Maisha yamekuwa magumu sana siku hizi

Maisha yamekuwa magumu sana siku hizi

Mi nilipoona Bi Mkubwa alipoingia tu , kaanza kwa kupandisha gharama za bundle , Nikaona basi huyu sera zake sio nzuri , nikahama Dar na ku-change biashara

Hatimae nilichokitabiria kimekamilika , vijana walokua wanapiga pesa online wamekufa kifudifudi
Uliona mbali mkuu
Ndio sasa kwa huo huo mfano wa kuchukua mashamba yao na vitu walivyonavyo kaa chini kwa mfumo huo huo fikiria tuliza Akili alafu fanya ujitafutie nje ya huo mfumo sio ndani ya mfumo unapiga pesa mingi au bado haujaelewa hapo?
Totauti Kati ya ndani na njee mkuu hii imekaaje
 
Hapo sikupewa jibu na mpaka leo sijajua inakuaje mkuu
Hivi kwa mfano unanunua vitu vyote muhimu ambavyo kijijini kupata ni tabu alafu unaenda kubadilishana na chakula hii Swindon njee ya mfumo
 
Hivi kwa mfano unanunua vitu vyote muhimu ambavyo kijijini kupata ni tabu alafu unaenda kubadilishana na chakula hii Swindon njee ya mfumo
Km inataka kunaendana kidoooogo ila sio hivyo mkuu

Namaanisha inatakiwa utoke nje ya mfumo ila wewe bado upo ndani ya mfumo hio ni barter trade - exchange of goods for goods or service for service

Sasa toka nje ya huo mfumo ujitafutie ukiwa nje sio ndani ya huo mfumo
 
Huo mfumo kuelewa ni kisanga
 
Kila mtu Ana anglia upande wake jombiii,alafu mimi ni wa kiume man,ndo maana nilisema mwishoni sijawahi kulizika,tatizo wewe hujui nina ndugu ambao wanauwezo kinoma ishu inakuja mwenzi wa kumi na 12 Christmas,nataka nami niwavimbie
Umeharibu uzi stupid punguza sifa za kijinga kutaka kufurahisha ndugu,kama wana uwezo wakupemtaji ufungue kiwanda
 
Umeharibu uzi stupid punguza sifa za kijinga kutaka kufurahisha ndugu,kama wana uwezo wakupemtaji ufungue kiwanda
Oyo dingii stupid wenyewe kabla sija sahau.alafu nilisema mimi ndo mimi huwezi kuwa kama mimi fanya yako
 
Jamaa nimekuelewa sana , watu wenye akili finyu hawawezi kukuelewa endelea kupambania malengo mangi , wachaga haturidhiki na vipesa vya mboga
 
Maisha hayajawahi kuwa rahisi hata siku moja, tunapata nafuu za vipindi vifupi na virefu tunajisahau
 
Maisha hayajawahi kuwa rahisi zamani hata kumiliki Tv ilikuwa ni utajiri mkubwa lkn sasa hivi watu wanahonga magari na bado maisha magumu vile vile
 
Kuna Jamaa aliwahi kuniambia:

Ujanja ni kua na Akili ya utafutaji nje ya mfumo

Yaan mfumo wa Tajiri kuchukua kwa Masikini na kujilimbikizia yeye tu anatajirika yeye tu na sio vinginevyo

Lakini nilipomuhoji huo mfumo unaendaje endaje yaan unaanzaje anzaje kuwapora Masikini huku wao wanakuchekea tu?

Hadi leo hajawahi kunipa jibu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Jamani nilibomolewa sehemu ya biashara yangu pale ubungo nikahisi nimehama duniani hali ilikuwa ngumu basi humu humu ndani nikakutana na Uzi wa Kalynda aisee mbaka Leo ninamiezi miwili kile kilip chabumasikini kwisha maana Kila Ijumaa napakua mzigo wangu na kula mema ya nchi ukiwa interested njoo nikugawie mchongo na habari ya mujini 0765497859
 
Acha mambo ya kihuni we jamaa
 
Back
Top Bottom