Maisha yamekuwa magumu sana siku hizi

Kilicho baki nikupambana tu,maana yule raisi aliyetufanya watanzania kutembea kifua mbele atunaye tena,tuishi kuendana na mazingira
 
Monopoly/Ukiritimba hii kitu ndio matajiri huwa wanafanya
 
Nna swali moja kwako...

Je wakati mapato yakiwa mazuri hela uliyo pata uliifanyia nini?

Je hukujua kuna siku mambo yatakua magumu na biashara ya cd ni ya msimu?
 
Dah...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…