Maisha yamekuwa mwiba mtaani

Ntawafund silaha mkuu
 
Kitaani sio poa kabisa, vijana wanapigika balaaa,
Hii kitu huwa inaniumiza sana, yaani kuona na, elimu yangu yote, ya uhandisi, bado sijaweza kutengeneza fulsa hata kwa vijana watano tu! Ili wapate ugari wao wa kila siku!
 
Ww ndio mandonga mtu kazi sasa, hebu fungua kituo cha polisi anza na wafungwa wawili na migambo watatu, halafu mwenyewe kuwa mkuu wa kituo….. waambie migambo wavamie vilabu vya pombe wakamate walevi. Wale wanakuwa na wenge la pombe hawawezi kugundua waliowakamata, watajikuta wamefika kituoni, na kutoka lazima watoe pesa…!! Baada ya week funga kituo hamishia mtaa mwingine, ndani ya mwezi ushapata mtaji wa biashara…. Anza kufanya kazi halali sasa!! 🤣🤣🤣🤣
 
Kitaani sio poa kabisa, vijana wanapigika balaaa,
Hii kitu huwa inaniumiza sana, yaani kuona na, elimu yangu yote, ya uhandisi, bado sijaweza kutengeneza fulsa hata kwa vijana watano tu! Ili wapate ugari wao wa kila siku!
Mifumo ya uchumi tuliuwa wenyewe baada ya uhuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…