APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,715
- Thread starter
-
- #21
Uliona mbali mkuuMi nilipoona Bi Mkubwa alipoingia tu , kaanza kwa kupandisha gharama za bundle , Nikaona basi huyu sera zake sio nzuri , nikahama Dar na ku-change biashara
Hatimae nilichokitabiria kimekamilika , vijana walokua wanapiga pesa online wamekufa kifudifudi
Totauti Kati ya ndani na njee mkuu hii imekaajeNdio sasa kwa huo huo mfano wa kuchukua mashamba yao na vitu walivyonavyo kaa chini kwa mfumo huo huo fikiria tuliza Akili alafu fanya ujitafutie nje ya huo mfumo sio ndani ya mfumo unapiga pesa mingi au bado haujaelewa hapo?
Hapo sikupewa jibu na mpaka leo sijajua inakuaje mkuuTotauti Kati ya ndani na njee mkuu hii imekaaje
Hivi kwa mfano unanunua vitu vyote muhimu ambavyo kijijini kupata ni tabu alafu unaenda kubadilishana na chakula hii Swindon njee ya mfumoHapo sikupewa jibu na mpaka leo sijajua inakuaje mkuu
Km inataka kunaendana kidoooogo ila sio hivyo mkuuHivi kwa mfano unanunua vitu vyote muhimu ambavyo kijijini kupata ni tabu alafu unaenda kubadilishana na chakula hii Swindon njee ya mfumo
Huo mfumo kuelewa ni kisangaKm inataka kunaendana kidoooogo ila sio hivyo mkuu
Namaanisha inatakiwa utoke nje ya mfumo ila wewe bado upo ndani ya mfumo hio ni barter trade - exchange of goods for goods or service for service
Sasa toka nje ya huo mfumo ujitafutie ukiwa nje sio ndani ya huo mfumo
Umeharibu uzi stupid punguza sifa za kijinga kutaka kufurahisha ndugu,kama wana uwezo wakupemtaji ufungue kiwandaKila mtu Ana anglia upande wake jombiii,alafu mimi ni wa kiume man,ndo maana nilisema mwishoni sijawahi kulizika,tatizo wewe hujui nina ndugu ambao wanauwezo kinoma ishu inakuja mwenzi wa kumi na 12 Christmas,nataka nami niwavimbie
Oyo dingii stupid wenyewe kabla sija sahau.alafu nilisema mimi ndo mimi huwezi kuwa kama mimi fanya yakoUmeharibu uzi stupid punguza sifa za kijinga kutaka kufurahisha ndugu,kama wana uwezo wakupemtaji ufungue kiwanda
Bangi za r chuga hizoo zinakusumbuaOyo dingii stupid wenyewe kabla sija sahau.alafu nilisema mimi ndo mimi huwezi kuwa kama mimi fanya yako
Kumbe unataga ligi na mimi,oya nishakuambia fanya yako hivi ushaacha ile tabia ya kushikishwa ukuta???Bangi za r chuga hizoo zinakusumbua
Aisee jombii umenenaJamaa nimekuelewa sana , watu wenye akili finyu hawawezi kukuelewa endelea kupambania malengo mangi , wachaga haturidhiki na vipesa vya mboga
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuna Jamaa aliwahi kuniambia:
Ujanja ni kua na Akili ya utafutaji nje ya mfumo
Yaan mfumo wa Tajiri kuchukua kwa Masikini na kujilimbikizia yeye tu anatajirika yeye tu na sio vinginevyo
Lakini nilipomuhoji huo mfumo unaendaje endaje yaan unaanzaje anzaje kuwapora Masikini huku wao wanakuchekea tu?
Hadi leo hajawahi kunipa jibu
Acha mambo ya kihuni we jamaaJamani nilibomolewa sehemu ya biashara yangu pale ubungo nikahisi nimehama duniani hali ilikuwa ngumu basi humu humu ndani nikakutana na Uzi wa Kalynda aisee mbaka Leo ninamiezi miwili kile kilip chabumasikini kwisha maana Kila Ijumaa napakua mzigo wangu na kula mema ya nchi ukiwa interested njoo nikugawie mchongo na habari ya mujini 0765497859