Wanasalia ndani, je saudia kuna kanisa? Kama hujui marekan ilikuwa inaongozwa kikristo baadaye wakaweka secular but now wanataka kurudi kikristo zaidi si unakumbuka trump alivyopiga marufuku din nyingine na alisemaje?? Watu wanaoingia marekan waheshimu tamaduni zao na wajue usa ni christians states na hata rais anaamuliwa na kanisa ukitaka habari hii ingia youtube tafuta dira ya dunia bbc swahili waliielezea vizuri kuhusu marekan ilikuwa mwaka juzi november tatizo hamchunguziUmetumia kijiti au? Uislam hautakiwi marekani, je huko marekani hakuna msikiti?