Maisha yamekuwa magumu sana awamu hii

Mkuu kwani sasa hivi viongozi wanapatikana kwa kuchaguliwa na wananchi? Au ni rais na genge lake wanaagiza nani atangazwe mshindi?
Akili zikiwakaa sawa, hata hilo genge la rais lisiloheshimu maamuzi ya wananchi, litajua kuwa likifanya ujinga wa kuweka wanayemtaka, moto utawaka!
 

Hali itakuwaje ile ile wakati mishahara wanayolipwa wafanyakazi haijawahi kubadilika tangu 2015 wakati bei za vitu zinapanda? Sukari ilikuwa inauzwa Shillingi 1,400/= mwaka 2015 lakini leo bei yake inakaribia 3000 kwa kilo hiyo hiyo moja?
 
Nasema tena hali ngumu kitaa anaebisha ni kichaa au mnufaika wa system maisha ni magumu sio mchezo ndio maana kumeongezeka kwa wimbi la vijana wa kike wanaojiuza baadaya ajira na kujiajiri hakueleweki kifupi fedha hamna kitaa


Mkuu mnawaonea sana wadada wanaojiuza...hamjui tu kuna wanaume wanajiuza pia? Au mnafanya kusudi!
 
Mkuu maisha hayajawahi kuwa rahisi wala hayawezi kuwa rahisi,yakiwa rahisi ujue unakaribia kufa si bure.Ila kwa awamu inaoneka hakuna kufa kabisa ni kuisoma namba tu na kupambana na hali zatu.
 
Kaka hao wana uafadhali kaka,angalau kila mwezi wana uhakika wa mshahara ndugu yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app


Duh basi ww huna ukaribu na wafanyakazi wa serikali..hata km una roho ngumu utawaonea huruma...!imaginemtu ana familia ya watu 6aanapokea laki 3!..hadi leo tar hii kuna baadhi ya watoto hawajaenda shule ada hakuna! Hakuna unafuu
 
Unaelewa maana ya maisha magumu? Nikisema una akili kama za ccm ni tusi au sifa kwako?

Sent using Jamii Forums mobile app
E7w d.
Hali ni ngumu sana.....biashara haziend kabisa najuta hata kuzaliwa tanzania....
Badilika fanya biashara kisasa, wewe ni sawa na madereva taxi wa zamani hawataki kubadilika bado wanatumia taxi za zamani halafu wanalalamika hawapati wateja wakati kuna Uber na Taxify.
 
Soma sms tena ndugu yangu...sijasema kuwa wana maisha mazuri ila angalau wana uhakika wa kuipata hata hiyo laki 3 tofauti na sisi huku.
Duh basi ww huna ukaribu na wafanyakazi wa serikali..hata km una roho ngumu utawaonea huruma...!imaginemtu ana familia ya watu 6aanapokea laki 3!..hadi leo tar hii kuna baadhi ya watoto hawajaenda shule ada hakuna! Hakuna unafuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasema tena hali ngumu kitaa anaebisha ni kichaa au mnufaika wa system maisha ni magumu sio mchezo ndio maana kumeongezeka kwa wimbi la vijana wa kike wanaojiuza baadaya ajira na kujiajiri hakueleweki kifupi fedha hamna kitaa
Sio wa kike kujiuza, usijitoe ufahamu, hata wanaume wanajiuza balaa, sasa hivi wanazidi hata wa kike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna hata muda wa kumpizika, kama vikatuni mbele ya waliorizika. 😡 😡 🙄🙄
 
Hata hao kama anasema hali ni njema mchunguze vizuri labda haelewi maana ya hilo neno.
Kama July 2015 alikuwa anapokea mshahara wa laki 6 na sukari ilikuwa 1,500/ Leo 3,000/. Unga ilikuwa 500/ per kg Leo 1,200/ na kila kitu lime double bila kuongezwa mshahara au cheo atasemaje hali njema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16]eti anajifanya kutetea jinsia yake Wakati ndo iko kileleni sasa hivi kwa kuuza

Sent using Jamii Forums mobile app


Kina mchizi humu alifatwa pm na men mwenzake ..yule men alijua ni demu..eti kaanza kumuuliza unaishi wap naye anamjibu...aknitumia pm hyo nikamwmbia hv unapenda unavyotongozwa au?...kuna mtu aliisifia avatar yake huyo men bas mpk leo kaiacha hyo hyo...! Mm had nilisismka jamani...!mie nasema kuna wanaume wakioneshwa 200k humu wanajirusha!...
 
Mvua nazo zinaharibu mazao usiseme yaani hadi natamani nitafute babu mzungu niolewe nae
 
Mtoa mada kalalamika sio kwamba hafight anasema anafight mambo hayaeleweki yamekuwa magumu. wewe upo huko nchi za nje unaosha vyombo unataka kutuona waTz wote tumelala hatuelewi namna ya kufight


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja ya kiboya sana hii...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…