KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 3,250
- 5,509
Hata serikali itafika kipindi itashindwa kulipa wafanyakazi wake ili gonjwa likiendelea , kodi kama hazikusanywi misaada ya wahisani haipo serikali itatoa wapi ela ya kulipa so sio swala la kuwacheka ambao hawajalipwa mwezi huu, ni swala la muda tuWalimu wa private huwa munapokea mishahara minono tena yenye malupulupu juu, na mnafanyaga dharau sana kwa walimu wa shule za sirikali!
Tumieni akiba mliyokuwa mnajiwekea wakati mnapiga hela, mbona mapema sana mmeanza kulialia [emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji45]
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali ndio mwajili? Alfa unadharau unalinganisha watu kwa level ya elimu?
Basi kula hiyo Bachela yako sie wenye cheti tukomae
Naamini u hawawez kufananishwa kwaBaada ya tangazo la mwendelezo wa lockdown kwa taasisi za elimu, waajiliwa taasisi binafsi Sasa Ni vilio, mwezi March wengi walilipwa maana walikuwa wamefanya kazi, ila shida inaanzia nwezi huu, April na May, hakuna mshahara, hapo ndipo ualimu unakosa maana, nurse ngazi ya cheti yeye yupo kazini Ila mwalimu degree holder anabaki nyumbani kwa natural disasters, hali ni tete. Serikali itoe mwongozo mapema kuhusu Watumishi taasisi binafsi 🙏🙏🙏
Mmiliki wa shule atapata wapi pesa ya kuwalipa waalimu wakati hakusanyi adaKwani hao Ni vibarua ? Hao Ni waajiriwa kwa hiyo watalipwa, of course wanaweza kulipwa nusu mshahara
Pole sana ndugu! Wanasema matatizo ni kipimo cha akili, utakaporudi kazini jitahidi kutafuta chanzo kingine cha kipato ili kujaziajazia hako kamshahara. Kisha kaa chini na mwajiri wako kupitia mkataba wako yasijirudie mambo kama haya tena.Baada ya tangazo la mwendelezo wa lockdown kwa taasisi za elimu, waajiliwa taasisi binafsi Sasa Ni vilio, mwezi March wengi walilipwa maana walikuwa wamefanya kazi, ila shida inaanzia nwezi huu, April na May, hakuna mshahara, hapo ndipo ualimu unakosa maana, nurse ngazi ya cheti yeye yupo kazini Ila mwalimu degree holder anabaki nyumbani kwa natural disasters, hali ni tete. Serikali itoe mwongozo mapema kuhusu Watumishi taasisi binafsi [emoji120][emoji120][emoji120]
Mmiliki wa shule atapata wapi pesa ya kuwalipa waalimu wakati hakusanyi ada
Sent using Jamii Forums mobile app
Naam, na mimi pia nilitaka kuuliza hili maana kama unamkataba unalipwa kama kawaida.hawana mikataba
Itachukua Muda sana, na wataanza kwa kuwalipa nusu hasa wale wenye mishahara mikubwaHata serikalini hali itakuwa hivi hivi kama kaugonjwa haka kakiendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada ana hoja ya msingi sana ya walimu wa baadhi ya shule za binafsi hasa zile zinazoendeshwa kibabaishaji kutolipwa mishahara kwa kisingizio cha Corona!
Waziri mwenye dhamana alitakiwa atolee tamko kuhusu jambo hili maana ni kitendo cha uonevu na unyonyaji.
Suala la mtoa mada kuwafananisha walimu wenye shahada kukosa mshahara huku manesi wenye elimu ya cheti kuendelea na majukumu yao, ni la kibinadamu tu na linasameheka pia.
Huenda ameandika ujumbe wake akiwa katika hali ya maumivu na kukata tamaa ingawa hakuwa sahihi maana kila mtu ni muhimu katika nafasi yake! hivyo hatuna sababu ya kushindwa kujikita kwenye mzizi wa mada husika (Walimu wa shule binafsi kutolipwa mishahara yao, kisa Corona) na kuishia tu kutoa maneno ya kejeli na yaliyojaa utoto mwingi.
Hata serikalini hali itakuwa hivi hivi kama kaugonjwa haka kakiendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama walimu hawatolipwa mshahara april na may basi waangalie contract zao zipoje,kama wameajiriwa lazima walipwe,serikali inabidi itoe stimulus package kuokoa hiyo hali.Baada ya tangazo la mwendelezo wa lockdown kwa taasisi za elimu, waajiliwa taasisi binafsi Sasa Ni vilio, mwezi March wengi walilipwa maana walikuwa wamefanya kazi, ila shida inaanzia nwezi huu, April na May, hakuna mshahara, hapo ndipo ualimu unakosa maana, nurse ngazi ya cheti yeye yupo kazini Ila mwalimu degree holder anabaki nyumbani kwa natural disasters, hali ni tete. Serikali itoe mwongozo mapema kuhusu Watumishi taasisi binafsi 🙏🙏🙏
Pole mkuu. Yatapita. Hatufi ila ....!!!??😥😥😥
Popote ulipo kunywa bia nakuja kulipaUmeandika vizuri kabisa Ila ulipoanza nurse ngazi ya cheti yupo kazini mwalimu degree holder yupo nyumbani, usifananishe mshambuliaji na mchezeshaji. Kwa degree yake anaweza kufanya kazi yoyote kwa sasa iliyo marketable hata ulinzi wa maduka , masters, PhD holder na Prof wapo home.
Kupanga ni kuchagua Ila tupunguze chuki nurse ngazi ya cheti ni mtanzania mwenzetu pia.
Mungu tusaidie CORONA iishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Nishaagiza tayar mkuuPopote ulipo kunywa bia nakuja kulipa