Maisha yamekuwa magumu sana awamu hii

Maisha yamekuwa magumu sana awamu hii

huna lolote nyie ndiyo wezi wa mali za uma mlizoea kula rushwa na kuiba mishahara miwilimiwili ndiyo mnaoteseka kama unafanya kazi na unalipwa mshahara kwanini ulalamike hali ngumu na kila mwezi unaenda kukinga acheni ufala fanyeni kazi
Mkuu,wewe nahisi sio mfanyakazi wala mfanyaniashara , sijui upo kundi lipi ,au umejiiajiri ni fundi/bodaboda/mkulima wa nyanya au yupi.....

Kwa unayoongea nahisi bado huna majukumu
 
Watanzania wengi wana fikra za kimasikini huwezi ukasema maisha mugumu kwenye nchi yenye soko la watu zaidi ya milioni 55 na ardhi ya kilimo ya kutosha tena yenye rutuba na upatikanaji wake ni rahisi. Tatizo watu wengi mnataka mpate pesa bila kujishughulisha. Watu hawataki kubadilika kutokana na wakati. Watu wanatoka Kenya kuja kulima miti ya mbao na parachichi Tanzania sisi tupo tu tunasema maisha magumu. Kwa sasa mnasema nyanya moja shilingi 500, kupanga ni kuchagua wewe uliwekeza kununua iPhone Mimi niliwekeza kwenye kilimo cha nyanya matokeo yake ndiyo hayo, hivyo hutakiwa kulalamikia bei ya nyanya nakusema maisha magumu.
Mkuu we we ni mkulima kweli?au umelima nyanya mwaka huyu imekukubali? OK kila LA kheri
Kilimo sio chamfaa kila MTU.....
60%zaidi ya watu ni wakulima , ila mchango wa hao ni pungufu ya 20% kwenye pato LA taifa ...inamaanisha nini? Inamaanisha wakulima wengi na wa jembe ,hata mbolea mfuko mmoja hawawezi nunua ..
 
Kina mchizi humu alifatwa pm na men mwenzake ..yule men alijua ni demu..eti kaanza kumuuliza unaishi wap naye anamjibu...aknitumia pm hyo nikamwmbia hv unapenda unavyotongozwa au?...kuna mtu aliisifia avatar yake huyo men bas mpk leo kaiacha hyo hyo...! Mm had nilisismka jamani...!mie nasema kuna wanaume wakioneshwa 200k humu wanajirusha!...
Haaahaaaa[emoji16][emoji16][emoji51][emoji1787][emoji1787]nitumie pm mkuu, nupunguze stress

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miladi ya huyu jamaa ndo inasabanisha hali hii,maana kakurupuka anataka hii nchi ifanane na ulaya bila kujua wanao umia ni wananchi wa hali ya chini,mfumko wa bei ya vyakula ni hatari mtaaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania wengi wana fikra za kimasikini huwezi ukasema maisha mugumu kwenye nchi yenye soko la watu zaidi ya milioni 55 na ardhi ya kilimo ya kutosha tena yenye rutuba na upatikanaji wake ni rahisi. Tatizo watu wengi mnataka mpate pesa bila kujishughulisha. Watu hawataki kubadilika kutokana na wakati. Watu wanatoka Kenya kuja kulima miti ya mbao na parachichi Tanzania sisi tupo tu tunasema maisha magumu. Kwa sasa mnasema nyanya moja shilingi 500, kupanga ni kuchagua wewe uliwekeza kununua iPhone Mimi niliwekeza kwenye kilimo cha nyanya matokeo yake ndiyo hayo, hivyo hutakiwa kulalamikia bei ya nyanya nakusema maisha magumu.
Hao unaosema wanatoka Kenya wanakuja kulima miti ya mbao wanakuja kutumia Matako kulimia? Wale wanakuja na pesa zao wanapata zaidi. Hilo soko la watu milioni 55 hebu nioneshe wasiolalamikia ugumu wa hali ya kiuchumi ikiwa namba moja mwenyewe kwa kinywa chake alikiri kuwa hata yeye mshahara wake ni mdogo haumtoshi.
 
Back
Top Bottom