Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Status
Not open for further replies.
Ebu tuwaulize! Jina yesu kwa
kiingereza- jesus

kigiriki-yehoshua

kibrazili- bebeto

kiaarabu- yasu

Sasa jina lipi ni HALISI la huyo mungu yesu (kiswahili)

na je? YOHANA , YAHYA na JOHN haya majina yanatofauti gani...

ISA anapatkana ktk quran pekee japo imeandkwa kwa kiarabu

tujiulize..

Kuna mtu aliwahi kupewa jina YESU (Kiswahili) kbl yake?

Jibu ni HAPANA

Kwann asiwe yesu na ilihali isa ndio jina pekee lisilo kuwepo ktk biblia na linapatikana ktk QURAN
 


You need to grow and come out of the box:

If Isa is Jesus and May is Marium. Can you explain this to me:

19:34to top

Shakir
Such is Isa, son of Marium; (this is) the saying of truth about which they dispute.

Surat Maryam - The Noble Qur'an - ?????? ??????


How is this possible? An English Quran using Isa instead and place of Jesus and Marium instead and place of Mary?
 

What do u want? Do u want jesus and Mary to be used.. Thats not a BIBLE... my friend in quran each of every individual named ac to his original name... MY question what are the real name of JESUS
 
What do u want? Do u want jesus and Mary to be used.. Thats not a BIBLE... my friend in quran each of every individual named ac to his original name... MY question what are the real name of JESUS
Do you know why Allah called you illiterate together with your prophet?

You can't even comprehend your own Quran!!!!

Do you know how to read and understand what you read? I bet you do not.

This verse is in English:
Such is Isa, son of Marium; (this is) the saying of truth about which they dispute.
Surat Maryam - The Noble Qur'an - ?????? ??????

Now tell me:
1. Why do we have Isa and not Jesus in the English Quran?
2. What about Marium, don't you think it is ethical to use Mary instead of Marium?

That is why I said:

How is this possible for an English Quran using the name Isa instead and place of Jesus and Marium instead and place of Mary? [If Isa is Jesus and Marium is Mary]?
 

Jesus & mary sio majina Halisi ya Hawa watu.. Ktk quran hatubadili chochote ktk majina wala Aya Nadhan umeelewa... ISA na MARIUM ndio majina Halisi ya watu hao.
 
Kwanini unatumia Biblia kuthibitisha Quran!? wakati huwa mnadai Biblia imechakachuliwa, ngojea nije kwa mtindo mwingine naona u mgumu kuelewa sana...

Kwani mama yake na Yesu alienda kwa mpiga ramli kuthibitisha!? au alipata homa!? Gabriel huwa anatokea kwa mtindo huu

Luka 1:19 Malaika akamjibu akamwambia, Mimi ni Gabrieli, nisimamaye mbele za Mungu; nami nimetumwa niseme nawe, na kukupasha habari hizi njema

Luka 1:30 Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.

Lakini yeye Jibril amekuja kwa style tofauti kabisa ya kukaba mtu...
Nataka maneno ya Muhammad akimsimulia Waraqa kwamba alitokewa na Jibril kama unavyodai, au Malaika kama unavyodai... kwasababu ni Waraqa ndiye aliyemwambia yule ni malaika ndio hofu ikamtoka Muhammad...

Kitabu kipi cha kikristo Waraqa alichotunga!? alikuwa priest kwenye Hajarul Aswad au!?

Tatizo lako kijana hujui Qur'an Mtume Muhammad alianza kushushiwa wapi? FYI Qur'an ailianza kushushwa wakati Mtume Muhamamd yuko Pangoni katika mlima Hira (Jabal Hira). HAPO WEWE NDIO UNANIZULIA UWONGO NAJARIBU UWE MKWELI SIKU ZOTE, WACHA UWONGO.
Wewe si umesema quran yote ilishushwa pangoni au!? unaanza kubadilika tena!? wacha kuzuwa uwongo...

Wewe umedai quran ilishushwa pangoni, ndio nikaweka hiyo aya, nikakuuliza inamaana na hii aya inayohusiana na wake wa Muhammad ilishushwa pangoni!? naona umebadilika tena, mara ya kwanza ulidai quran yote ilishushwa pangoni, ila sasa naona unabadilika tena...
Hapo nilipoweka red aliyezaliwa chini ya mtende ni Isa, hapo nilipoweka blue huyo ndiye Yesu Mnazareti sasa...
 
dogo mimi si mlevi nimeisha kuonyesha bibilia inamkubali kama Roho mtakatifu ndio Gabriel. Hizo sijui kelele unazo piga ni dalili wazi umeshindwa kubisha sababu ni bibilia ndio imekubali kwamba huyo Gabriel ndio Roho mtakatifu. Sijui sifahamu sijui nini sidhani wewe unaifahamu bibilia kuliko walio toa hizo point. Lazima ufahamu ukweli siku zote unauma na haswa kama umebaki kuimba 1+1+1=1 hata mtoto mdogo anafahamu wazi ni 3.
Naona unalalamika waislam kurefer Bibilia mbona nyie mna refer Qur'an sa kosa liko wapi? Nyie si kila siku mnampinga Mtume Muhammad kama si mtume mbona mna refer Qur'an kwenye zile point Qur'an inazungumzia mnayo taka kuyasikia nyie. Sisi tunasema bibili aimechafuliwa sio sisi tu hata Prophet Mussa Alisha yasema hayo, sa mbona hujamlalamikia. Hivi Bibilia iliandikwa na Yesu? Au ni kitabu cha Yesu? Sisi tunajua Injili ndio kitabu cha Yesu, hio Bibilia ina refer baadhi ya maneno ya Injili na mengine yako sawa. Ambayo yamebadilishwa kwa faida ya Paulo tunayapinga sababu Paulo lengo lake ilikuwa ni kuwapoteza watu wasimjue Mungu, lazima ufahamu si maneno yote ya Bibilia aliyo ya copy Paulo kutoka kwenye Injili ya Yesu aliweza kuyabadilisha huyo Paulo na hayo ndio tuna refer.
 

umeulizwa Swali...
Jina kamili la YESU ni lipi ikiwa kila lugha amepewa jina Mf. Jesus(eng), bebeto(kibrazil), yehoshua(kigriki) yasu(kiarabu) nk... Sasa mtuambie jina lake nan? Na ikiwa ktk quran ndipo jina pekee la ISA a.s linapatkana na halibadliki ktk lugha yeyote ile panapo tafsiriwa quran sasa kwann m bishe kuwa YESU, JESUS,BEBETO,YEHOSHUA,YASU sio ISA
 
Wewe dogo unatakiwa urudi shule ukasome Yesu alipokuwepo duniani hakuwa anaitwa Jesus au Yesu, alikuw akitwa Eashoa' M'sheekha na lazima ufahamu yeye na watu wake walikuwa hawajui kizungu wala Kiswahili. Sa hayo majina mmeyatoa wapi? Yesu alikuwa akiongea lugha ya ki Aramaic, which was a dialect of Hebrew. Hebrew and Arabic. Kuna maneno mengi sana yameingiliana katika semitic languages; and there are numerous common words and phrases used in both Hebrew and Arabic. Naturally these words are pronounced somewhat differently in different places separated by distance, both geographic and chronological. So the Hebrew word, shalom (= peace) becomes the Arabic salam and the Hebrew akh (= brother) is the same as Arabic akh etc.
The point to note is that Hebrew and Arabic are sister languages with almost the same grammar and similar vocabulary. Because, the original people who spoke these languages, were derived from the same stock of ancestors and lived in proximity. Kwa hio dogo jina la Yesu kwa lugha yao haswa alijulikana kama warabu wanavyo muita Isa Al Masih (عيسى المسيح ) na kilugha yao Jesus Christ in the Ancient Aramaic language is: Eashoa' M'sheekha, na wawekeni mnavyo muita nyie mnao sema eti Mungu, tukiwambia nyie vichaa mnabisha sa hi ni lugha yake, sikieni wanamuita nani Pronouncing the name of the Lord in the Aramaic language
 
Jina Yesu linamaana, sasa Isa ndio nini!? 2013 amejibu vema nimeona...
 
Last edited by a moderator:
Kwanini unatumia Biblia kuthibitisha Quran!? wakati huwa mnadai Biblia imechakachuliwa, ngojea nije kwa mtindo mwingine naona u mgumu kuelewa sana...
Na nani anaye sema haijachakachuliwa, hebu mpigie simu Prophet Mussa mulize hilo swali, kwanini na yeye alisema itachakachuliwa? Hilo la ku refer Bibilia sa ajabu iko wapi mbona kuna watu wengi wanapenda kuwasikia walevi wanasema nini, hata kama wanajua wazi wale walevi hawana akili, lakini kuna wakati flani wanaongea maneno yanakuwa ya kweli sababu wanayatoa walio yaficha:wave:


Hata mimi nashangaa mbona Gabriel kina Ibrahim na Mussa na kina Nouh ALIWATOKEA kwa style ingine tofouti na ya Yesu? Mana ya Yesu ni yeye ndio kamwambia mama yake Yesu atabeba mimba na kuzaa siku ile ile? Mbona kwa kina Ibrahim hakufanya vile? Hivi we hujii kuna wengine walisha sema Yesu ni mtoto wa haramu? Na wengi tu walimpinga na wakafikia kutaka kumpigilia misumari kwenye msalaba, mbona wa kina Ibrahim na Mussa na Muhammad wameheshimiwa na wafuasi wao, kwanini unadhani? Afu hio ya kumuita Mungu hivi nyie mna akili au hamna, mana bibilia zenu zinasema Mtu hawezi kumuona Mungu akaishi, sa hapo mnaipinga bibilia aa mnaikubali?

Nataka maneno ya Muhammad akimsimulia Waraqa kwamba alitokewa na Jibril kama unavyodai, au Malaika kama unavyodai... kwasababu ni Waraqa ndiye aliyemwambia yule ni malaika ndio hofu ikamtoka Muhammad...
Tatizo lako wewe hufamu nimeisha kuwekea maneno ya Warqah anamuliza Mtume Muhammad, anasema Malaika ulio muona kama aliye muona Mussa? Sa kwanini Warqah ana mhoji Mtume Muhammad maneno hayo? mbona unakwepa ni nani kasema kamuona malaika ni Warqah au Mtume Muhammad.


Kitabu kipi cha kikristo Waraqa alichotunga!? alikuwa priest kwenye Hajarul Aswad au
Alikuwa na translate Gospel ya Jesus kwa lugha ingine, nadhani umefahamu sasa.


Wewe naona umeishiwa sasa. Nilichosema Surah ya Iqra bism rabekya ndio ilishushwa kwanza, alishushiwa Mtume na Gabriel kabla ya hata kwenda kwa Warqa. Nilicho sema ile sura alishushiwa Mtume wakati yuko Pangoni sijasema Qur'an yote, wapi nilisema Qur'an yote imeshushiwa kule. Afu kama huna point kubali umeshindwa sio unizulie uwongo.


Hapo nilipoweka red aliyezaliwa chini ya mtende ni Isa, hapo nilipoweka blue huyo ndiye Yesu Mnazareti sasa...
Sawa lakini weka akilini Yesu jina lake ni Issa Al Masih na kwa kilugha yake ni Eashoa' M'sheekha. Yani hilo jina la Yesu au Jesus wala asinge wafahamu mnamuita yeye sababu jina lake halifanani kabisa na nyie mnavyo muita. Yesu alikuwa hajui kizungu wala kiswahili sa angewafahamu vipi? Bora hata Qur'an angekubaliana nayo akasema inamtaja jina lake haswa.
 
But more than 16 million covert in islam, every year in Africa. Hio ya Al Jazeera niliona live kabisa wanasema karibu waislam 6 Million wameingia dini ya kikrsto katika miaka 5 ya nyuma, sa we tazama tofouti hio 16 Million ni Africa tu kwa mwaka mmoja, wacha USA, Europe, Asia na yani dogo we bora unyamaze tu. Itafikia siku Europe yote watkuwa waislam kwa speed ya uislam unavyo kwenda.
 
https://www.facebook.com/video.php?v=10202097835962326&set=o.127770347301022&type=2&theater
 
Jina Yesu linamaana, sasa Isa ndio nini!? 2013 amejibu vema nimeona...

tuanze na maana ya YESU na mm nikupe ushahidi KUNTU kuwa issa au YESU ni Mwekunduu... Haya nipe Maana ya Yesu!
 
Last edited by a moderator:
Waache wakristo na imani yao kila dini ina mafundisho potofu juu ya dini nyingine kwa hiyo kila MTU ashike chake ucwapotoshe watu kwa mafundisho yako, kama ni mbinguni au peponi itajulikana ck ya mwisho, binafsi cjaona dini yoyote yenye maana zaidi ya upotoshaji tu
 

Huyo Tanzanialaw Hana jipya kwanza sijui kama DINI yake anaijua Vzr!
Analeta page za FB bila kuja na Aya za Biblia,Majarida yenye Misimbo Ya maana.
 
tuanze na maana ya YESU na mm nikupe ushahidi KUNTU kuwa issa au YESU ni Mwekunduu... Haya nipe Maana ya Yesu!
Maswali kuhusu Yesu ni nani yanajibiwa vizuri na Mwislam aliyekubali kuitafuta kweli. Marafiki Waislam tutafakari pamoja kwa upendo.
 
Last edited by a moderator:
Huyo Tanzanialaw Hana jipya kwanza sijui kama DINI yake anaijua Vzr!
Analeta page za FB bila kuja na Aya za Biblia,Majarida yenye Misimbo Ya maana.
Interview about why a Saudi woman converted to Christianity and what she found in Jesus that she didn't find in Islam


 
Last edited by a moderator:
Allah is not the God of the Bible. 1 John 2:22 - He is antichrist, that denies the Father (God) and the Son (Jesus).





 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…