Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Mbona wametutangazia kuwa shilingi elfu mbili zinatosha milo yote muhimu kwa siku, tuunge mkono juhudi.Tuache utani jamani,hali ni mbaya sana huku mtaani,hela haipatikani,bei ya vitu inazidi kupanda,shambani nako vurugu mechi tupu,kifupi hali ni tete na sio kwamba watu hatufanyi kazi kwa bidii la hasha.Kwa hapa tulipofikia tunahitaji kufanya maamuzi magumu haki ya Mungu Wallah!!
....hapo pa wastaafu hapo, mkuu...!Vipi waliokuwa wakitegemea korosho, pamba,wastaafu walitegemea dili gani?
Tz Ina watu milioni 60.1 kwa mujibu wa ripoti ya UN ya mwaka Jana! Hayo ya 55 Ni siasa za Pombe tu anajua kwanini!Acha ujinga ww demu. Tanzania ina wananchi 55m, idadi ya magari haifiki 1.5m. au ukiona magari mengi yako sehemu ndogo unadhani nchi hii ina magari mengi hivyo? Nenda vijijini huko ukaone kulivyo na uhaba wa magari. Unakaa mahali kwa siku huoni magari zaidi ya matano. Na hiyo ni karibu asilimia 80 ya nchi nzima. Au unadhani Tanzania ni Dar pekee?
Tupo Kwenye laiti traki asema Jiwe.Tuache utani jamani,hali ni mbaya sana huku mtaani,hela haipatikani,bei ya vitu inazidi kupanda,shambani nako vurugu mechi tupu,kifupi hali ni tete na sio kwamba watu hatufanyi kazi kwa bidii la hasha.Kwa hapa tulipofikia tunahitaji kufanya maamuzi magumu haki ya Mungu Wallah!!
maisha magumu lakini foleni za magari hazipungui, au magari yanatumia maji siku hizi?
Hapo bado unaishi kama BinadamuTuache utani jamani,hali ni mbaya sana huku mtaani,hela haipatikani,bei ya vitu inazidi kupanda,shambani nako vurugu mechi tupu,kifupi hali ni tete na sio kwamba watu hatufanyi kazi kwa bidii la hasha.Kwa hapa tulipofikia tunahitaji kufanya maamuzi magumu haki ya Mungu Wallah!!
Maamuzi magumu ni kufanya kazi kwa juhudi na maarifa, ongeza bidii. Asiyefanya kazi na asile na asipokula na afwe.
mkuu uache tu unafki,Hali ni ngumu kama alivyosema,I am employed in a chinese based contractor,last 2 months waliwa deport wachina wenzao 40 kwa lack of miradi, walifanya redundancy zaidi ya robo tatu ya wafanyakazi wakibongo.ZAIDI YA ROBO TATU.Kwa sababu gani? Hakuna miradi.Je kuanzia 2002 walipokuja Tanzania walishawahi kuwa out of Projects? Jibu ni hapana, kwa wachache tuliobakizwa hawa maboss zetu wakiAsia wanasema kabisa kampuni haina hela za kujiendesha / Profit margin imeshuka/ madeni bank hayalipiki na hakuna promise ya kupata miradi mipya Serikalini au binafsi...Unafanya shughuli gani mkuu, upewe ushauri? Wakati mwingine jisemee nafsi yako tu. Acha na wengine wajisemee. Muda unaotumia kutype hayo maisha magumu kuna wengine wanaingiza pesa. Mfumo wetu wa elimu unazalisha wavivu wa kufikiri.
Kaenda kuwaringishia wasukuma wanamiliki baiskeli yeye anamiliki ndegeWakati maisha magumu, malaika mtakatifu wa Mungu anatumika kodi zetu kuipeleka Airbus Q400 nyumbani kwake Kula bata huku akiwaambia malofa HAPA KAZI TU.
very lowUlizoea kuishi kwa madili haya ndio mabadiliko waliyoimba bavicha na wakadeki hadi rami
hao jamaa sio kama hawajui hali ilivyo,but ID zao ziko monitored na Polepole,unatarajia nini hapo kuu?mkuu uache tu unafki,Hali ni ngumu kama alivyosema,I am employed in a chinese based contractor,last 2 months waliwa deport wachina wenzao 40 kwa lack of miradi, walifanya redundancy zaidi ya robo tatu ya wafanyakazi wakibongo.ZAIDI YA ROBO TATU.Kwa sababu gani? Hakuna miradi.Je kuanzia 2002 walipokuja Tanzania walishawahi kuwa out of Projects? Jibu ni hapana, kwa wachache tuliobakizwa hawa maboss zetu wakiAsia wanasema kabisa kampuni haina hela za kujiendesha / Profit margin imeshuka/ madeni bank hayalipiki na hakuna promise ya kupata miradi mipya Serikalini au binafsi...
Unaongea kitu gani bwana? Hadi foreigners wanajua hali ni mbaya halafu wewe unajitoa ufahamu?
hao jamaa sio kama hawajui hali ilivyo,but ID zao ziko monitored na Polepole,unatarajia nini hapo kuu?
Acha bange Mkuu, yeye ni nani hadi asielezwe? Huu ujinga ujinga ndio umetufikisha hapa, mtu anaharibu nchi yetu wapuuzi wanakenua meno na kuchekelea tu.Next time tuchague Raisi mchaga, pia kauli uliyotumia kwa raisi katika uwasilishaji wako c nzuri na itapelekea haka kauzi kufutwa