Kwanza kanisani huendi unadhulumu Hela za zaka na michango kede unaenda kulewea[emoji1787], na bado unalalama kuwa Hela huoni. Aisee tunaenda kanisani maisha magumu na bado Kuna sadaka, zaka, harambee, shukrani, na michango ya wahitaji ambayo hulipi. .
1. Kwanza kabisa acha kumdhulumu padri unataka akale wapi?
2 Pili jitahidi kupunguza gharama angalia matumizi yasiyo ya lazima, achana nayo
3. Mtafutie mama watoto wako Kaz ambayo anaweza Fanya hata akiwa nyumbani hata kuuza viungo vya chai na pilau
4. Fanya uzazi wa mpango ikiwezekama usipate mtoto mwingine kwa sasa. Fanya Vasectomy ( fungal mirija ya pumbu usitoe mbegu)
5. Jenga amani na furaha sana na mkeo achana na watu wa dunia. Huyo anakuvumilia mengi hujui tu. .
Mwisho kabisa hata mie Niko kwenye ndoa aisee ndoa tamu ukipuuzia mambo. Ukiwaza Kila Jambo utaumwa mda mwingine tunaweza chemsha mahindi Huku tunapigana denda siku inaisha[emoji4]
Kumbuka miaka mia toka sasa utakuwa umekufa utaona Kuna mambo hayana msingi. Acha kulewea na marafiki Kaa karibu na mkeo. .