Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Jamaa kapagawa haelewi mambo mengi muda mchacheLazoma uchanganyikiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kapagawa haelewi mambo mengi muda mchacheLazoma uchanganyikiwe
Hilo ndo tatizoNimekisoma kitabu kinaitwa the richest man in Babylon. Sasa shida utekelezaji
Wewe nadhani levels zako ni za kina Tibaijukwa Makinda etc,20 mil ni pesa kidogo?Unadhani 20 m ni nyingi? Tena ikiwa bank unafanya tu transanctions....hata 2months inaweza isifike ..ni ndogo
Kwani wee ulitaka kukopa kwa lengo lipi?Huo mkopo ndo vituko kabisa sitaki hata kukumbuka. Nilikopa 36m. Hapo Hela ya LOAN BOARD ikakatwa. Nikabakiwa na 20. Ukiniuliza nilichofanya sijui... Iliisha kiutani utani
InachomaAisee!Kuna watu mna utani maishani.Take home ni 1.3m.Mkopo 36m.Ukabakiwa na 20 ms!Na bado hauna kiwanja wala "kipando"/gari la kukupunguzia uchovu wa kutembea.Weye jamaa una kipato kikubwa mnoo ila kuna shida katika bajeti yako.Haujachelewa kwa miaka 37.Tuliza akili na uchukue mawazo ya wakuu wa JF.Yafanyie kazi na hakika utafaulu.Kuna watu nikikueleza take home zao utalia kwa kuwaonea huruma.Mikopo yao ni midogo mnoo na wamejenga,wanasomesha na maisha yanasonga.Haujalogwa.Huna mipango tu.
Mtafute jobless aliesota kitaa kwa miaka 5 au 6 akufundishe maishaHabari.
Nina miaka 37. Sifurahii maisha katika umri huu. Kama Kuna mtu anaweza kutoa ushauri wa kunikomboa asisite...Mshana Jr etc. Mtiririko wa matukio ni kama ufuatavyo.
1. Ninafanya kazi serikalini mshahara take home ni 1.3m. hapo Nina mkopo wa miaka 5 NMB.
2. Kazi nimeanza tangu 2012. Hivyo Nina miaka 9+ kazini.
3. Naishi Dar es Salaam.
4. Nina mke na watoto wanne. Mtoto wa nne bado ni kichanga.
5. Tangu nianze kazi sijui pesa zangu zinapoenda. Sina kiwanja Sina akiba. Bado nimepanga Kodi laki tatu kwa mwezi.
6. Mahusiano yangu na wife sio mazuri sana kwa sababu ya ugumu wa maisha. Lakini bado tunasonga.
7. Wife Hana kazi Hana biashara.
8. Nakunywa pombe mara kwa mara.
9. Siendi kanisani kabisa ila kwa matukio maalum mfano ndoa, ubatizo wa mtoto, etc
10. Sina gari. Nilioanza nao kazi Wana nyumba kubwa na magari mawili. Moja la wife....
Nahisi Nina mkosi nifanye nini? Yapo mengi kuonesha hasara ninayoihisi. Kazini napata marupurupu ya hapa na pale. Ila najiona sitoboi. Wadogo zangu wenye mshahara wa laki Tano wametoboa mi nipo nipo tu mpka mama yangu amekata tamaa. Faraja yangu iliyobaki ni Binti zangu ambao hawaelewi chochote kwenye hii Dunia ya vita.
Kila mtu na namna anaona vitu…Wewe nadhani levels zako ni za kina Tibaijukwa Makinda etc,20 mil ni pesa kidogo?
Nakumbuka ktk historia yangu ya kutafuta pesa siku nilipofikisha 10mill kwenye account na nikahakikisha kweli namba zinasomeka sahihi ATM card niliivunja nikabaki na vipande viwili ushahidi kwa ajili ya kwenda ku-renew nyengine wakati ukifika,pesa ni nidhamu huwezi kutoka familia yenye njaa ukafanya masihara na pesa.
Huyu jamaa hapa anafanya masihara na pesa na kibaya zaidi anafanya masihara na muda,in reality 37 to 60 ni sawa na kutoka Dar to Bagamoyo sekunde tu atajikuta amekuwa babu alichofanya hakioni.siyo dalili nzuri hata kidogo.
😅😅Jamaa kapagawa haelewi mambo mengi muda mchache
Kabisa naumia niliona wenzangu wanaendesha Suzuki mi nipo nipo tu. Kuna mmoja mpaka alidiriki kuniuliza pesa zangu huwa napeleka wapi.Una 4 beautiful girls kwa nyumba, mbona ni blessing hiyo 📌📌
Ulivyoongea Sishangai maana makazini kuna mob physchology ya kushindana lifestyle la mjini. Na unavyoonekana unaishi humo
Kikubwa wewe ni mtu ambae unaendeshwa na upepo wa maneno na maisha ya watu wengine. Huangalii circumstances wala majukumu uliyonayo na ukaishi katika uhalisia wake. Hii ndio sumu kubwa
Kikubwa don't try to fit in brother, live your life katika uhalisia wako 💯💯💯
Unayopitia hauko peke yako, ni muda wa kulevel upHabari.
Nina miaka 37. Sifurahii maisha katika umri huu. Kama Kuna mtu anaweza kutoa ushauri wa kunikomboa asisite...Mshana Jr etc. Mtiririko wa matukio ni kama ufuatavyo.
1. Ninafanya kazi serikalini mshahara take home ni 1.3m. hapo Nina mkopo wa miaka 5 NMB.
2. Kazi nimeanza tangu 2012. Hivyo Nina miaka 9+ kazini.
3. Naishi Dar es Salaam.
4. Nina mke na watoto wanne. Mtoto wa nne bado ni kichanga.
5. Tangu nianze kazi sijui pesa zangu zinapoenda. Sina kiwanja Sina akiba. Bado nimepanga Kodi laki tatu kwa mwezi.
6. Mahusiano yangu na wife sio mazuri sana kwa sababu ya ugumu wa maisha. Lakini bado tunasonga.
7. Wife Hana kazi Hana biashara.
8. Nakunywa pombe mara kwa mara.
9. Siendi kanisani kabisa ila kwa matukio maalum mfano ndoa, ubatizo wa mtoto, etc
10. Sina gari. Nilioanza nao kazi Wana nyumba kubwa na magari mawili. Moja la wife....
Nahisi Nina mkosi nifanye nini? Yapo mengi kuonesha hasara ninayoihisi. Kazini napata marupurupu ya hapa na pale. Ila najiona sitoboi. Wadogo zangu wenye mshahara wa laki Tano wametoboa mi nipo nipo tu mpka mama yangu amekata tamaa. Faraja yangu iliyobaki ni Binti zangu ambao hawaelewi chochote kwenye hii Dunia ya vita.
Kwenye Kula hata mimi sitaki ushauri😅😅Kila mtu na namna anaona vitu…
Me nakula milo yote, sijibahilii kwenye kula. Nafsi ikitamamani kitu flani naipa.. kuna mdada mmoja akajaga niambia nina matumizi mabaya kwenye msosi.