Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Status
Not open for further replies.
Mkuu naomba kuuliza-
nyinyi hamna Yesu mtajuaje alipozaliwa,?
nyinyi hamna Injili mtajuaje alipozaliwa,?
nyinyi hamtumii jina pekee la mwana wa mungu mtajuaje alipozaliwa,?
Muhammad hakuwahi kuwa mkristo wala kuujua ukristo mtajuaje alipozaliwa Yesu. ?
Mume wa Mariam (Yusufu) hakujulikana kwenu mtamjuaje YEsu alipozaliwa?
Ukristo ulikuwa wakwanza kuwepo, nyinyi mmekuja mkaanza upya mtajuaje alipozaliwa?
Nyinyi mnaabudu mkitazama kaa'ba mtajuaje wale wanaoabudu katika roho nakweli.
Nyinyi mji mtakatifu ni Mecca mtaijuaje Yerusalem?
Mtategemea supporting documents zipi?
Muhammad ametaja mbingu iliyotofauti kabisa na ile aliyoitaja Yesu, je nyinyi mtajuaje alipozaliwa?
Bibilia haiwajui nyinyi wala haiwataji: angali nyinyi mnaiwataja wakristo na wayahudi? Mtawezaje kutamka kwa ujasiri ya kuwa mnajua Mahali Yesu amezaliwa???
Kubwa kuliko yote ni kwa.. Muhammad hakumjua Yesu : wafuasi wake mtamjuaje??
 
@Adiosamigo ningeomba tusibishane kama walevi, NAomba uniwekee Ushahidi wa namna Mtume alivyoshushiwa Verse wakati aliporudi mgonjwa akitokea pangoni, akiwa na khadija na huyo waraqah. Niwekee hapa tafadhali, kisha uanze kutoa Darsa...
Point mmoja we kama uko sawa akilini mwako nani aliye muliza mwenzake umemuona malaika kama aliye muona Prophet Mussa? Warqah au Mtume Muhammad? Na ilikuwa kuwa vipi mpaa Warqah aliingize neno la malaika bila ya Mtume Muhammad kumtajia kamuona? Hakuna verse iliyo shushwa pale zaid ya
 
Hivi Yesu na Jesus na Issa ni watu tofouti hao? Kama ni tofouti basi lazima kati yangu na wewe kuna mmoja hayuko sawa kiakili.
 

yohana 4:19 Yule mwanamke akamwambia, Bwana, naona ya kuwa u nabii! 20 Baba zetu waliabudu katika mlima huu, nanyi husema ya kwamba huko Yerusalemu ni mahali patupasapo kuabudia.

yesu akasema ....Yohana 4:23 Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu.24 Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
Yohana 4: 22 .............kwa kuwa wokovu watoka kwa Wayahudi.
Koran inakiri hili kuwa nabii lazima atoke kwa wayahudi. nitaweka proof hapa..
 
Hivi Yesu na Jesus na Issa ni watu tofouti hao? Kama ni tofouti basi lazima kati yangu na wewe kuna mmoja hayuko sawa kiakili.
issa maana yake wekundu uliozidiana na weupe. Kumwita Issa ni kumshusha hadhi yake aliyokuja nayo na kumfanya kama ordinary person. haikubaliki.
Malaika alimwambia mariam mtoto ataitwa Yesu: akimanisha Mungu ashinda na sio wekundu uliozidiana na weupe.

Yesu? jesus maana yake Mungu ashinda
ume-note ma-difference hapa?
 
Wewe kweli kichaa, kama unadhani Issa sio Jesus. Hebu tafuta mana ya Jesus ki Hebrew anaitwa nani, naomba unitajia anaitwa Eissa, Jesus au Yesu.
 
dogo kwa hio Yesu alipo wambia waisrael hivi, ufalme wa Mungu utaondolewa kutoka kwenu na kupelekewa taifa linginie. Yani dogo hapo, unataka kusema Yesu alikuwa muongo kuliko hata wewe, mana anaongea maneno sio ya kweli. Matthew 21:43 ►
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]"Therefore I tell you that the kingdom of God will be taken away from you and given to a people who will produce its fruit.



[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
:wave:

 

Means katika maisha yao hawajawai pata FURAHA thats y wameipata ktk UISLAMU ukristo Hauna jipya
 

Malizia aya hyo! Ha ha ha hawa jamaa ni matunutu kweli unaambiwa utukufu utatolewa kwa wayahudi na watapewa taifa lingne bdo tu huelewi???
Je? Hlo taifa ni lp..
 

Kama utakuwa hudanganyi makusudi basi wewe utakuwa ni mjinga [hujui] kwa kiwango kikubwa sana

Kwanini nasaema hivyo,nasema hivyo kwasababu kuu mbili

1;Umeleta maelezo ambayo wewe unayachukulia kama ushahidi wa kile ambacho nyie Waislam mnakifanya kuwa ni sahihi,kwa maelezo mengine huo ushahidi uliouleta hapo unaamini kabisa ni uhahidi stahiki na wa kuaminika,kwa maneno mengine unaitumia Biblia kama ushahidi wa kuthibitisha yale ambayo yameandikwa kwenye Quran,kwa maneno mengine Biblia ni kitabu sahihi na hakina shaka kabisa

Ni kwanini huwa mnapiga makelele kudai kimechafuliwa bila hata ya kuwa na ushahidi halafu hapo hapo mnakitumia kama uthibitisho wa madai ya imani yenu?

2;Mstari wa Yoshua ulioutoa unadhihirisha vile ambavyo hata hujui mstari ulioutoa unazungumzia nini,kwanza wewe hoja yako inahusu nyie kuzun guka mara 7 kwenye jiwe jeusi huko Makah kitendo ambacho ni cha ibada,kifungu cha maandiko matakatifu kutoka kwenye Biblia ulichokiweka hapo hakihusiani na ibada bali kinahusu upelelezi wa Waisraeli kwenye mji ambao walikuwa wamepewa na Mungu

Kwa maneno mengine kuuzunguka mji ule mara saba hakikuwa ni kitendo ambacho kinahusiana na ibada yoyote ile bali kilikuwa ni kitendo cha upelelezi ili kujiandaa kuushambulia mji ule

Sasa unahusishaje kitendo hicho na ibada zenu? Halafu kuuzunguka mji mara saba kunahusiana nini na kulizunguka jiwe jeusi mara saba?

Hii inaonesha ni kwa namna gani vile ambavyo nyie mko desparate na imani yenu hadi mnajitahidi kutafuta ushahidi ambao hata hauhusiani na ibada yenu na kuufanya kama ushahidi,hii inaonesha ujinga mkubwa sana mlionao kwenye hili

Kwanini msikubali tu kuwa imani yenu inajitegemea bila kuhitaji ushahidi kutoka kwingine?
 
Wewe kweli kichaa, kama unadhani Issa sio Jesus. Hebu tafuta mana ya Jesus ki Hebrew anaitwa nani, naomba unitajia anaitwa Eissa, Jesus au Yesu.

Hakuna mahusiano kati ya jina Yesu na Issa

Yesu Kiarabu ni Yesho na sio Issa

Yesu Kiebrania ni Ye'hoshua
Yesu Kigiriki ni Ihesus
Yesu Kiingereza ni Jesus

Usidanganye watu

Unaweza kuona kuna mahusiano ya karibu kati ya jina hilo kwenye lugha za Kiarabu,Kiebrania na Kiswahili kwasababu kuna mahusiano,mahusiano yenyewe ni kuwa Kiarabu na Kiebrania vina mahusiano ya karibu na Kiswahili kimetokana na Kiarabu

Yeho'shua-Kiebrania
Yesho-Kiarabu
Yesu- Kiswahili

Ukiangalia jina la Yesu Kiingereza na Kigiriki linakuwa kama linafanana kwasababu jina la Yesu kwa Kiingereza lilitokana na Jina hilo kwa Kigiriki na hata Agano Jipya liliandikwa kwa Kigiriki kwa mara ya kwanza

Ihesus-Kigiriki
Jesus-Kigiriki

Nakushauri umtafute Isa ni nani na sio kusingizia ni Yesu!
 
Endeleeni kujidanganya wenyewe, eti yesu sio issa, ni kama unajitekenya mwenyewe halafu unacheka ni upumbavu uliyoje
 
Endeleeni kujidanganya wenyewe, eti yesu sio issa, ni kama unajitekenya mwenyewe halafu unacheka ni upumbavu uliyoje

Yupi ni mpumbav.u kati ya yule ambae anasema Juma ni Hassani bila kutoa sababu zozote zile na yule anaesema hao ni watu wawili tofauti na sababu anatoa?
 
Yupi ni mpumbav.u kati ya yule ambae anasema Juma ni Hassani bila kutoa sababu zozote zile na yule anaesema hao ni watu wawili tofauti na sababu anatoa?

Sababu zip?
1.Issa kazaliwa na bikra maryam yesu je... ?
2.Issa katumwa kwa waisrael yesu je...?
3.issa alifufua watu na kuponya ukoma yesu je...?
Majibu unayo na umekaza mshpa wa shngo et ISSA sio YESU nan Mpumbavu kat ya Cc incharge Na Ww?
 
Sababu zip?
1.Issa kazaliwa na bikra maryam yesu je... ?
Wapi alizaliwa Issa na wapi alizaliwa Yesu?

Hata hivyo,hilo haliwafanyi wakawa mtu yule yule ....
2.Issa katumwa kwa waisrael yesu je...?
Yesu alikuja kwaajili ya kila binadamu ulimwenguni ukiwemo na wewe ....

By the way,Musa nae alitumwa kwa Waisraeli,nae anabadilika na kuwa Issa?
3.issa alifufua watu na kuponya ukoma yesu je...?
Kila aliefufua wafu nae ni Issa?
Na Paulo aliponya ukoma nae amekuwa Yesu?
Majibu unayo na umekaza mshpa wa shngo et ISSA sio YESU nan Mpumbavu kat ya Cc incharge Na Ww?
Bado wewe ni mpumbavu namber moja .......!!
 
Bismillah

Al-Bukhaari said in his Saheeh: Qutaadah said:

"Allah created these stars for three purposes: to adorn the heavens, to stone the devils and as signs by which to navigate. Whoever seeks anything else in them is mistaken and does not benefit from them, and he is wasting his time and effort in seeking something of which he has no knowledge."

(Saheeh al-Bukhaari, Baab fi'l-Nujoom, 2/240)

Do you believe that?
 
Sababu zip?
1.Issa kazaliwa na bikra maryam yesu je... ?
2.Issa katumwa kwa waisrael yesu je...?
3.issa alifufua watu na kuponya ukoma yesu je...?
Majibu unayo na umekaza mshpa wa shngo et ISSA sio YESU nan Mpumbavu kat ya Cc incharge Na Ww?

Issa never existed except in the mind of Muhammad.
 
Wewe kweli kichaa, kama unadhani Issa sio Jesus. Hebu tafuta mana ya Jesus ki Hebrew anaitwa nani, naomba unitajia anaitwa Eissa, Jesus au Yesu.


Issa is not Jesus.

Kwenye Quran ya Kiswahili kuna jina gani? Issa au Yesu? Kivipi Jina la "Jesus" liwe na translation mbili katika lugha moja ya Kiswahili, niki-maanisha Issa na Yesu?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…