Maisha yangu yaliharibika kwasababu ya yule

Nilikuwa na kipato Cha kawaida, Ila yule akaharibu kabisa mipango ya maisha yangu.

Kwa vile nipo hai naendelea kupambana
Duh!.

Yule na yeye hajafanya poa. Kwa nini aharibu mipango yako? Yule umesababisha jamaa yetu anaongea mwenyewe.

Yule mtafute huyu myajenge. Ananung'unika sana kwa ajili yako.
 
Ina maana hujaelewa, yule mtu hakuwa mtu mzuri, leo sijui nimeamka na nn, nimeona nitoe machungu yangu, yule ambaye ameenda zake
 
Nilikuwa na kipato Cha kawaida, Ila yule akaharibu kabisa mipango ya maisha yangu.

Kwa vile nipo hai naendelea kupambana
Acha visingizio.

Ndio ninyi husema " Ningezaliwa Marekani, nisingekuwa hivi".

Utajiri wa MASKINI ni watoto wengi, bt urithi wa mtoto wa maskini atautafuta mwenyewe😃😃😃😃
 
Sio sijui kuandika vizuri, nimeweka cord kidogo, ila Kama upo Jf muda mrefu, utajua yule aliyeenda zake ni Nani.
Sawa vizur,hata hvyo baadae nilielewa baada ya kusoma comment

Usiogope maana sasa wadudu wapo wanamshambulia
 
Back
Top Bottom