Maisha yangu baada ya miaka 37!

Kufakuzikana naona unatuzuga tu wewe. 20M inaishaje usinunue hata kiwanmja Kerege enzi hizo milioni tatu tu.
Aise acha tu Nina kameza Cha coffee nimenunua mlimani city laki sita kila nikiiona nakumbuka mkopo ulivyoisha kilofa hebu acha tu. Hapo nikanunua Tecno phantom ilikua laki sita. Tayari 1.2. just imagine vurugu ngapi nimefanya. Milioni 20 ukiwa huna displine ni km Hamna
 
Na kwanini usiache hizo pombe unazokunywa?

Mungu akikupa uzima una chini ya miaka ishirini hapo kazini huo umri ulio nao na una watoto wanne nyumba ya kupanga umeshawahi kuwaza utastaafu ukiwa ktk mazingira gani?mnathubutuje kufanya makosa yaliyo wazi kiasi hiki ktk maisha yenu?

Utasomesha saa ngapi utejenga saa ngapi starehe utafanya saa ngapi kaa chini waza maisha yako “yatakuwaje miaka 30 ijayo mbele” acha kuwaza leo waza zaidi ya kesho.
 
Namba 4 namba 8 na namba 9 ndio matatizo yako. 1.3m ni mzigo mrefu. Sema una watoto wengi na Mungu humkumbuki
 
Inategemea na mke aliyeoa. Ukikosea tu hapo umeliwa.

Kuna mwanamke unaoa utadhani umeoa mlemavu. Haiishi kuumwa umwa na hii ni tabia ya mtu mvivu.
Kwa upande wake amekua mke mzuri kwa maoni yangu japo analalamika sana kuhusu hali yetu. Ahadi ya kufungua biashara ya familia imekua topic kila leo...
 
Mkuu pole na nina haya ya kukushauri:-

1. Acha kujilinganisha na watu wengine
2. Punguza pombe kiasi then ujipime
3. Mfungulie mkeo mradi ata mdogo
4. Sali sana sio lazima uende kanisani pia

Pigana vita vyako taratibu. Ila bro ulijichanganya kutokufuata uzazi wa mpango ila sio kesi wengine watajifunza hapa.

Pole sana.
 
Namba 4 namba 8 na namba 9 ndio matatizo yako. 1.3m ni mzigo mrefu. Sema una watoto wengi na Mungu humkumbuki
Suala la pombe nahisi ni kikwazo kweli. Sema kuacha napo ni mtihani. Nitaangalia labda ninue pombe niweke ndani km sehemu ya mahitaji ya mwisho wa mwezi.
 
Mi
Miaka hiyo 2012 mtu wa salalry ya 1.3M ilikuwa pesa yenye thamani kubwa
 
Au mk
Au mkuu pesa zakoulisomesha wadogo zako na ndugu? Kama no hivyo usijilaumu ni mafanikio pia
 
Mafanikio ya mwanaume yanakuja kama mwanamke alonae ana akili na anaweza kuyabeba matatizo tofauti na hvo hauna mke una kiburudisho tu
Uko sahihi mkuu,mke yupo kukaa Tu kmaa msafiri hajui lolote , wanawake wanamna hii hata Sisi tunao nishida ningumu Kwamwanume kuwaza kila kitu ndani ya nyumba ikiwa mke KAZI yake nikutaja Tu Kua hiki kimeisha babaflani mara kile hakipo mara tunakula NN Baba mwaflani ,mizigo mzito mno.
 
Aisee!Kuna watu mna utani maishani.Take home ni 1.3m.Mkopo 36m.Ukabakiwa na 20 ms!Na bado hauna kiwanja wala "kipando"/gari la kukupunguzia uchovu wa kutembea.Weye jamaa una kipato kikubwa mnoo ila kuna shida katika bajeti yako.Haujachelewa kwa miaka 37.Tuliza akili na uchukue mawazo ya wakuu wa JF.Yafanyie kazi na hakika utafaulu.Kuna watu nikikueleza take home zao utalia kwa kuwaonea huruma.Mikopo yao ni midogo mnoo na wamejenga,wanasomesha na maisha yanasonga.Haujalogwa.Huna mipango tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…