa Mbele kama tai kuliko Maisha ya Watu Mwambie Boss wako hizo habari za kazi yako, na how ata walipa mshahara mkiwa Home.Baada ya tangazo la mwendelezo was lockdown kwa taasisi za elimu, waajiliwa taasisi binafsi Sasa Ni vilio, mwezi March wengi walilipwa maana walikuwa wamefanya kazi, ila shida inaanzia nwezi huu, April na May, hakuna mshahara, hapo ndipo ualimu unakosa maana, nurse ngazi ya cheti yeye yupo kazini Ila mwalimu degree holder anabaki nyumbani kwa natural disasters, khari Ni tete, serikali itoe mwongozo mapema kuhusu Watumishi taasisi binafsi [emoji120][emoji120][emoji120]
Umeandika vizuri kabisa Ila ulipoanza nurse ngazi ya cheti yupo kazini mwalimu degree holder yupo nyumbani, usifananishe mshambuliaji na mchezeshaji. Kwa degree yake anaweza kufanya kazi yoyote kwa sasa iliyo marketable hata ulinzi wa maduka , masters, PhD holder na Prof wapo home.Baada ya tangazo la mwendelezo was lockdown kwa taasisi za elimu, waajiliwa taasisi binafsi Sasa Ni vilio, mwezi March wengi walilipwa maana walikuwa wamefanya kazi, ila shida inaanzia nwezi huu, April na May, hakuna mshahara, hapo ndipo ualimu unakosa maana, nurse ngazi ya cheti yeye yupo kazini Ila mwalimu degree holder anabaki nyumbani kwa natural disasters, khari Ni tete, serikali itoe mwongozo mapema kuhusu Watumishi taasisi binafsi [emoji120][emoji120][emoji120]