Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,371
- 2,834
Mkuu, Naomba unisaidie Soft copy ya hiki kitabu.Hapo ndio ufumbuzi wako ulipo, tekeleza matakwa ya The Richest Man in Babylon
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, Naomba unisaidie Soft copy ya hiki kitabu.Hapo ndio ufumbuzi wako ulipo, tekeleza matakwa ya The Richest Man in Babylon
Hahahahahaha...Tunakuja[emoji23]Mbona jf mtu akija na story yake wengi wanahisi ni chai nipo hapo mabibo external mje mniangalie basi[emoji1787]
Na hiyo ndio inatakiwa kuwa sehemu ya furaha yako kaka lakini pia ikupush kujua kuwa maisha uliyonayo sasa ni yao si yako.Kabisa naumia niliona wenzangu wanaendesha Suzuki mi nipo nipo tu. Kuna mmoja mpaka alidiriki kuniuliza pesa zangu huwa napeleka wapi.
Btw thank to my girls, wao hunifanya nisikate tamaa. Very young...baba leta hiki mara leta mdoli mara sijui nini hawajui hata mboga ipo au hamna
Hio pesa ni ndefu,Watu wanalipwa laki 3 na wanafanya maendeleo.1.3m hauwezi kuwa na maendeleo kwa mshahara.
Umechezea mkopo ,hauwezi kuitapakanya yote 36m , ilikuaje ukalipa loan board pesa yote hiyo kwa pamoja?
Mchawi wako ni pombe.Habari.
Nina miaka 37. Sifurahii maisha katika umri huu. Kama Kuna mtu anaweza kutoa ushauri wa kunikomboa asisite...Mshana Jr etc. Mtiririko wa matukio ni kama ufuatavyo.
1. Ninafanya kazi serikalini mshahara take home ni 1.3m. hapo Nina mkopo wa miaka 5 NMB.
2. Kazi nimeanza tangu 2012. Hivyo Nina miaka 9+ kazini.
3. Naishi Dar es Salaam.
4. Nina mke na watoto wanne. Mtoto wa nne bado ni kichanga.
5. Tangu nianze kazi sijui pesa zangu zinapoenda. Sina kiwanja Sina akiba. Bado nimepanga Kodi laki tatu kwa mwezi.
6. Mahusiano yangu na wife sio mazuri sana kwa sababu ya ugumu wa maisha. Lakini bado tunasonga.
7. Wife Hana kazi Hana biashara.
8. Nakunywa pombe mara kwa mara.
9. Siendi kanisani kabisa ila kwa matukio maalum mfano ndoa, ubatizo wa mtoto, etc
10. Sina gari. Nilioanza nao kazi Wana nyumba kubwa na magari mawili. Moja la wife....
Nahisi Nina mkosi nifanye nini? Yapo mengi kuonesha hasara ninayoihisi. Kazini napata marupurupu ya hapa na pale. Ila najiona sitoboi. Wadogo zangu wenye mshahara wa laki Tano wametoboa mi nipo nipo tu mpka mama yangu amekata tamaa. Faraja yangu iliyobaki ni Binti zangu ambao hawaelewi chochote kwenye hii Dunia ya vita.
Sina gari. Nilioanza nao kazi Wana nyumba kubwa na magari mawili. Moja la wife....
Mke wako ndo shida.Habari.

One in million kumpa mkeo kongole ..i lov thisKwa upande wake amekua mke mzuri kwa maoni yangu japo analalamika sana kuhusu hali yetu. Ahadi ya kufungua biashara ya familia imekua topic kila leo...
Nilikua namjibu yule wa juu anayehis ni uongo..ishu zingine take it easyWewe nadhani levels zako ni za kina Tibaijukwa Makinda etc,20 mil ni pesa kidogo?
Mimi ktk historia yangu ya kutafuta pesa siku nilipofikisha 10mill kwenye account na nikahakikisha kweli namba zinasomeka sahihi ATM card niliivunja nikabaki na vipande viwili ushahidi kwa ajili ya kwenda ku-renew nyengine wakati ukifika,pesa ni nidhamu huwezi kutoka familia yenye njaa ukafanya masihara na pesa.
Huyu jamaa hapa anafanya masihara na pesa na kibaya zaidi anafanya masihara na muda,in reality 37 to 60 ni sawa na kutoka Dar to Bagamoyo sekunde tu atajikuta amekuwa babu alichofanya hakioni.siyo dalili nzuri hata kidogo.
Hio pesa ni ndefu,Watu wanalipwa laki 3 na wanafanya maendeleo.
Aanze na alichonacho.
unakuta mama ntilie kapiga room zake mbili safi,maji,umeme kaweka na anasomesha.Maisha ni mipango,kashindwa kupanga
Jaribu kuhama Dar ujaribu maisha sehemu nyingineHabari.
Nina miaka 37. Sifurahii maisha katika umri huu. Kama Kuna mtu anaweza kutoa ushauri wa kunikomboa asisite...Mshana Jr etc. Mtiririko wa matukio ni kama ufuatavyo.
1. Ninafanya kazi serikalini mshahara take home ni 1.3m. hapo Nina mkopo wa miaka 5 NMB.
2. Kazi nimeanza tangu 2012. Hivyo Nina miaka 9+ kazini.
3. Naishi Dar es Salaam.
4. Nina mke na watoto wanne. Mtoto wa nne bado ni kichanga.
5. Tangu nianze kazi sijui pesa zangu zinapoenda. Sina kiwanja Sina akiba. Bado nimepanga Kodi laki tatu kwa mwezi.
6. Mahusiano yangu na wife sio mazuri sana kwa sababu ya ugumu wa maisha. Lakini bado tunasonga.
7. Wife Hana kazi Hana biashara.
8. Nakunywa pombe mara kwa mara.
9. Siendi kanisani kabisa ila kwa matukio maalum mfano ndoa, ubatizo wa mtoto, etc
10. Sina gari. Nilioanza nao kazi Wana nyumba kubwa na magari mawili. Moja la wife....
Nahisi Nina mkosi nifanye nini? Yapo mengi kuonesha hasara ninayoihisi. Kazini napata marupurupu ya hapa na pale. Ila najiona sitoboi. Wadogo zangu wenye mshahara wa laki Tano wametoboa mi nipo nipo tu mpka mama yangu amekata tamaa. Faraja yangu iliyobaki ni Binti zangu ambao hawaelewi chochote kwenye hii Dunia ya vita.
Kwani wajumbe kodi ya laki tatu ni ndefu sana? Capital City hapa mbona ndio kodi zetu.Mkuu unalipa kodi mshahara wa mtu 😛
Sema sio mbaya sababu una familia kubwa,, ila ungeweka wazi lacation wadau wakupe mbinu.
Mikopo ya kishenzi sana kama hauna nidhamu ya fedha na mipango madhubutiSikushangai kuna jamaa alikopa milioni 16,alikuja kushtuka ana laki tatu 😆😆
Kafaidisha wanawake,starehe na anakatwa mpk kesho 😆😆
Ntakuwekea hapa ila Kuna huu uzi jamaa alikiweka hapa Kwa tafsiri ya kiswahili.Mkuu, Naomba unisaidie Soft copy ya hiki kitabu.
Asante sanaDownload app inaitwa 'Money Lover' mkuu. Kisha ingiza matumizi yako ya kila siku kwa miezi 3 ijayo..
Utajua pesa zako zinaenda wapi na nini cha kurekebisha.
Very powerful, asanteNa hiyo ndio inatakiwa kuwa sehemu ya furaha yako kaka lakini pia ikupush kujua kuwa maisha uliyonayo sasa ni yao si yako.
Ukishondwa wewe wameshindwa wao maana hata mkeo hawezi kuwasimamia
Imagine kesho yakitokea ya kutokea, unadhani mabinti zako watakuwa na future gani au hujakaa na barmaids, machangudoa, wauza genge au hata wadangaji ukajua stories zao. Sio wote wametoka familia maskini ila familia ilipoyumba wakajikuta hawana option
Je, ungependa kuwaacha mabinti zako kwenye hiyo sintofahamu katika ulimwengu katili kwa wanawake
Ukilifikiria hili utaacha kuwa mbinafsi wa kujifikiria wewe binafsi na leo yako. Utajinyima hadi senti ya mwisho kuhakikisha unatengeneza msingi wa mabinti zako
Hao wote unapwafurahisha kwa maisha ya kuigiza hawatokuwa na msaada ukiumwa na wala kuwasaidia wanao utakapoondoka. Then kwa nini unawapa umuhimu
Pia usijilaumu sana, binadamu wote tunafanya makosa lakini kujilaumu haifuti makosa ambayo yameshatokea. Focus na masaa na siku zijazo maana hizo ndo zitabadili kila kitu ,all the best brother 🙏🙏