Maisha yamekuwa mwiba mtaani

Poa Muoga asikuja huku ,onesha vitendo tu Natafuta vijana ambao sio waoga kabisa wa maisha na wamechoshwa na hali ya umasikini waliyo nayo.

NARUDIA TENA KWA MAANDISHI MAKUBWA SIO WAOGA KABISA.

VIJANA WAOGA SIWATAKI KABISA.
Unaweza kukusanya vijana wenzako wenye hali mbaya kiuchumi ?

Kama utaweza kushawishi na wasomi wasio na ajira wasio na mbele wala nyuma utakuwa umefanya vizuri.

Kama unaweza hayo wewe ni mtu sahihi nina muhitaji mkiwa wengi ni jambo jema
Story zinakua nyingi sasa
 
Nataka usaili,ndo utaamini kwamba
 
Vijana jichanganyeni mkabutuliwe na Israel mabomu ya makalio
 
Binafsi sina ninayempenda,NATIMIZA WAJIBU TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…