Maisha yangu baada ya miaka 37!

1.3m hauwezi kuwa na maendeleo kwa mshahara.

Umechezea mkopo ,hauwezi kuitapakanya yote 36m , ilikuaje ukalipa loan board pesa yote hiyo kwa pamoja?
 
Nenda kimara Temboni ukakanyage madhabahu kwa mwalimu Mussa Richard Mwacha
 
Kila mtu na namna anaona vitu…


Me nakula milo yote, sijibahilii kwenye kula. Nafsi ikitamamani kitu flani naipa..
kuna mdada mmoja akajaga niambia nina matumizi mabaya kwenye msosi.
Note;tukumbuke tunajadili kitu ambacho kimeonekana tayari ni tatizo!!!

Member mwenzetu hapa yumkini anawaza kama wewe unavyosema hapo juu kwenye bold,but hadi tunaandika hapa yeye ana watoto wanne kamoja kachanga wakubwa wakienda shule na yupo banda la kupanga ”unadhani huyu hahitaji kujibahili?”,ktk situation kama hii hiyo kauli yako hapo juu unaona bado iki-apply kwenye maisha ya mtu?
 
Kweli
 
Acha utoto binti zako wasije pigwa chuma mboga ukubwani
 
Usiseme hivyo mzee..Mimi nimeshudia kuna mshikaji kakopa 30m na hakuna kitu amefanya..ni si mara yake ya kwanza kukopaa..tabia ya pesa usipoiheshimu ukaichukulia poaa..itakushangazaa
Jambo lolote kwenye maishs ukilichukulia poa hata kama ni jepesi basi litakushinda.

Jamaa alikuwa analipa Mbususu😅😅
 
Usiseme hivyo mzee..Mimi nimeshudia kuna mshikaji kakopa 30m na hakuna kitu amefanya..ni si mara yake ya kwanza kukopaa..tabia ya pesa usipoiheshimu ukaichukulia poaa..itakushangazaa
Nakubaliana.
 
Hapo namba 4 imebidi niKomenti...akifanya hiyo ishu ina maana hatazalisha tena. Hiyo ni njia ya kudumu ya uzazi wa mpango kwa mwanaume...hatazalisha tena.
 
Mkuu pole sana, Mrudie Mungu, anza kwenda kanisani, umpe Mungu maisha yako na vifungo vyote vitafunguka.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ndio kanisa langu naposali kila jumapili. Na bia huwa nakunywa kwa mwarabu ama kwa shirima hapo gereji
Haha haikosi tutaonana tu ngoja jumapili moja nitimbe hapo church
 
Yani kwa stail hyo hata jenga walah
 
Mimi sioni kama una mkosi, mchawi ni matumizi yako(simaanisha unatumia pesa hovyo).
unatumia pesa bila kuacha kumbukumbu.

Hiyo 1.3mil ni pesa ndogo sana, lakini pia ni nyingi kiasi.( Inategemeana na unavyowaza)

Chakukushauri, kwanza weka mipango yako kwenye karatasi, then iweke kichwani.

Baada ya hapo kila tumizi unalofanya weka kumbukumbu.
Matumizi yapange kwa umuhimu.
Hii inahitaji discpiline, sio mchezo.


Ikiwezekana tafuta SideJob.

Na mwisho lakini si kwa umuhimu mkumbuke Muumba.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo namba 4 imebidi niKomenti...akifanya hiyo ishu ina maana hatazalisha tena. Hiyo ni njia ya kudumu ya uzazi wa mpango kwa mwanaume...hatazalisha tena.
Hapana kwenye vasectomy wanafungua tu inaweza kuwa reversible ukazalisha. Wanafungua kwa mda ukitaka kuzalisha wanafungua. .
 

Take home 1.3m ni pesa ndefu,Acha pombe,Achana na kampani za ajabu ajabu,Rudi kwa Mungu

Tuliza akili,plan mipango yako
Take-home 1.3 pesa ndefu,Acha pombe,Achana na kampani za ajabu ajabu.
Panga mipango yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…