Chiwetalu agu
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 203
- 266
Brother don't misuse such a terminology (purchasing power) kwa hao watu. Wanachowaza elfu 7.!!! Nothing more,nothing less!Mkuu watu wanafanya kazi kwa juhudi na maarifa ila purchasing power Ni ndogo mpaka watu mitaji inakata. Hapo inakuaje?
laki 6 kwa mwezi hata wauza michicha wanaipata, nimetembelea vicoba vingi kuna watu wanachangishana elfu 10 kila siku na wengi ni mama ntilie, wauza samaki za kukaanga mtaani, mchicha na wanauwezo wa kuchanga na bado matumizi yake ya nyumbani, hapo wanaingiza zaidi ya elfu 20 kwa siku, wapiga debe tu wa stand hawakosi elfu 10 kwa siku
Sio kweli mfano mabar walevi wengi ,Wala nyama choma ikuwemo kitimoto ni wafanyakazi wa serikali wenyeji wengi Ni waislamu hawanywi pombe Wala kitimoto na hawali nyama choma bar.Hivyo kuondoka kumeathiri idadi ya wahudhuriaji bar na Wala nyama choma pia imeathiri biashara za daladala na vituo vya mafuta kwani wengi wajaza mafuta petrol station walikuwa wafanyakazi wa serikali na vigari vyao .daladala zilikuwa zinajaza Hadi Basi wafanyakazi wa serikali wanaowahi kusaini ofisini.Sekta ya nyumba za kupangisha pia imeumia Sana sababu walipa Kodi kubwa na nzuri walikuwa hao waliohanishiwa Dodomahata wafanyakazi wote wa serikali wakihama dar hawawezi kupunguza mzunguko wa pesa, hao watumishi hata elfu 20 hawafiki wakati dar kuna watu milioni 6, hao wafanyakaz hawana impact yoyote kwa uchumi wa dar, dar jiji la wafanyabiashara
hizo ni changamoto za biashara , hata mabenki, makampuni wanapata usumbufu wakidai madeni yao, lakin ukweli utabakia hawakosi elfu 20 kwa siku, wafanyabiashara wana pesa kupita wafanyakaziHivi unadhani unaniambia kitu kipya ambacho sikijui wala kukifanyia utafiti? Hao wazungusha matunda waulize wakupe siri ya urembo, wako wengi wakifukuzia wateja wachache wenye uthubutu wa kununua matunda. Walio wengi huku mijini wanakula chakula kisichozidi shilingi 2,000 tena kwenye vijicontainer vya plastiki, huo ubavu wa kula matunda wautoe wapi? Na bado hao wazungusha matunda wanakutana na usumbufu mkubwa wakati wa kudai kila wakipita mara nipitie baadae, mara kesho. Hujui unaloongea bosi zaidi ya kupiga faida za kwenye karatasi.
hata wafanyakazi wote wa serikali wakihama dar hawawezi kupunguza mzunguko wa pesa, hao watumishi hata elfu 20 hawafiki wakati dar kuna watu milioni 6, hao wafanyakaz hawana impact yoyote kwa uchumi wa dar, dar jiji la wafanyabiashara
Unauhakika na unachokiongea? Nenda maeneo wanakolimaizo korosho alafu uongee hayo maneno uine kama utarudi na ilo koromeo lakowakulima wa korosho wamelipwa pesa zao za mauzo, iliyopata hasara ni serikali kwa kukosa soko nje ya nchi sio mkulima
waliohamia dodoma ni watumishi wachache wa wizara, hawawez kuathiri mzunguko wa pesa, halmashauri, manispaa bado wapo, arusha hakuna wizara lakin ni mkoa unaongoza kwa walevi na wala nyama chomaSio kweli mfano mabar walevi wengi ,Wala nyama choma ikuwemo kitimoto ni wafanyakazi wa serikali wenyeji wengi Ni waislamu hawanywi pombe Wala kitimoto na hawali nyama choma bar.Hivyo kuondoka kumeathiri idadi ya wahudhuriaji bar na Wala nyama choma pia imeathiri biashara za daladala na vituo vya mafuta kwani wengi wajaza mafuta petrol station walikuwa wafanyakazi wa serikali na vigari vyao .daladala zilikuwa zinajaza Hadi Basi wafanyakazi wa serikali wanaowahi kusaini ofisini.Sekta ya nyumba za kupangisha pia imeumia Sana sababu walipa Kodi kubwa na nzuri walikuwa hao waliohanishiwa Dodoma
Aisee kuna panya alikula waya wa subwoofer yangu, nawasha haiwaki, kutikisa subwoofer yumo ndani tena ana watoto wanne, haaaa, nilichompatia yeye na familia yake ndio wanajua.Mwendo wa kula waya kama Panya akili itasogea tutamuelewa Mange
Sijakuelewa mkuu; unataka maisha rahisi rahisi na mapesi mepesi ambapo hela inapatikana kirahisi rahisi?Tuache utani jamani,hali ni mbaya sana huku mtaani,hela haipatikani,bei ya vitu inazidi kupanda,shambani nako vurugu mechi tupu,kifupi hali ni tete na sio kwamba watu hatufanyi kazi kwa bidii la hasha.Kwa hapa tulipofikia tunahitaji kufanya maamuzi magumu haki ya Mungu Wallah!!
Magari hayazidi 1.5m..wakati Watanzania 55m..go figuremaisha magumu lakini foleni za magari hazipungui, au magari yanatumia maji siku hizi?
Wachaga wako wengi dar wachaga wengi na familia zao wanehamia Dodoma dar wamebaki wengi wazalamo,wandengereko ,wakwere,walugulu,wapogolo,wamakonde na makabila ya mikoani ambao wengi malofawaliohamia dodoma ni watumishi wachache wa wizara, hawawez kuathiri mzunguko wa pesa, halmashauri, manispaa bado wapo, arusha hakuna wizara lakin ni mkoa unaongoza kwa walevi na wala nyama choma
kwa hiyo wachaga pekee ndio wenye pesa , makabila mengine ni malofa?Wachaga wako wengi dar wachaga wengi na familia zao wanehamia Dodoma dar wamebaki wengi wazalamo,wandengereko ,wakwere,walugulu,wapogolo,wamakonde na makabila ya mikoani ambao wengi malofa
Hahahaha!/jiwe aliingilia hiyo biashara ya korosho aakawatia umaskiniVipi waliokuwa wakitegemea korosho, pamba,wastaafu walitegemea dili gani?
Wachaga wako wengi dar wachaga wengi na familia zao wanehamia Dodoma dar wamebaki wengi wazalamo,wandengereko ,wakwere,walugulu,wapogolo,wamakonde na makabila ya mikoani ambao wengi malofa