Maisha yangu Uswahilini Uwanja wa Fisi/Manzese kwa miaka 20

Kuna mkuu wa mkoa mmoja mjinga wa mkoa wa Dar alitaka akomeshe biashara ya wahaya kuuza utamu. Yeye pia alikua mhaya.
Nyerere alipata habari kwamba wahaya wote wanarudishwa uhayawani. Nyerere amuiita yule mkuu wa mkoa mpumbavu na kumuuliza.
Ukisha wahamisha Malaya wa kihaya Dar, wale wateja wao utawapa kitu gani mbadala wapoze nyege zao?
Mpuuzi akasitisha zoezi Mara moja.
Wacha kumzushia mzee wa watu.
 
Wakuu

Uswazi uswahilini , ngoja nishee story yangu na experience ya kuishi uswahilini
,Ntasimulia jinsi nilivyo koswa koswa na Ukimwi, jinsi nilivyo kwepa kuzama ktk utumiaji wa madawa, jinsi nilivyo escape kuwa panya road,
Nilivyo escape kula mashoga, nilivyoishi na matapeli na kujifunza mbinu za utapeli

Jinsi nilivyo adapt tabia za uswahilini,
Siri za madanguro ,biashara nilizokuwa nafanya na wadada wanaojiuza n.k

Mi sio msimuliaji mzuri ila nitajitahidi kusimulia japo , collection ya miaka ishirini niliyokulia uswazi... Kitaa kimetulea

Lez goo......

Mimi Generation Z niliingia mjini mwaka 2000 nikiwa kachaliii tokea ukoo kaskazini, kitovuni kabisa , nilikuwa na umri tu wa kuanzia shule ila nilikuwa najielewa vyema,

Ajabu nakumbuka hadi leo nilikujaje , nakumbuka nilikuwa nishaanza shule Baba akanifuata lengo ilikuwa ni kutolewa meno yaliyopandana , nikapelekwa moshi then tukaja dar kwa Bus ya Meridian,

Tokea ubungo gari tuliopanda ni double cabin toyota tukashuka manzese nyumba ambayo nimeishi kwa miaka 20

Iyo nyumba ipo mita chache sana na Uwanja wa fisi kinachotutenganisha ni barababara tu,

Nyuma ya iyo nyumba kuna danguro. Pia wadada wanajiuza asilimia kubwa ni wale wanaoish kule Ndege iliposhindwa kutua ikatua ziwani

Fast forward nikaanza shule Ukombozi hapo maisha yakaendelea,

Naenda shule kila nikipita nyuma ya nyumba nikatize niende shule nikawa naona wadada na wamama wamekaa ktk milango vyumba vyao vidogo vidogo nawapita nawasalimia ila sikuwa najuwa shughuli yao mpaka napata akili vyema

Wengi wakawa wananijuwa ni mtoto wa fulani kwaiyo sometimes wanaituma vitu vya hapa na pale mpaka napata akili sasa ya kubalehe ndo nikajuwa hawa wapo hapa kwa sababu flan

Home palikuwa na duka, kipindi nipo darasa la nne nilikuwa naweza uza dukani vyema tu so nasaidiana na mfanyakazi , asilimia kubwa ya wateja pale walikuwa hawa wadada,

Kipindi iko salama condom zinatamba, basi akija mmoja dukani ananunua box zima la salama zilikuwa zinakaa pakti 24 amabpo kila pakti ni salama 3, atanunua na tissue paper , then na Udi yani udi lazima anunue tena nyingi sana

Kwa makadirio kila siku lazima niuze caton hata mbili za condom catton zilikuwa na mabox 6 , tisue ndo nyingi kipindi iko zipo rexa ,

Fast forward nilipokuwa darasa la saba nikawa sasa nawafuata nafanya delivery vyumbani kwao, mida ya jioni naenda nawapitia chumba hadi chumba naandika order zao then naenda shop kwetu nakusanya kila kitu mazaga yote naenda nawapelekea

Ilikuwa ni kila siku saa kumi ile hadi saa mbili nishamaliza kuwa delivery tools zao za kazi , nakumbuka kipindi iko kulikuwa na vyumba 45 tu , nilikuwa nipo sharp sana maana walikuwa wananipa na ganji achilia mbali duka ni letu kwaiyo kesho nikienda shule nipo mtamu mfukoni

Walikuwa wananituma na sokoni kuwanunulia dawa za kuchoma na nyingine huweka katk maji, yale maji sijuwi walikuwa wanachanganya na nini then wanadekia vibaraza vyao nafikiri ni dawa za mvuto the. Wanawasha udi

Huwa ni marachache sana nilikuwa nawaona wakiogea chooni mara nyingi wanapenda kuogea ndani then yale maji wanachanganya na dawa wanadekia vibaraza vyao then ndo wanawinda wateja

Nikawa nawadelivery vitu vyao kwaiyo wanaijuwa vyema ata nipite usiku wa saangapi wanajua huyu generetaion Z kapita,

Tangu miak iyo adi leo wapo wengi wanaoendelea na iyo kujiuza wengine washakufa wengine washastaafu wengine wapo ,

Akili zile za utoto mi nikaw kazi yangu ni kwapelekea vifaa kazi then ivo kila day, wanakuja wapya wengine wanahama wanaamia buguruni, mwananyamala n.k

Kwaiyo kiasi kwamba hata nikienda buguruni kule nikipita kama si watano basi kumi wananijuwa huyu ni flani ,

Nilikuwa mtoto mwema tu na pia ni kwasababu baba alikuwa mkali sana kias kwamba nikimsikia tu najipanga ,

Fast forward.. n

Nikaanza seco nikawa nimechaguliwa shule flani mbezi uko, ila jioni kama kawaida nikirudi naend kuwafanyia delivery hap sasa nimeshabalehe kabisa

Na ndevu zimeshaanza kutoka
Hapo ndo visa vingi vinaanzia hapo

Kwa sura hivi ukinitazama haraka unawez sema nina undugu na medy singer wa Rwanda au ukasema ninatoka rwanda ila sio

Sas ktk kuendelea ile balehe imechanganya nikawa kiburi ,mjeuri,n.k, wale wadada wakaona mabadiliko wakanireport kwa dingi , sasa walienda wakanisagia kunguni ooh mwanao siku izi kawa mjeuri ukimtuma aendi na anaingia vyumbani sikuizi ndo maana amekuwa na kiburi,

Dingi alinipa kipigo ila sio sana maana report zilikuwa nyingi ,

Nikahama lile eneo,ila kabla sijahama kuna visa viwili

Kisa cha kwanza
Palikuwa na mdada mmoja ni wa makamo tu alikuwa ananitania sana mchumba mchumba mume mume kama utani sasa wale wadada wenzie wakawa hawapendi ile hali wakanivuta pembeni wakanambia

We tumekulea hapa sisi hatutapenda tukuone unaingia humu vyumbani tunajuwa umekua sasa ukiwa na nyege zako watafute wadogo wenzio humu vyumbani utakufa mapema kabla ya muda wako ata siku moja usijaribu

Kweli nikawaelewa ule wosia wao nikawa nimeliweka kichwani hadi kesho, yule dada alekuwa ananitania tania akawa ananitania vile vile sometimes ananiita ananionyesha ex ktk sim yake ivo ila sikuwah shawishika

Nikaja kusikia kuna kijana mdogo zaid yangu wa mtaani alimrubuni adi akafanya nae mapenzi, mi nikawa namtania nna wivu naskia unatoka na fulani , aksema utaniweza mi kucheka cheka na kusepa

Yule dogo akaja akapata Ukimwi, 98% ulitoka kwa yule binti maana walikuwa hawatumii kinga, na dogo alikuwa anapewa hadi Tigo imagine walikuwa wanafanya kwa siri ila wakaamuwa iwe wazi maana watu walikuwa washajuwa

Dogo adi kesho anatumia dozi ila kazalisha visichana kadhaa ,na siav kapata jimama nalo limemzalia ndo wanaishi pamoja,..

Fast forward yule dada akaja pata majanga, alikuja mchati , wakachetuana umo ndani sijui ikawaje yule mchati akamlima kisu cha tumbo utumbo yule dada utumbo ukamwagika, bahati nzuri alikuja akapona hadi kesho yupo

Bonge la mtu takro ilo yani mzigo mzigo haswa mitatoo yakutosha, vikukuu mguuni kama vyote yani hauulizi unaulizwa tu unataka tundu gani,

Nikaja kuhama lile eneo nikavuka upande wa pili ambapo ni UWANJA WA FISI

NAPO kuna danguro kubwa tena kule ndo main head quarters,

Huku ndo visa vingi

Napo nilikuwa dukani pia kwaiyo wateja wengi ni hao, wakanizoea pia wao walikuwa wengi kufanya deliy ilikuwa issue japo mara moja moja,

Huku fisi palikuwa na kila aina ya starehe yani stareh ndo zilikuwa zinakutana, wauza unga, bangi,kamali, wezi wote ndo eneo lao la kujidai

Utauziwa sabuni kwenye baasha unaambiwa smartphone , utaletewa mchanga kwenye kiroba utambiwa sukari,

Nikapata marafiki wa kila aina,

Ktk haya madanguro kuna ambao ni wazuri alafu unakuta ni mke wa mtu kabisa ila anatoka asubuh anakuja anakaa golini the. Jion anarudi kwa mumewe pengine na muwe ajuwi

Visichana vizuuriii ila nikawa kila nikikumbuka wosia wa wale wa dada basi hata hamu nao sina,na sijawh zama umo vyumbani

Analinda goli the. Usiku anamwachia mwingine kodi ya vile vyumba ni elfu tano kwa siku sijui kwa kipindi iki ila miaka iyo ni elfu tano kwa siku, hapo ukienda kuchetuwa bao moja unalipa elfu tatu , mawili discount elfu tano,

Hawapendi ukiwa umelewa, ukitaka kulala basi unatoa ishirini ila unakuja mida ya kufunga ambapo ni saa tano,

Biashara zao zinaenda wanakuja polisi wanawatimuwa ila wanarudi tena ivo,

Kwwli kuna ambao walikuwa wananivutia ila sikiwahi ingia vumbani kwao,

Kuna kisa kimoja

Palikuwa na mdada mmoja ivi ni mzuri kuanzia sura umbo yani kila kitu,

Ile psi ilikuwa pisi kali yani anastahili wa kuolewa kabisaa tena na mtu mzito

Alikuwa na goli lake nae anakula vichwa, unaambiwa ye dau lake ni kuanzia elfu tano goli moja,

.na watu walikuwa wanamiminika mbaya mbovu, yani alikuwa apoi ukisema umvizie uingie unkuta jamaa mwingine keshaingia yani kutwa foleni kwake

Mpaka wenzie wakawa wanakasirika sana
Yani wanakwambia kwa hesabu za fast alikuwa analaza zaid ya 1500k kila siku

Ikaenda yul dada akaja akapigwa bisu la koromeo akafa

Kumbe bana yule dada ni mshirikina

Nje ukimwona ni mtu ila ukivuka kizingiti cha mlango wake basi kitandani unaeda kutomb mbwa au lidubwasha lolote

Na ndo ilikuwa style yake yani alikuaa na uchawi uo, utaingia ndani kama hujui lolote kuhusu mambo ya giza utaishia kmgonga mbwa ye ankaa pemben na ndo ipo ivo........

Ntaendelea
Story tamu sana hii
 
Meridian toka Rombo sio?
waanzilishi wa madanguro dar manzese faya myamani ni mayema na wahaya enzi hizo kuchovia mpaka uwe na hela,zama zimebadilika kila kabila wanawake baadhi yao wameona hicho ndio kitega uchumi chao tatizo wnawake waleo hata aongwe pesa zote wanaishia kunya pombe kuvaa kuhoga wanakufa maikini na ukimwi
 
Wazeee hivi haps moshi wahaya wanapatikana wapi. Wakiwa na vigheto vyao , maana nimemiss kula mbususu aseeeee
 
Hizi stori za kulengeshwa kwa wanyama nimezisikia sana migodini(kanda ya ziwa)

m sinaga ujasiri wa kununua malaya yaani nimeshindwa
Inategemea neno malaya lina maana gani kwako. Ukienda bar ukanywa ukachukuwa demu ukaenda naye ukapiga huo usiku umechukuwa malaya. Ukiwa na mwanamke amaye mapenzi yenu yako based kwenye exchange ya kupewa exclusive au non-exclusive rights na yeye anaqpata monetary favors hapo wewe una malaya. Mwanamke ambaye si malaya ni yule uliye naye mahusiano ya kimapenzi na mapenzi yenu haytegemei uwezo wako wa kumhudumia kuchumi. Haqya yanaitwa mapenzi, na hata wewe kuna siku kiuchumi ukatetereka akakusaidia. Lakini exchange ya mbususu na vitu vyote vyenye monetary value hakuna tofauti kwenda danguroni, sema tu danguroni aibu wakikukuona loakini kumbuka kama wewe ni mchumi you save a lot when you buy in a store like Walmat compared to buying from an exclusive store serving celebrities and rich people. Just imagine buying mbususu for 70/80 million shillings compared to paying 5,00 to 10,000 per visit. One million you get any where fromm 100 to 200 visits and no attachments!
 
Hapana sio kweli, kwanza uwanja wa Fisi na Kiboko Bar ni maeneo tofauti kabisa na yapo mbalimbali. Jina la uwanja wa Fisi lilitungwa na gazeti moja kipindi hicho linaitwa Burudani lilikuwa likitoka mara moja kwa wiki.
Na hii ilitokana na kutoa habari ya eneo lile kuwa kutokana na maisha wanayoishi watu wa pale hawana tofauti na mnyama fisi.
Umesema kweli.
 
Duh kweli we ndo mwenyewe mitaa ile...ni kweli hata mimi babu yangu ndo ilikuwa mitaa yake ya kunywa pombe na nyama zisizoeleweka.....tulikuwa tunaishi ajentina pale jirani na jego gesti
Nina siku nyingi sijafika huko. Argentina ninayoikumbuka ilikuwa Manzese Morogoro Road. Inawezekana ni mpya. Mara yangu ya mwisho uwanja wa fisi ilikuwa 1994, sasa hivi sijui imekaaje.
 
Wewe nitakuja pm nikupe jina la huyo anayechukuaga Malaya watatu kwa mpigo. Ni MTU mzima na hupenda kuvaa kizalendo zaidi lakini kingono Hana chembe ya uzalendo.
Uzalendo kingono ukoje?
 
Huyo alikuwa lofa, alikuwa kajulia hela ukubwani na mshamba. Mkuu wa mkoa unaokotezaje malaya hovyo hovyo? Ashukuru tu hakuwa target, vipi kama huyo malaya angekuwa muuaji? Waliokulia shida ndo huwa washamba huku ukubwani. JK hakuwa mshamba kiasi hicho hata alipokuwa Waziri/mkuu wa mkoa
Enzi zetu, ukisafiri mkoani unaagiza utafutiwe. Unaanzia ofini kama wapo singles watakaokubali. Au unatafutiwa sehemu nyingine mkoani. Kama wewe ni mtu wa kusafiri unakuwa na mtu kwenye ofisi mikoani unayemuaminbi hatafujisha nyenendono zako. Huyo ndiyo anakutafutia totos za uhakika. Ni aibu mtu mwenye nafasi yako kwenda kutafuta wauza bar ambao wakikuliza hutajua pa kuanzia!
 
Wakuu

Uswazi uswahilini , ngoja nishee story yangu na experience ya kuishi uswahilini
,Ntasimulia jinsi nilivyo koswa koswa na Ukimwi, jinsi nilivyo kwepa kuzama ktk utumiaji wa madawa, jinsi nilivyo escape kuwa panya road,
Nilivyo escape kula mashoga, nilivyoishi na matapeli na kujifunza mbinu za utapeli

Jinsi nilivyo adapt tabia za uswahilini,
Siri za madanguro ,biashara nilizokuwa nafanya na wadada wanaojiuza n.k

Mi sio msimuliaji mzuri ila nitajitahidi kusimulia japo , collection ya miaka ishirini niliyokulia uswazi... Kitaa kimetulea

Lez goo......

Mimi Generation Z niliingia mjini mwaka 2000 nikiwa kachaliii tokea ukoo kaskazini, kitovuni kabisa , nilikuwa na umri tu wa kuanzia shule ila nilikuwa najielewa vyema,

Ajabu nakumbuka hadi leo nilikujaje , nakumbuka nilikuwa nishaanza shule Baba akanifuata lengo ilikuwa ni kutolewa meno yaliyopandana , nikapelekwa moshi then tukaja dar kwa Bus ya Meridian,

Tokea ubungo gari tuliopanda ni double cabin toyota tukashuka manzese nyumba ambayo nimeishi kwa miaka 20

Iyo nyumba ipo mita chache sana na Uwanja wa fisi kinachotutenganisha ni barababara tu,

Nyuma ya iyo nyumba kuna danguro. Pia wadada wanajiuza asilimia kubwa ni wale wanaoish kule Ndege iliposhindwa kutua ikatua ziwani

Fast forward nikaanza shule Ukombozi hapo maisha yakaendelea,

Naenda shule kila nikipita nyuma ya nyumba nikatize niende shule nikawa naona wadada na wamama wamekaa ktk milango vyumba vyao vidogo vidogo nawapita nawasalimia ila sikuwa najuwa shughuli yao mpaka napata akili vyema

Wengi wakawa wananijuwa ni mtoto wa fulani kwaiyo sometimes wanaituma vitu vya hapa na pale mpaka napata akili sasa ya kubalehe ndo nikajuwa hawa wapo hapa kwa sababu flan

Home palikuwa na duka, kipindi nipo darasa la nne nilikuwa naweza uza dukani vyema tu so nasaidiana na mfanyakazi , asilimia kubwa ya wateja pale walikuwa hawa wadada,

Kipindi iko salama condom zinatamba, basi akija mmoja dukani ananunua box zima la salama zilikuwa zinakaa pakti 24 amabpo kila pakti ni salama 3, atanunua na tissue paper , then na Udi yani udi lazima anunue tena nyingi sana

Kwa makadirio kila siku lazima niuze caton hata mbili za condom catton zilikuwa na mabox 6 , tisue ndo nyingi kipindi iko zipo rexa ,

Fast forward nilipokuwa darasa la saba nikawa sasa nawafuata nafanya delivery vyumbani kwao, mida ya jioni naenda nawapitia chumba hadi chumba naandika order zao then naenda shop kwetu nakusanya kila kitu mazaga yote naenda nawapelekea

Ilikuwa ni kila siku saa kumi ile hadi saa mbili nishamaliza kuwa delivery tools zao za kazi , nakumbuka kipindi iko kulikuwa na vyumba 45 tu , nilikuwa nipo sharp sana maana walikuwa wananipa na ganji achilia mbali duka ni letu kwaiyo kesho nikienda shule nipo mtamu mfukoni

Walikuwa wananituma na sokoni kuwanunulia dawa za kuchoma na nyingine huweka katk maji, yale maji sijuwi walikuwa wanachanganya na nini then wanadekia vibaraza vyao nafikiri ni dawa za mvuto the. Wanawasha udi

Huwa ni marachache sana nilikuwa nawaona wakiogea chooni mara nyingi wanapenda kuogea ndani then yale maji wanachanganya na dawa wanadekia vibaraza vyao then ndo wanawinda wateja

Nikawa nawadelivery vitu vyao kwaiyo wanaijuwa vyema ata nipite usiku wa saangapi wanajua huyu generetaion Z kapita,

Tangu miak iyo adi leo wapo wengi wanaoendelea na iyo kujiuza wengine washakufa wengine washastaafu wengine wapo ,

Akili zile za utoto mi nikaw kazi yangu ni kwapelekea vifaa kazi then ivo kila day, wanakuja wapya wengine wanahama wanaamia buguruni, mwananyamala n.k

Kwaiyo kiasi kwamba hata nikienda buguruni kule nikipita kama si watano basi kumi wananijuwa huyu ni flani ,

Nilikuwa mtoto mwema tu na pia ni kwasababu baba alikuwa mkali sana kias kwamba nikimsikia tu najipanga ,

Fast forward.. n

Nikaanza seco nikawa nimechaguliwa shule flani mbezi uko, ila jioni kama kawaida nikirudi naend kuwafanyia delivery hap sasa nimeshabalehe kabisa

Na ndevu zimeshaanza kutoka
Hapo ndo visa vingi vinaanzia hapo

Kwa sura hivi ukinitazama haraka unawez sema nina undugu na medy singer wa Rwanda au ukasema ninatoka rwanda ila sio

Sas ktk kuendelea ile balehe imechanganya nikawa kiburi ,mjeuri,n.k, wale wadada wakaona mabadiliko wakanireport kwa dingi , sasa walienda wakanisagia kunguni ooh mwanao siku izi kawa mjeuri ukimtuma aendi na anaingia vyumbani sikuizi ndo maana amekuwa na kiburi,

Dingi alinipa kipigo ila sio sana maana report zilikuwa nyingi ,

Nikahama lile eneo,ila kabla sijahama kuna visa viwili

Kisa cha kwanza
Palikuwa na mdada mmoja ni wa makamo tu alikuwa ananitania sana mchumba mchumba mume mume kama utani sasa wale wadada wenzie wakawa hawapendi ile hali wakanivuta pembeni wakanambia

We tumekulea hapa sisi hatutapenda tukuone unaingia humu vyumbani tunajuwa umekua sasa ukiwa na nyege zako watafute wadogo wenzio humu vyumbani utakufa mapema kabla ya muda wako ata siku moja usijaribu

Kweli nikawaelewa ule wosia wao nikawa nimeliweka kichwani hadi kesho, yule dada alekuwa ananitania tania akawa ananitania vile vile sometimes ananiita ananionyesha ex ktk sim yake ivo ila sikuwah shawishika

Nikaja kusikia kuna kijana mdogo zaid yangu wa mtaani alimrubuni adi akafanya nae mapenzi, mi nikawa namtania nna wivu naskia unatoka na fulani , aksema utaniweza mi kucheka cheka na kusepa

Yule dogo akaja akapata Ukimwi, 98% ulitoka kwa yule binti maana walikuwa hawatumii kinga, na dogo alikuwa anapewa hadi Tigo imagine walikuwa wanafanya kwa siri ila wakaamuwa iwe wazi maana watu walikuwa washajuwa

Dogo adi kesho anatumia dozi ila kazalisha visichana kadhaa ,na siav kapata jimama nalo limemzalia ndo wanaishi pamoja,..

Fast forward yule dada akaja pata majanga, alikuja mchati , wakachetuana umo ndani sijui ikawaje yule mchati akamlima kisu cha tumbo utumbo yule dada utumbo ukamwagika, bahati nzuri alikuja akapona hadi kesho yupo

Bonge la mtu takro ilo yani mzigo mzigo haswa mitatoo yakutosha, vikukuu mguuni kama vyote yani hauulizi unaulizwa tu unataka tundu gani,

Nikaja kuhama lile eneo nikavuka upande wa pili ambapo ni UWANJA WA FISI

NAPO kuna danguro kubwa tena kule ndo main head quarters,

Huku ndo visa vingi

Napo nilikuwa dukani pia kwaiyo wateja wengi ni hao, wakanizoea pia wao walikuwa wengi kufanya deliy ilikuwa issue japo mara moja moja,

Huku fisi palikuwa na kila aina ya starehe yani stareh ndo zilikuwa zinakutana, wauza unga, bangi,kamali, wezi wote ndo eneo lao la kujidai

Utauziwa sabuni kwenye baasha unaambiwa smartphone , utaletewa mchanga kwenye kiroba utambiwa sukari,

Nikapata marafiki wa kila aina,

Ktk haya madanguro kuna ambao ni wazuri alafu unakuta ni mke wa mtu kabisa ila anatoka asubuh anakuja anakaa golini the. Jion anarudi kwa mumewe pengine na muwe ajuwi

Visichana vizuuriii ila nikawa kila nikikumbuka wosia wa wale wa dada basi hata hamu nao sina,na sijawh zama umo vyumbani

Analinda goli the. Usiku anamwachia mwingine kodi ya vile vyumba ni elfu tano kwa siku sijui kwa kipindi iki ila miaka iyo ni elfu tano kwa siku, hapo ukienda kuchetuwa bao moja unalipa elfu tatu , mawili discount elfu tano,

Hawapendi ukiwa umelewa, ukitaka kulala basi unatoa ishirini ila unakuja mida ya kufunga ambapo ni saa tano,

Biashara zao zinaenda wanakuja polisi wanawatimuwa ila wanarudi tena ivo,

Kwwli kuna ambao walikuwa wananivutia ila sikiwahi ingia vumbani kwao,

Kuna kisa kimoja

Palikuwa na mdada mmoja ivi ni mzuri kuanzia sura umbo yani kila kitu,

Ile psi ilikuwa pisi kali yani anastahili wa kuolewa kabisaa tena na mtu mzito

Alikuwa na goli lake nae anakula vichwa, unaambiwa ye dau lake ni kuanzia elfu tano goli moja,

.na watu walikuwa wanamiminika mbaya mbovu, yani alikuwa apoi ukisema umvizie uingie unkuta jamaa mwingine keshaingia yani kutwa foleni kwake

Mpaka wenzie wakawa wanakasirika sana
Yani wanakwambia kwa hesabu za fast alikuwa analaza zaid ya 1500k kila siku

Ikaenda yul dada akaja akapigwa bisu la koromeo akafa

Kumbe bana yule dada ni mshirikina

Nje ukimwona ni mtu ila ukivuka kizingiti cha mlango wake basi kitandani unaeda kutomb mbwa au lidubwasha lolote

Na ndo ilikuwa style yake yani alikuaa na uchawi uo, utaingia ndani kama hujui lolote kuhusu mambo ya giza utaishia kmgonga mbwa ye ankaa pemben na ndo ipo ivo........

Ntaendelea
Malizia huu uzi mkuu. Nashauri uwe unaweka muendelezo hapa juu ili iwe rahisi kuusoma.
 
sinza na kinondoni kumejaa wazee tu. ivo viwanja watoto wabichi tu mzee hatoboi. Basi tu watu wengi wanapadharau manzese wakihisi ni uswaili tu lakini huduma apo ni bora mara mia ya sinza. sinza imejaa wazee wakongwe bei kubwa na huduma mbovu afu usalama mdogo lakini apo manzese yani watoto wabichi kabisa na bei za mtanzania wa kawaida
Asante kwa ramani hii ya kivita mkuu....nimekupata.
 
Nikija dar itabidi niende kuwasalimia tena lambo panabamba sana
Mkuu usiache kufika na pale Kitambaa cheupe.
Pia kama hutaki jam sana za huko mjini kati basi unaweza kushuka stand ya Magu wanaita Mbezi then kuna chimbo inaitwa kwa Godi pale kuna mbususu nyingi za kutoka mikoani halafu watoto wabichi kabisa tena bei zao ni elekezi.
 
Uwanja wa fisi nilioujuwa ulisifika kwa pombe za kienyeji, na raia wengi wa hapo walikuwa wa kutoka "Central Province"... Wagogo, Warangi, Wanyaturu, n.k.... Enzi hizo Dar ilikalika kimikoa/kikabila. Born town wenye mji walikaa Magomeni, Kariakoo, Ilala, Kinondoni, na Sharrifu Shamba. Wale wa kuja wote walikaa nje kabisa ya mji. Wanyamwezi na Wasukuma walikaa Kigamboni. Watu wa Morogoro Kigogo/Msimbazi, Mara walikuwa Kurasini, Shimo la Udongo, Kilimanjaro?arusha walikaa Kimara n.k. Hiyo ilikuwa miaka ya 70 ambapo Ubungo ndiyo kulikuwa makao makuu ya maraha (Muziki). Sikuwahijua kuwa Wagogo, Warangi, na Wanyaturu walikujaondolewa na wake na nshomile. Uwanja wa fisi enzi hizo ulisifika kwa supu kila aina aina ya nyama. Nakumbuka enzi hizo nyama huko zilikuwa bei poa, maana nyama zililetwa na Wagogo Waswaga ng'ombe. Ng'ombe akifa walikuwa wanamchuna na kumuingiza katika soko la supu la uwanja wa fisi. Jina la uwanja wa fisi lilitokana na biashara za nyama aina mbalimbali steki, kongoro, mapupu, utumbo,, kuku ziwe zimechinjwa au vibudi, au zimekufa. Hiyo ndiyo asili ya jina la "uwanja wa fisi"..hakuna kuchaguwa au hachagui mtu!
Dah..nimecheka sana hapo kwenye suala la nyama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Namalizia

Maisha yangu na matapeli na nilivyojifunza utapeli

Kipindi iko enzi za mzee wa msoga pesa zilikuwepo yani na utoto wangu wa miaka 19 nilikuwa na simu ya lenovo touch, na nokia ya touch

Nilivyomaliza four maisha ya kujichanganya nikajikuta nipo interest na matepeli wazee wa town, kwanza ndo wamenilea tangia naingia mjini nyumba niliyofikia kulikuwa na bar na ndo yalikuwa makutano yao kila siku asubuh na jioni wakitoka kutapeli

So walikuwa wananijuwa vyema , matapeli wana lugha zao wanaweza zungumza na usiwaelewena pia wana lugha zao za ishara na alama

Kwaiyo mi lugha yao nilikuwa naijuwa hata wakiwa wanasimuliana deal zilivyokuwa kwa siku iyo nilikuwa nawaelewa,
..
Waliiuwa wanachnanganya maneno asilimia kubwa ni maneno ya kikongo na mengineyo

Mfano , mbongo ni polisi,. Famme ni mwanamke , mwasi ni mke , garison ni mwanaume

Tororoo ni pikipiki, njenje ni baskeli,. Miguu ni nauli,
Kipeme ni mwenye pesa au boss , brokea kushawishi,

Vuraa ni gari, maiti imefufuka yani alietapeliwa kawadaka,

Kansee ni kufa, kashoo ni jela , pogoma ni kuongea, kimaseke ni kwa akili, maseke yani akili

Chungamira yani tizama au chungulia

Zoba. Yani anaetapeliwa

Wa foo yani mtu nuksi au snichi,

Pakee,mbumba, ni pesa

Elfu moja walikuwa wanaaita mgongo mmoja alafu elfu kumi wanaiita katani, laki wanaiita tani , milioni nimesahau,

Manjee yani kula, doro yani kulala,
Kansee au amekansee yani amekufa,

Ukimwi walikuwa wanaiita takataka yani ana matakataka means ana ukimwi,

Konyee ni ****, alafu makonyezi ndo kutombna

Kumchekecha mtu yani kumsomesha deal kama anaingia mkenge

Mizoo measn nyumbani
Battlee yani kukamatwa
Kashoo yani jela

Pombe ni mokeji yani tupate mokeji measn tupate kunywa pombe,

Msongoro yani kwenye deal au kazini ukisikia twende msongoro ndo wanaenda kwenye kazi za kutapeli

Shako means begi
Kitu cha biee au famme wa biee yani kitu kizuri au mwanamke mzurii , biee means kizuri

Pembe au kiberiti ni kifaa flani ivi walikuwa wanatumia kuwekea madini feki

Agghh nimechoka kiufupi matapeli walikuwa na lugha zao

Kipindi iko utapeli ulikuwa wa aina nyingi sana na walikuwa wanapiga pesa sana,

Tapeli ni mtu mmoja mchangamfu sana , charming, inteligent, haogopi, anamaneno matamu, hana huruma na pesa, hajali cheo chako akitaka kukutapeli,

Njia walizokuwa wanatumia si za kumdhuru mtu zaid ya maneno tu, ila hapo hapo kulikuwa na makundi tofauti kuna ambao walikuwa wanaingia maofisini au maduka ya simu wanasunda

Au ktk supermarket kubwa wanasunda mfano pombe kali za bei, yani vile vitu vya bei vinavyobebeka kirahisi, kuna wale waliokuwa wanajifanya watu wa TRA, uhamiaji na maofisa wengine amabapo wanajuwa wanatarget vipi ulaji, wengine yani wanavyo jiweka hakika utoboi

.ntaendelea
Million wanaita mlio unaweza kuwa milio 2 au mitatu na kuendelea Generation Z
 
Back
Top Bottom