Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chase Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo

Wewe unavyolalamika hapo, hebu mfikirie mdada hapo uswazini kwenu ana kibiashara kidogo ambacho hakimtoshi kula yeye na familia yake ila ana michezo majina ma4 kila jina anacheza 2500
Tatizo lake yeye anawaangalia sana akina Pateli na akina Bahkresa! Anasau kuangalia watu waliomzunguka uswahilini kwake ili ajuwe uhalisia wa Maisha!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Sema Tanzania ni nchi ya "amani" sana!!! Unajua nchi zingine Uber walipata upinzani sana kutoka kwa Taxi Drivers ambao waliamini Uber inaenda kuua biashara yao!!

Mchawi #1 wa Taxi ni Uber & et. al... siku hizi there's no way unaweza kunisimamisha barabarani eti nisubiri taxi niipige mkono au niende kwenye vituo vyao!!
 
Muraaa usiuse ngari kwa hasara liweke hapo nyumbani litakusaidia. Kupereja mama boke hospital. Siku ya kujifungua. Faida uliopata kwa ngari iyo ndiyo nunua bajaji Au kirikuu. kaongezee ngombe kure tarime
Kirikuu hata isipokodiwa utanunulia mapara chichi ukauze. Utabebea mfu.

Ukipack kiwangwa usipopata wateja pare mura wewe beba nanasi zako za kutosha hivo hivo anza kuuza rejareja kutokea bagamoyo mpaka Africa sana unamaliza rudi tena.

Tegesha ukodiwe hamna fanya hivo hivo. Mananasi Mazuri zaidi peleka ikulu hurari njaa!kweriiii!!!
 
yani ununue babaji milioni 7 ili dereva akuletee sijui 20,000 kwa siku mpaka upate faida cjui lini hapo una-assume haijaharibika ,haijakamtwa,hujaibia spare,haijapata ajali ,mwendo wa presure tu
Hakuna biashara rahisi mkuu
 
Mkuu pub inalipa kama utakumbuka kuweka watoto wa singida kwa wingi πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†.kila kheri kwenye hili wazo lako jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…