Maisha yangu baada ya miaka 37!

Maisha yangu baada ya miaka 37!

Habari.
Nina miaka 37. Sifurahii maisha katika umri huu. Kama Kuna mtu anaweza kutoa ushauri wa kunikomboa asisite...Mshana Jr etc. Mtiririko wa matukio ni kama ufuatavyo.

1. Ninafanya kazi serikalini mshahara take home ni 1.3m. hapo Nina mkopo wa miaka 5 NMB.

2. Kazi nimeanza tangu 2012. Hivyo Nina miaka 9+ kazini.

3. Naishi Dar es Salaam.

4. Nina mke na watoto wanne. Mtoto wa nne bado ni kichanga.

5. Tangu nianze kazi sijui pesa zangu zinapoenda. Sina kiwanja Sina akiba. Bado nimepanga Kodi laki tatu kwa mwezi.

6. Mahusiano yangu na wife sio mazuri sana kwa sababu ya ugumu wa maisha. Lakini bado tunasonga.

7. Wife Hana kazi Hana biashara.

8. Nakunywa pombe mara kwa mara.

9. Siendi kanisani kabisa ila kwa matukio maalum mfano ndoa, ubatizo wa mtoto, etc

10. Sina gari. Nilioanza nao kazi Wana nyumba kubwa na magari mawili. Moja la wife....

Nahisi Nina mkosi nifanye nini? Yapo mengi kuonesha hasara ninayoihisi. Kazini napata marupurupu ya hapa na pale. Ila najiona sitoboi. Wadogo zangu wenye mshahara wa laki Tano wametoboa mi nipo nipo tu mpka mama yangu amekata tamaa. Faraja yangu iliyobaki ni Binti zangu ambao hawaelewi chochote kwenye hii Dunia ya vita.
piga hesabu, unakunywa pombe chupa ngapi kwa siku, wiki, mwezi na mwaka utaona ni kwa kiasi gani unapoteza pesa ambazo ungefungua kibiashara kidogo na mkeo akajishughulisha. Next ukimaliza mkopo wa benki, usije ukarudia kukopa tena. Kukopa benki Tanzania ni sawa na kukopa kwa Lucifer
 
Hii inaweza kuwa ni fiksi ila mleta mada ameleta mada ya kueleza maisha ya watu wengi yalivyo.
Mshahara wa 1M kwa mwezi ni pesa haitoshi tuache masikhara.
 
Pole ndugu,usifananishe Maisha yako na ya mtu mwingine,Kwani unayeona anefanikiwa pamoja na kipato kidogo anaweza kuwa mwizi,Ila wewe huamini katika kuiba,hivyi kwanza ridhika na Hali yako,tuliza akili pangilia nini ni muhimu zaidi kufikia malengo yako,mapeema asubuhi utatoboa.
 
Habari.
Nina miaka 37. Sifurahii maisha katika umri huu. Kama Kuna mtu anaweza kutoa ushauri wa kunikomboa asisite...Mshana Jr etc. Mtiririko wa matukio ni kama ufuatavyo.

1. Ninafanya kazi serikalini mshahara take home ni 1.3m. hapo Nina mkopo wa miaka 5 NMB.

2. Kazi nimeanza tangu 2012. Hivyo Nina miaka 9+ kazini.

3. Naishi Dar es Salaam.

4. Nina mke na watoto wanne. Mtoto wa nne bado ni kichanga.

5. Tangu nianze kazi sijui pesa zangu zinapoenda. Sina kiwanja Sina akiba. Bado nimepanga Kodi laki tatu kwa mwezi.

6. Mahusiano yangu na wife sio mazuri sana kwa sababu ya ugumu wa maisha. Lakini bado tunasonga.

7. Wife Hana kazi Hana biashara.

8. Nakunywa pombe mara kwa mara.

9. Siendi kanisani kabisa ila kwa matukio maalum mfano ndoa, ubatizo wa mtoto, etc

10. Sina gari. Nilioanza nao kazi Wana nyumba kubwa na magari mawili. Moja la wife....

Nahisi Nina mkosi nifanye nini? Yapo mengi kuonesha hasara ninayoihisi. Kazini napata marupurupu ya hapa na pale. Ila najiona sitoboi. Wadogo zangu wenye mshahara wa laki Tano wametoboa mi nipo nipo tu mpka mama yangu amekata tamaa. Faraja yangu iliyobaki ni Binti zangu ambao hawaelewi chochote kwenye hii Dunia ya vita.
Shida yako iko namba 6,8 na 9,Ukiweza kuweka hizo mambo vizuri basi hayo matatizo mengine yote yatamezwa...
 
Pole sana ila nionavyo mimi ni life style yako tu ndio inakupiga
1. Mikopo uliyochukua ndio inakuyumbisha sana
2. Familia kubwa ambayo kwa asilimia 100 inakutegemea wewe
3. Mke am aye hafanyi kazi na hana chochote cha kumuingizia walau elfu 5 kwa siku
4. Hutoi sadaka, hutoi zaka nk
5. Huishi kiroho/huendi kanisani
6. Kwa aina ya familia uliyonayo bajeti ya siku haipilungui elfu 10 minimum hapo piga mara 30 jumlisha na kodi bado wewe matumizi yako kwa siku ambayo am sure si chini ya mwekundu.. Hivyo vitu vitatu pekee kwa mwezi vinaondoka na milion bado makato ya mikopo, bado dharura bado michango ya kijamii nk

Hujachelewa rudi kwa Mungu wako ukafanye toba, ukafanye patano.. Zaidi tumia na chumvi
 
Huo mkopo ndo vituko kabisa sitaki hata kukumbuka. Nilikopa 36m. Hapo Hela ya LOAN BOARD ikakatwa. Nikabakiwa na 20. Ukiniuliza nilichofanya sijui... Iliisha kiutani utani
Kama umeshashika 20m na huna ulichofanyia unataka tukushauri nn mkuu,?

Wale uliokua unatumia nao 20 hadi ikaisha ndio watu wako wa karibu sisi tuache tuendelee kula tunda kimaskhara.
 
Kazi gani hiyo unalipwa ujira Mdogo hivyo ?

Tafuta Kazi ya maana au Biashara kubwa Stress zinasababishwa Na low income earning
Nyie wahaya mna sifa za kijinga tsh mil 1.3 take home unasema kidogo?!,je anaelipwa laki 2 au 3 unamuweka kwenye kundi gan?,acheni madharau bwana,hapo unaweza kukuta unacomment ukiwa kwa shemeji yako k***a ww
 
Habari.

Nina miaka 37. Sifurahii maisha katika umri huu. Kama Kuna mtu anaweza kutoa ushauri wa kunikomboa asisite...Mshana Jr etc. Mtiririko wa matukio ni kama ufuatavyo.

1. Ninafanya kazi serikalini mshahara take home ni 1.3m. hapo Nina mkopo wa miaka 5 NMB.

2. Kazi nimeanza tangu 2012. Hivyo Nina miaka 9+ kazini.

3. Naishi Dar es Salaam.

4. Nina mke na watoto wanne. Mtoto wa nne bado ni kichanga.

5. Tangu nianze kazi sijui pesa zangu zinapoenda. Sina kiwanja Sina akiba. Bado nimepanga Kodi laki tatu kwa mwezi.

6. Mahusiano yangu na wife sio mazuri sana kwa sababu ya ugumu wa maisha. Lakini bado tunasonga.

7. Wife Hana kazi Hana biashara.

8. Nakunywa pombe mara kwa mara.

9. Siendi kanisani kabisa ila kwa matukio maalum mfano ndoa, ubatizo wa mtoto, etc

10. Sina gari. Nilioanza nao kazi Wana nyumba kubwa na magari mawili. Moja la wife....

Nahisi Nina mkosi nifanye nini? Yapo mengi kuonesha hasara ninayoihisi. Kazini napata marupurupu ya hapa na pale. Ila najiona sitoboi. Wadogo zangu wenye mshahara wa laki Tano wametoboa mi nipo nipo tu mpka mama yangu amekata tamaa. Faraja yangu iliyobaki ni Binti zangu ambao hawaelewi chochote kwenye hii Dunia ya vita.
Pole kaka...

Mimi bado sijafika ila kwa uelewa wa kibinadamu....nina ushauri huu.

1. Acha kunywa pombe ( maana umesema unakunywa pombe mara kwa mara).

2. Mke hana kazi ya maaana... maana yake mke yupo nyumbani tu... kwanza hapa kana nafsi... mfungulie genge.... la hata 300,000... utaona kuna unafuu... kidogo huku ukiwa unachanga karata....

3. Pia huu mkopo wa miaka 5 ya NMB ulichukua ya nini?? Na ulifanyia nini? Pia pengine kuna ishu hapa....

4. Kama wewe ni wale wa kwendana simu za wakati, acha... don't be slave of modern life....

NB. anza kuwaza namna ya kukuza unachokipata... HAPA NADHANI NDIO UNAZINGUA...na hapaa anza kwa shemeji... mtafutie kitu cha kufanya....

Mungu atusaidie wote...
 
Aise acha tu Nina kameza Cha coffee nimenunua mlimani city laki sita kila nikiiona nakumbuka mkopo ulivyoisha kilofa hebu acha tu. Hapo nikanunua Tecno phantom ilikua laki sita. Tayari 1.2. just imagine vurugu ngapi nimefanya. Milioni 20 ukiwa huna displine ni km Hamna
Unanunua techno laki sita?[emoji848] kweli haukuwa na nidhamu na hela
 
Habari.

Nina miaka 37. Sifurahii maisha katika umri huu. Kama Kuna mtu anaweza kutoa ushauri wa kunikomboa asisite...Mshana Jr etc. Mtiririko wa matukio ni kama ufuatavyo.

1. Ninafanya kazi serikalini mshahara take home ni 1.3m. hapo Nina mkopo wa miaka 5 NMB.

2. Kazi nimeanza tangu 2012. Hivyo Nina miaka 9+ kazini.

3. Naishi Dar es Salaam.

4. Nina mke na watoto wanne. Mtoto wa nne bado ni kichanga.

5. Tangu nianze kazi sijui pesa zangu zinapoenda. Sina kiwanja Sina akiba. Bado nimepanga Kodi laki tatu kwa mwezi.

6. Mahusiano yangu na wife sio mazuri sana kwa sababu ya ugumu wa maisha. Lakini bado tunasonga.

7. Wife Hana kazi Hana biashara.

8. Nakunywa pombe mara kwa mara.

9. Siendi kanisani kabisa ila kwa matukio maalum mfano ndoa, ubatizo wa mtoto, etc

10. Sina gari. Nilioanza nao kazi Wana nyumba kubwa na magari mawili. Moja la wife....

Nahisi Nina mkosi nifanye nini? Yapo mengi kuonesha hasara ninayoihisi. Kazini napata marupurupu ya hapa na pale. Ila najiona sitoboi. Wadogo zangu wenye mshahara wa laki Tano wametoboa mi nipo nipo tu mpka mama yangu amekata tamaa. Faraja yangu iliyobaki ni Binti zangu ambao hawaelewi chochote kwenye hii Dunia ya vita.

Tatizo lako ni kuwa huna AKILI.

Chakufanya, ibusti akili yako vyema.
Akili ndio inaongoza Maisha
 
Ndiyo mjue biashara ni kitu kingine bwana, biashara ina baraka bwana, kazi za kuajiriwa ni upumbafu mtupu. Kazi za kitumwa, umefungwa akili huwezi fanya mambo yako.

Namheshimu mno anaefanya biashara, hata kama anaingiza 10000 per day, namheshimu sanaa mtu uyo.

Kwako mleta mada, acha pombe, kama kuna ujanja ujanja wa marupu rupu hapo kazini kwenu kwa maana ya "wizi" rudisha haki za watu, na acha kabisa wizi.

Olenimala nkoi?? Au niongee kichina utanielewa!!
 
Huo mkopo ndo vituko kabisa sitaki hata kukumbuka. Nilikopa 36m. Hapo Hela ya LOAN BOARD ikakatwa. Nikabakiwa na 20. Ukiniuliza nilichofanya sijui... Iliisha kiutani utani
Eti iliishaa kitani utani..... sasa unaomba ushari ili iweje... muda mwingine tujione huruma na tuache utani na maisha.... hapa sasa namwelewq shemeji ... kwani anakuzinguaa ... ety 20M afu umekopa afu imeishaa kiutani utani......
 
Huo mkopo ndo vituko kabisa sitaki hata kukumbuka. Nilikopa 36m. Hapo Hela ya LOAN BOARD ikakatwa. Nikabakiwa na 20. Ukiniuliza nilichofanya sijui... Iliisha kiutani utani
Mkuu kwakuwa changamoto tunayoizungumzia ni maendeleo, na tafsiri ya haraka ya maendeleo ni kuwa Rasilimali kadhaa za kukuwezesha kujisitiri na kukuza kipato chako au kwa kifupi ni kumiliki mali, kwa maana hiyo, hayo yote yanahitaji fedha ili kufanikisha kupatikana kwa hayo maendeleo.
Kwahiyo jamaa aliyekushauri kufanya ufuatiliaji juu ya matumizi ya huo mkopo ndiyo jambo la msingi katika kubaini kiasi kikubwa cha pesa yako kinapotelea wapi.
Mfano mzuri ni kama mtu anayelalamikia kuletewa bill kubwa ya maji kila mwezi anatakiwa kufanya ufuatiliaji wa matumizi yake ya maji kila siku lakini pia hapaswi kupuuza kuchunguza mfumo wa maji uliofungwa nyumbani kwake kubaini kama kuna sehemu maji yanavuja na kupotea bure.
Huo mkopo uliowahi kuuchukua ni starting point nzuri sana ya ku'trace' matumizi yako ukiachilia mbali hilo deni la bodi ya mikopo. Hapo utabaini kuwa kama fedha yako imetumika zaidi kwenye mambo yapi na uanze kuangalia namna bora ya kushughulikia mianya ya uvujaji wa pesa zako.

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Habari.

Nina miaka 37. Sifurahii maisha katika umri huu. Kama Kuna mtu anaweza kutoa ushauri wa kunikomboa asisite...Mshana Jr etc. Mtiririko wa matukio ni kama ufuatavyo.

1. Ninafanya kazi serikalini mshahara take home ni 1.3m. hapo Nina mkopo wa miaka 5 NMB.

2. Kazi nimeanza tangu 2012. Hivyo Nina miaka 9+ kazini.

3. Naishi Dar es Salaam.

4. Nina mke na watoto wanne. Mtoto wa nne bado ni kichanga.

5. Tangu nianze kazi sijui pesa zangu zinapoenda. Sina kiwanja Sina akiba. Bado nimepanga Kodi laki tatu kwa mwezi.

6. Mahusiano yangu na wife sio mazuri sana kwa sababu ya ugumu wa maisha. Lakini bado tunasonga.

7. Wife Hana kazi Hana biashara.

8. Nakunywa pombe mara kwa mara.

9. Siendi kanisani kabisa ila kwa matukio maalum mfano ndoa, ubatizo wa mtoto, etc

10. Sina gari. Nilioanza nao kazi Wana nyumba kubwa na magari mawili. Moja la wife....

Nahisi Nina mkosi nifanye nini? Yapo mengi kuonesha hasara ninayoihisi. Kazini napata marupurupu ya hapa na pale. Ila najiona sitoboi. Wadogo zangu wenye mshahara wa laki Tano wametoboa mi nipo nipo tu mpka mama yangu amekata tamaa. Faraja yangu iliyobaki ni Binti zangu ambao hawaelewi chochote kwenye hii Dunia ya vita.
Pole sana ndugu Kufa kuzikana
You are still young bro.

Sasa tufanyeje ili ujione mwenye mafanikio ?
Basi ni rahisi sikushauri kuacha pombe ila nakushauri kupunguza ikiwa unakunywa kwa kiasi kikubwa cha hela.

Kaka mpaka sasa jitafute uko wapi? Ikiwa ni biashara jiulize ni ipi unaona waweza kuimudu basi jiwekeze huko ila hapa nikueleze ukweli kuwa usifanye biashara za kuiga mara mbona fulani imemtoa

Biashara za namna hiyo achana nazo ila jitizame ni biashara gani unahisikia toka moyoni na kuwa na amani nayo nasema hivi maana najua utaifanya kwa moyo sio kusukumwa na pia utaisimamia.

Japo sio lazima biashara kuna uwekezaji hata wa kilimo hata majumba lakini kote kutokane na willing kutoka moyoni mwako.

Nakuona unaniuliza mtaji nautoa wapi ?
Ndugu mkopo ulionao wa miaka mitano ni mdogo sana ila pia sikutumi kukopa tena .

Ila sasa nakutuma kupunguza gharama za maisha hapo nyumbani hata kutafuta nyumba ya hela kidogo kuasi walau laki na nusu.

Na pia nyumbani punguza matumizi yasiyo ya lazima na pombe kunywa kiafya na kiuchumi zaidi.

Sasa kwanini upunguze matumizi ?
Nahitaji mshahara wako ujitunzie kiasi kidogo kidogo walau hata laki sita au nne kwa mwezi.

Kutunza ni ngumu si et eeh ? Basi ni hivi fungua akaunti ya fixed ambayo kila mwisho wa mwezi toa hela peleka huko ili utunze au katika mshahara wako weka standing order ya kiasi hicho kikatwe na kitunzwe walau kwa mwaka.

Kaka ndani ya mwaka kwa hizo savings tayari hela ya kuanzia biashara unayo , Anza huku unaisikilizia ikisimama na ukajua faida na hasara zake , sasa ikuze na mkopo ili ikuzalishie zaidi .

Pole ila jitahidi kufanya haya japo najua ni kazi sana ila jicommit kama vile ulivyoamua kujieleza hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkosi ni akili yako tu kaka.

Fanya mambo kadhaa muhimu:

1.Kaa na mkeo na mpange budget ya matumizi ya fedha mnayopata…kwenye mshahara wako jitahidi uwe unaweka 10% kama dharura na 5% iwe budget yako ya gambe na matumizi yako binafsi (jipende).

2.Tenga kiasi cha akiba kila mwezi kwa ajili ya kufungua kitega uchumi kingine; anza na wife mwambia anaweza kujishughulisha na nini. Weka malengo ya akiba kiasi gani ya kuweka na kwa muda gani mpaka wife awe na bishara.

3.Wakati unaweka akiba kwa ajili ya biashara ya wife, fanya utafiti wa kina kuhusu hiyo biashara kumbuka kuwa tuna fedha kichele hivyo ni vyema tusiipoteze kwa kutokuwa na uelewa na tunachokifanya.

3.Punguza matumizi yasiyo ya lazima; birtdhay za kifahari, michango isiyo ya lazima, pombe n.k punguza.

4.Wakumbuke wazazi na kuwatunza: Baraka zao zitakufungua sana hutaamini.

5.Usijilinganishe na wengine. Kujilinganisha kutakufanya ukate tamaa na kuona umechelewa.

6.Jitahidi utumie uzazi wa mpango, watoto uliobarikiwa wanatosha.

7.Hakikisha familia nzima mna bima ya afya, gharama za matibabu huwa zinarudisha watu nyuma sana.

Kila la Kheri
Umemshauri vyema, ubarikiwe
 
Back
Top Bottom