Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chase Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo

We jamaa huna roho mbaya, wachache sana wa kushea hivi[emoji848][emoji848]

God bless u[emoji120][emoji120]
 
Kumbe Kuna watu wanapenda shida
 
Kuna ndugu yangu mmoja anayo Bajaj na anapewa pesa hii kila siku...
Mwana nina gari iko Dar ni Toyota Sienta, shida kubwa ni milango ya abiria kufunguka, mana ina milango kulia na kushoto. Kama uko tayari nikirudi TZ ntakuuzia hiyo uifanye uber maana ishu ya mafuta ni kunusa tu.
 
Akili kubwa weye hongera sana. Wenye kuona mbali wataifanyia kazi ili wajinusuru na dhuluma iliyopo mbele yao.
Hili nililigundua mapeeeema

Sina hata senti bank

NB

Hii comment yako Kuna watu wataikumbuka sana[emoji848][emoji848]
 
Hongera sana 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
 
Hivi uber inalipa kama ukiendesha gari yako mwenyewe?
 
Wewe unavyolalamika hapo, hebu mfikirie mdada hapo uswazini kwenu ana kibiashara kidogo ambacho hakimtoshi kula yeye na familia yake ila ana michezo majina ma4 kila jina anacheza 2500
 
Ooh,,sasa fanya hivi,,uza hiyo gari nenda bk pakia mikungu ya ndizi kwenye mv victory,, njoo ushushe mwanza,,saa sita tu ushauza mzigo unahesabu faida,piga trip nne tu kwa mwezi,baada ya miezi sita,utakua

Ooh,,sasa fanya hivi,,uza hiyo gari nenda bk pakia mikungu ya ndizi kwenye mv victory,, njoo ushushe mwanza,,saa sita tu ushauza mzigo unahesabu faida,piga trip nne tu kwa mwezi,baada ya miezi sita,utakua ushatoboa
Motivation speaker 😎
 
Uza nunua bajaji.

Lazima ujifunze kuishi baharini na nchi kavu. Na uwe unabadirika kulingana na mazingira kama kinyonga.
[/QUOTE Bajaj mkuu ni 8.5milion mpaka inaingia road.iyo gari ata 4.5 sijui kama atauza.sipondi ila soko ndo lipo ivo
 
Hapa inategemea na aina ya biashara pia...ila kwenye vyombo vya moto kwa fikra zangu najua faida inakuja baada ya kurudisha pesa uliyonunulia chombo.
Ukipiga mahesabu hivyo hutakaa ufanye biashara kamwe. Kanuni ya biashara faida ni kile kinachobaki baada ya gharama za uendeashaji mfano mishqhqra, mafuta, matengenezo etc. Hiyo sh 7m uliyonunulia bajaj kibiashara inahesabika kama Mtaji wa biashara na si sehemu ya uendeshaji wa siku kwa siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…