Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Pia hao watoto 4 wanatosha mkuu,shida sisi wabongo ukiwa huna hela na hamu ya kufanya ngono ndo inazidi. Mwambie mkeo atumie njia za uzazi then muanzie hapo kujikwamua...maana wakikua hao shule zikianza ndo utapagawa.
Hela sio ndogo yeye ndo ana matumizi makubwaa...!!! Kuna waalimu wanalipwa laki 5 na wana maishaaHela ndogo Sana hiyo
Real Author, ishi huku.Mkosi ni akili yako tu kaka.
Fanya mambo kadhaa muhimu:
1.Kaa na mkeo na mpange budget ya matumizi ya fedha mnayopata…kwenye mshahara wako jitahidi uwe unaweka 10% kama dharura na 5% iwe budget yako ya gambe na matumizi yako binafsi (jipende).
2.Tenga kiasi cha akiba kila mwezi kwa ajili ya kufungua kitega uchumi kingine; anza na wife mwambia anaweza kujishughulisha na nini. Weka malengo ya akiba kiasi gani ya kuweka na kwa muda gani mpaka wife awe na bishara.
3.Wakati unaweka akiba kwa ajili ya biashara ya wife, fanya utafiti wa kina kuhusu hiyo biashara kumbuka kuwa tuna fedha kichele hivyo ni vyema tusiipoteze kwa kutokuwa na uelewa na tunachokifanya.
3.Punguza matumizi yasiyo ya lazima; birtdhay za kifahari, michango isiyo ya lazima, pombe n.k punguza.
4.Wakumbuke wazazi na kuwatunza: Baraka zao zitakufungua sana hutaamini.
5.Usijilinganishe na wengine. Kujilinganisha kutakufanya ukate tamaa na kuona umechelewa.
6.Jitahidi utumie uzazi wa mpango, watoto uliobarikiwa wanatosha.
7.Hakikisha familia nzima mna bima ya afya, gharama za matibabu huwa zinarudisha watu nyuma sana.
Kila la Kheri
Karibu mkuuAsante sana sana
[emoji23][emoji23][emoji23]Inategemea na mke aliyeoa. Ukikosea tu hapo umeliwa.
Kuna mwanamke unaoa utadhani umeoa mlemavu. Haiishi kuumwa umwa na hii ni tabia ya mtu mvivu.
Acha hizo, hivi nani anawapumbaza eti pombe inakwamisha maendeleo.Pole sana mkuu. Kuna watu wanaweza wasikuelewe na wakaanza kukubeza lkn mimi nakuelewa.
Kwa sasa nakushauri anza hatua moja moja. Kwanza anza kwa kuikataa pombe kwa nguvu zako zote. Ukifanikiwa hapa kuna mambo yatakaa sawa
NAKAZiA KABISA................MI KULE NYUMBANI LILE NG'OMBE LANGU LINANIONA WA KAWAIDA WAKATI LINAISHI KAMA KWA BARKHRESA
🤣🤣🤣pole[emoji23][emoji23][emoji23]
Tuonee huruma Mkuu
Hahhaaa Bakhresa in town.NAKAZiA KABISA................MI KULE NYUMBANI LILE NG'OMBE LANGU LINANIONA WA KAWAIDA WAKATI LINAISHI KAMA KWA BARKHRESA
Jamani watu khaa!Ng’ombe tena? [emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu sio kila mtu ana self control na pombe. Hujawahi kutana na mtu yeye kila anachokipata anapeleka kwenye pombe baada ya wiki mshahara wote amemalizia kwenye pombe? Kuna watu wa aina hiyo. Kama hauna self control pombe inakutoa kwenye msitari trust meAcha hizo, hivi nani anawapumbaza eti pombe inakwamisha maendeleo.
Hapo Sasa20mil kama imeisha kiutani utani bado unatafuta mchawi
Mkuu sasa hapo siyo pombe,Mkuu sio kila mtu ana self control na pombe. Hujawahi kutana na mtu yeye kila anachokipata anapeleka kwenye pombe baada ya wiki mshahara wote amemalizia kwenye pombe? Kuna watu wa aina hiyo. Kama hauna self control pombe inakutoa kwenye msitari trust me